Kaka michuzi shikamoo!!! Sorry wapinzani wetu najua hampendi kuona lakini habari ndio hiyo sie ndiyo hivyo tena tunateleza kiulaini tu, kikombe cha kwanza hicho tumechukua, sasa kaeni mkao wa kula maana sherehe kibao zinakuja,mataji shazi ,tunaomba wapinzani wetu msife moyo maana mpira ndivyo ulivyo na tunawakaribisha
KWENYE KARAMU YA BWANA OLD TRAFFORD MJUMUIKE NASI!!!!
Mdau Jacob, London.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. ONE DOWN THREE TO GO!
    Manufanism

    ReplyDelete
  2. umekosea mdau Jacob,hili la Carling linahesabika kama trophy ya pili kwa mwaka huu baada ya lile la Klabu Bingwa ya Dunia (narudia 'ya Dunia')

    ReplyDelete
  3. MAN U OYEEEEEEEEEEEEEEEEE TMEANZA NA MOJA BADO NYINGINEEEEEEEEEEEEEE KWA TAARIFA YAO WAMBEAAA

    MDAU MKUBWA MICHUZI BLOG ABDALLAH NGATUNGA

    ReplyDelete
  4. as a life long LFC fan, nasema hongera "Manure".you can keep those domestic cups but Champions League is ours.thanx for Parry exit kwani next season mambo ya usajiri yatakuwa pouuuwa haswa kwa matumaini yangu kuwa hawa wakora(American Owners) watauza timu kwani uwezo wa kulipa lile deni hawana.

    "LFC 4 LIFE"

    ReplyDelete
  5. It is two down - you seem to be losing track. Don't forget Tokyo...

    ReplyDelete
  6. Sasa inabidi muanze kujiandaa
    kunakitu kinaitwa "Life after Alex Ferguson" na huyu babu akiondoka tu, du itakuwa hali mbaya, mtu ambaye atachukua nafasi yake basi lazima kila msimu ashindi kombe

    P.E.D

    ReplyDelete
  7. 1.community shield

    2.club world champions

    3.carling cup

    4.nini kinafata?

    ReplyDelete
  8. yeah yeah yeah kombe kila timu hawalitaki ila united na spurs!!!! dream on kama mnafikiri mtachukuwa european cup mwaka huu. tena hata hiyo FA cup hamna uhakika nayo

    ReplyDelete
  9. Not one down, in fact two are down(world club champs& carling) three to come one after another!!!. Congrats Man u and sorry kwako wewe kibwawa cha maini, mshika mitutu ndo kabisaaa usiseme

    ReplyDelete
  10. Just to correct....2 DOWN,THREE MORE TO GO FOR AND YOU CAN BET EVERYTHING YOU HAVE THAT WE WILL BE IN FOR EVERYTHING THIS SEASON.Hata kombe la bata ManU wanachukua...

    Remember January,10th when Benitez said what he said?I'm very sure he is now regretting saying what he said.Michuzi unalijua hilo.Nilikuwa nimekaa na wadau wengine kama wewe watching the game(a jana) and these guys walikuwa na chuki ambayo sijawahi kuiona juu ya ManU.Then I asked them ni timu gani wanai-support,guess what was the answer?Never-pool!Mtu yeyote mwenye mafanikio huwa anachukiwa na kutafutiwa visingizio everywhere.Appreciate the success and that is the true color of a champion.

    Mdau,Oxford!

    ReplyDelete
  11. Kikombe mbuzi hicho, msijinate saana kwa ushindi wa penati.

    ReplyDelete
  12. Pamoja na mapenzi yetu kwa timu za mkoloni wetu lakini ndio kusema Taifa Stars tushaisahau?

    ReplyDelete
  13. yaan mahesabu yanawashinda hata msimu bado kuisha? hseabu rahisi hizi hapa arsenal wanakombe moja la timu ya wanawake. manuu wanayo ma 4 ni nne kwa sababu chrity shild, la dunia carling na la ligi. la ligi msipige kelele juu inatakiwa wafungwe mechi 4 kati ya 12 zilizobakia na chelsii ashinde michezo yake yote... nafikiri nimeeleweka. na jumla ya vyote sir alex amechukuwa vikombe 35 tangu aajiriwe united..akra hiyo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...