Home
Unlabelled
mambo ya gado
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
this is sexist....
ReplyDeletewanamajina yanafanana
ReplyDeleteal-bashir
al bush
al blair
al -----
al -----
Mimi nadhani mtu inabidi aitwa huko icc wakati kitendo kinatendeka sio baadaya ya watu wengi kupoteza maisha halafu ndio anaitwa. sijui hili ni wazo langu tu.
umesahau mmoja hapo..
ReplyDeleteEl Kag 'ame
Naomba msaada jamani huyo wa kwanza ni nani?
ReplyDeleteninakubali kwamba mtu aitwe wakati kitendo kinatendeka badala ya kungojea mpaka watu wengi wameuliwa. sasa hawa wajamaa wanakimbilia kumshtaki bashir wakati wanakataa kuwashtaki bush na blair. hapa ninaona ni uonevu. bush na blair walitupa mabomu huko iraq yakauwa watu kibao lakini eti wasishtakiwe. wanakao shtakiwa ni wa third world peke yao. huyo mugabe ninashangaa kumuona kwenye hiyo list ya hiyo cartoon. kitu mugabe alichofanya ni kunyang'anya wazungu mashamba na kuwapa waafrika. kingine may be kukaa madarakani kwa muda mrefu. uyo mwenye hiyo cartoo awache ujinga wake wa kumchanganyisha mugabe na hao wengine. mbona israel na hamas hawashtakiwi.
ReplyDeletePia wamemsahau Waziri Mkuu anayeondoka Madarakani wa Israel na Livn kwa kuwaua maelfu ya wanawake na watoto wa Palestina.
ReplyDeleteamong those men, one is innocent. am talking about Bob Robert Mugabe. waliobakia ni sawa tu. they are murderer. but we should not forget that Mugabe is the only remain symbol of patriotic leader in Africa. the rest are puppets. ni heri kufa kama shujaa kuliko kuishi kama mtumwa. kama viongozi wote wa Africa wangekuwa kama Mugabe 2singekuwa na ukoloni mamboleo. am talking about the new colonialism and multinational effects.
ReplyDeletePlease, anayemusaliti Bob anaisaliti Africa.Africa is for Africans Only and our natural resources should be utilized to benefit the Africans first. jamani Uzalendo uko wapi??????
I could see the rest being dragged to the ICC to face their crimes against humanity. But 'Dubya' and Blair... not in this lifetime!
ReplyDeleteKukujibu swali lako mdau wa Machi 7, 2009 (12:08AM), huyo kwanza kwenye hiyo katuni Bw Joseph Kony wa LRA
ReplyDelete