Maziko ya ndugu yetu mpendwa marehemu Ilyas Ibrahim yatakuwa Jumamosi, tarehe 14/03/2009. Swala ya maiti itaswaliwa baada ya swala ya adhuhuri,
Msikiti wa White Chapel,
Fieldgate Street,
E1 1JU.
Baada ya hapo marehemu atazikwa makaburi ya
Hainault (Garden of Peace),
Elmbridge Road,
IG6 3SW,
Inshallah.
Zenjydar Community Association
Zenjydar Community Association


Hongereni Zenjdar kwa kutuletea habari za jamii sio hao ccm london ambao kazi yao wakisikia kuna kiongozi London basi mbio kwenye matrain kwenda wa viongozi lakini majanga ya misiba na wagonjwa hawaonekani.
ReplyDeleteTunamshukuru Abuu fajari na Tanzania Association chini ya balozi kipenzi mama Mwanaidi kwa moyo wa kujituma kwenye shida za watanzania.
ccm london jifunzeni kwa Faraji na balozi.mmeshindwa kuchangia hata msiba?
Huyu marhum nimekuwa nikimuona, alikuwa mtiifu wa wazazi wake, na alikuwa mwalimu mzuri wa chuo cha kidini, na alikuwa na heshima kwa watu.
ReplyDeleteYote aliyafanya si kwa kutafuta sifa bali kupata radhi za BWANA wetu MWENYEZI MUNGU (AHAD / MONOTHEISTIC).
MKIMBIA MWENYE AKILI NI YULE AMKIMBILIAYE BWANA.
we anon wa kwanza acha kuropoka. ccm wanasaidiana kwa raha na shida. sasa kama unayako na usiyananzishe hapa sio mahala pake. Wewe ni wale wale wenye akili fupi, acha mdomo and think before you talk or make a comment on this blog
ReplyDelete