Moreno Ocampo of ICC, international Criminal Court on War Crimes and Genocide Inductees.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. this is sexist....

    ReplyDelete
  2. wanamajina yanafanana

    al-bashir
    al bush
    al blair
    al -----
    al -----

    Mimi nadhani mtu inabidi aitwa huko icc wakati kitendo kinatendeka sio baadaya ya watu wengi kupoteza maisha halafu ndio anaitwa. sijui hili ni wazo langu tu.

    ReplyDelete
  3. umesahau mmoja hapo..
    El Kag 'ame

    ReplyDelete
  4. Naomba msaada jamani huyo wa kwanza ni nani?

    ReplyDelete
  5. ninakubali kwamba mtu aitwe wakati kitendo kinatendeka badala ya kungojea mpaka watu wengi wameuliwa. sasa hawa wajamaa wanakimbilia kumshtaki bashir wakati wanakataa kuwashtaki bush na blair. hapa ninaona ni uonevu. bush na blair walitupa mabomu huko iraq yakauwa watu kibao lakini eti wasishtakiwe. wanakao shtakiwa ni wa third world peke yao. huyo mugabe ninashangaa kumuona kwenye hiyo list ya hiyo cartoon. kitu mugabe alichofanya ni kunyang'anya wazungu mashamba na kuwapa waafrika. kingine may be kukaa madarakani kwa muda mrefu. uyo mwenye hiyo cartoo awache ujinga wake wa kumchanganyisha mugabe na hao wengine. mbona israel na hamas hawashtakiwi.

    ReplyDelete
  6. Pia wamemsahau Waziri Mkuu anayeondoka Madarakani wa Israel na Livn kwa kuwaua maelfu ya wanawake na watoto wa Palestina.

    ReplyDelete
  7. among those men, one is innocent. am talking about Bob Robert Mugabe. waliobakia ni sawa tu. they are murderer. but we should not forget that Mugabe is the only remain symbol of patriotic leader in Africa. the rest are puppets. ni heri kufa kama shujaa kuliko kuishi kama mtumwa. kama viongozi wote wa Africa wangekuwa kama Mugabe 2singekuwa na ukoloni mamboleo. am talking about the new colonialism and multinational effects.

    Please, anayemusaliti Bob anaisaliti Africa.Africa is for Africans Only and our natural resources should be utilized to benefit the Africans first. jamani Uzalendo uko wapi??????

    ReplyDelete
  8. I could see the rest being dragged to the ICC to face their crimes against humanity. But 'Dubya' and Blair... not in this lifetime!

    ReplyDelete
  9. Kukujibu swali lako mdau wa Machi 7, 2009 (12:08AM), huyo kwanza kwenye hiyo katuni Bw Joseph Kony wa LRA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...