Home
Unlabelled
mastaa wafika kileleni kwa mbinde
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
haya wizara ya utalii or who ever anayehusika. dili hilo vibao ni vya ku update hivyo.au mnataka viwe na uhuru peak aka zain or vodacom?
ReplyDeletehttp://www.rednoseday.com/climb/video_archive
ReplyDeleteWatalii wengi zaidi watakuja kuupanda mlima Kilimanjaro kwa sababu ya publicity ya hao ma'celeb. Jitihada zifanywe basi ku publicize Kilimanjaro International Airport pamoja na hotel za Moshi na Arusha zipewe tafu......... La sivyo yatakuwa yale yale. watalii wanapanda mlima wakimaliza wanaelekea Kenya....
ReplyDeleteHIVI TANZANIA INA MATATIZO GANI JAMANI?VIBAO VYA UHURU PARK VIMECHOKA RANGI IMEFUTIKA HII NINI SASA HAO WATALII MNAWALIPISHA MADOLA KIBAO MNASHINDWA KUJALI HATA JINA LA NCHI WATALII WAKISHUKIA KENYA MNAOCHONGA SANA SASA MNATAKA NINI HAU NDIO KWENYE MITI HAKUNA WAJENZI,TAFADHALINI WIZARA UHUSIKA AMKENI KWENYE HUO USINGIZI MZITO AU PIA MNATAKA RAIS AWAMBIE?MUNGU MMBARIKI MNALI MAANA ANGEWASHIKISHA ADABU WOTE WAHUSIKA
ReplyDelete(maoni mkichukia kimpango wenu)
ndugu wadau
ReplyDeletemimi sioni cha ajabu hawa mastar kupanda mlima. Cha kushangaza ni kuwa waandalizi wa hii trip ni wakenya.
jamani hata kuutangaza mlima tunashindwa mpka wakenya wameteka deal?
we have to be serious
mlima wetu basi angalu tungesikia safari hii iliandaliwa na kikampuni cha tanzania au kwa kushirikiana na ubalozi wa tanzania au trade centre, then tungekuwa na chakujivunia
poleni
tanzania inakuwa shamba la bibi
Inasikitisha mpaka jumamosi asubuhi watangazaji wa BBC 5live ndio wamegundua mlima kilimanjaro upo Tanzania na sio Kenya lakini wakadai si kosa lao wao wanasoma taarifa tu, alafu tunajisifu tuna ubalozi hapa UK.
ReplyDeleteivyo vibao vimeandikwa lugha ya Taifa gani???
ReplyDeleteTz ni kiswahili apo sikioni,au apo ni kenya??
ni hayo tu
mtowa comments wa tatu, kwa taarifa yako tu hao sio macelebrity wa kwanza kuupanda mlima kilimanjaro wako walioupanda kabla yao wapo wachache kutoka uk fanya google na utaona.
ReplyDeleteni kweli BBC WALIKUWA HAWAJUI KAMA KILIMANJARO UKO TANZANIA?
ReplyDeleteWatanzania tumelala, ona vibao vilivyo choka! i bet wizara ya utalii wala hawajui kinachoendelea sio kileleni tu bali hata katika camp zote.
ReplyDeletekuna watu hapa wanasikitika kuwa wakenya ndio wanaoongoza katika deal za kupanda mlima, lakini nimegundua pia kuwa kuna wazungu eti wao ndio guide na advicer wa watalii wanaopanda mlima!!! mlima wetu anakuja mzungu kuwa advicer? samahani lakini hivi kweli ndio hakuna wachanga wa kuchukuwa nafasi hizo?
Ni kweri watangazaji wengi wa bbc walikuwa hawajui kwabisa kwamba mount Kilimanjaro ipo Tanzani, mimi nilianza kufuatilia hii trip tangu last year November na nilikuwa nasiliza sana redio one kipindi cha Chris Morse ambaye ndiye alikuwa mdau mkuu wa trip hiyo. Hata yeye mwenyewe alipokuwa akireport live kutoka kilimanjaro hati siku moja hakusema I'm reporting from kilimajaro in Tanzania, yeye alikuwa anasema I'm reporting from kilimajaro in Afrika kitu kilichonisikitisha sana na kuwapigia simu na kuwauliza kama kweli wanajua wako Tz au raha.
ReplyDeleteNchi yetu last year imetoa over 800milions kutangaza utarihihapa uk na matangazo yaliwekwa kwa kutumia pesa hizo lakini mengi yalikaa london siku chache sana na siku hizi hatuyaoni, trip kama hii likuwa chance ya kutangaza kilimanjaro kwa bure lakini ubarozi wetu hapa umeshindwa kufanya lolote na hata wapanda mlima waliporudi hakuna kitu kilichofanyika. Ijumaa hii kutakuwa na comet relief program bbc one Tv usiku na wataonyesha wapandaji mlima hao angalieni watasemaje.