Home
Unlabelled
maulidi njema
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante sana Michuzi, hata mimi hizi kalenda zimenipa shida sana kwani hakuna utaratibu wa kuwasiliana na watu wa Baraza la Waislamu kabla ya kuchapisha. Ni aibu snaa sana, lakini sijui aibu kwa nini
ReplyDeleteYANI MIMI NILISHAULIZA UKO NYUMA AYA MWASWALA NIKAONEKANA "mdini"
ReplyDeletejaman tuna ratiba zetu za maana maishani na wengine time is money,tuna plan za kila siku na kazi nyeti...
sasa tusipojua mitarehe ilotulia mnafikiri tutafika kweli??
ivi izi kalenda anaechapa yaweje asiulize basi ilo baraza la kiislamu watoe angalizo b4 hawajachapa??
mara 9/3,10/3,21/3??? SIO AIBU YANI NI VITUKO
*@/~##&$=***
wengine tumeamua kufanya tu shughuli sasa hatuangalii sikukuu izi za kalendani
wanaopenda pilau utawajua 2, yn watasoma mara 2,2 kusoma hiyo tarehe.
ReplyDelete