
RAIS WA ZANZIBAR MH. AMANI ABEID KARUME AKIKARIBISHWA KWENYE UKUMBI WA MKUTANO

VIONGOZI WA NCHI ZA AFRIKA YA MASHARIKI KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA KUMALIZIKA KWA MKUTANO HUO WA UWEKEZAJI KWA SIKU YA LEO, KUTOKA SHOTO NI KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI, MH.BALOZI JUMA MWAPACHU, MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA SERIKALI YA BURUNDI DR. YVES SAHINGUVU, RAIS WA RWANDA MH. PAUL KAGAME, MWENYEKITI WA MKUTANO NA PIA CHAIRMAN OF POLICY&RESOURCES COMMITEE YA JIJI LA LONDON BW. MICHAEL SNYDER, RAIS WA UGANDA MH. YOWERI MUSEVENI, RAIS WA ZANZIBAR NA MWAKILISHI WA SERIKALI YA MUUNGANO, MH. AMANI ABEID KARUME, WAZIRI WA BIASHARA KENYA NA MWAKILISHI WA SERIKALI YA KENYA, NA BARONESS CHALKER-MUWAKILISHI WA SERIKALI YA UINGEREZA, MWANACHAMA WA GLOBAL LEADERSHIP FOUNDATION NA PIA CHAIRMAN OF THE MEDICINES FOR MALARIA VENTURE

VIONGOZI WAKIWA MKUTANONI

RAIS WA ZANZIBAR MH. AMANI ABEID KARUME ALIPOKUWA KUWA AKISALIMIANA NA KUBADILISHANA MAWAZO NA BAADHI YA WAWEKEZAJI. KULIA NI MWANA MAINA-MWENYEKITI WA CCM READING.

WASHIRIKI WAKATI WA MKUTANO

BAADHI YA VIONGOZI, WAGENI WAALIKWA NA WAWEKEZAJI BAADA YA KUMALIZIKA KWA MKUTANO SIKU YA LEO.

UJUMBE WA TANZANIA MKUTANONI. KULIA NI WAZIRI WA MIUNDO MBINU MH. SHUKURU KAWAMBWA NA SHOTO NI NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE BALOZI SEIF

BAADHI YA WASHIRIKI WAKATI WA MAPUMZIKO

WASHIRIKI WA MKUTANO TOKA TANZANIA

WASHIRIKI WA MKUTANO
Hivi kwanini mkutano kama huu usifanyike Afrika Mashariki? Gharama zote hizi za nini? au...
ReplyDeleteWe 1 mwenda wazimu nini nani kakuambia mbuzi unajiuzia mwenyewe tena ndani ya gunia.Au ungelipa gharama za kuwapeleka wawekezaji EAC?Baada ya mkutano ma Rais hufuatilia hoja zao na Serikali ya hapa.Hivyo Ndege 2.Ukizaliwa mlalamishi utalaumu hata wazazi wako kukuzaa.
ReplyDeleteKupeleka Ujumbe mkubwa ni kuonyesha kutojiamini kwetu, Kumbuka mkutano wa Rio De Jenairo wa mazingira ,1990
ReplyDeleteTunaomba speech ya Dr Aman karume aliyotowa katika mkutano hou tuwekeeni kama ipo tafadhalini
ReplyDeleteMAINA OWINA NAONA UNACHUNGULIA.HAPA UNAHUSIKA VIPI NAWE SI MUWEKEZAJI.WALA SI MJUMBE KWENYE MSAFARA WA TANZANIA.
ReplyDeleteMkutano umendaliwa na Jiji la London, siyo serikali za Afrika MaSHARIKI, Hao walialikwa tu.
ReplyDeleteHata mie namwona Maina Owino,Niliuliza Ubalozi kuusu mialiko wakasema hata wao ni waalikwa tu nafasi 3 toka City of London,TA akuna aliyealikwa na nasikia siku ya kwanza bila kadi ya mwaliko mbele hupiti security point.Sasa wewe anony waulize City of London kuusu Bw.Owino,maana wengine nyie hata Benki ziwaitie pesa mtasema ni mtego.WATANZANIA WA LEO.********!!!!!
ReplyDeleteKASALAGILA DIONIZ.
mbona wanaume wengi kuliko wanawake???
ReplyDeletekhaaaaaaaa