Home
Unlabelled
mdau ala nondozzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mbona yupo mwenyewe?
ReplyDeleteHONGERA MDAU I HOPE NONDO YAKO SIO KAMA ZILE ZA WANASIASA FULANI WALIOTULETEA NONDO FEKI.HIVI SASA WANALIA KUWA WANAONEWA.WAKATI WAO WAMETUONEA.TUNAISHUKURU TUME YA VYUO VIKUU KUWAVALIA NJUGA KAMA KUWAVUA WALE WALIMU WA MZUMBE WALIOKUWA WAKIJIFANYA WANA pHd kumbe ni feki.mbona michuzi anakubali kuwa NOT REACHABLE.KILA SIKU ANASAFIRI ANGEWEZA NAE KUTUIJIA NA DIGRI FEKI ILA ANAJUA KUWA BORA AWE NOT REACHABLE KULIKO KUJIPA SIFA SI ZAKE.
ReplyDeleteHONGERA MDAU KAMA MZIGO WAKO NI GENUINE.
Nilipoangalia harakaharaka nilifikiri mh. Pinda
ReplyDeleteNiliwahi kumsikia mtu akisema kuwa hakuna ubaya mtu kuwa bachela ila ubaya ni kuwa mtoto wa bachela. Siku moja nikamwambia rafiki yangu mmoja kuhusu hili akasema yeye kule Musoma aliwahi kumsikia mtu mmoja mwenye hekima akisema kuwa inapendeza sana mtu kusoma na kuhitimu toka shule au chuo ambacho alisoma mtoto wako...
ReplyDeleteHii ni shule aliosoma Mrema?
ReplyDelete