Torres (Left) puts Liverpool on the way to victory over Real Madrid

Fernando Torres delivered a scintillating solo performance to torment his old adversaries Real Madrid and send Liverpool into the Champions League quarter-finals.

Torres, for so long the symbol of Real's fierce rivals Atletico Madrid, returned from injury to spearhead a Liverpool display that once again re-inforced their credentials in Europe's elite competition.

He put Liverpool ahead after 16 minutes when he turned in Dirk Kuyt's cross from close range - although Real complained bitterly that defender Pepe had been fouled in the build up.

Real also felt they were harshly treated when Steven Gerrard scored Liverpool's second from the spot 12 minutes later after Gabriel Heinze had been penalised for handball.

The brutal truth for Real was that they were outclassed, with Liverpool underlining their vast superiority when Gerrard slammed home the third from Ryan Babel's cross two minutes after the interval.


----------------
wadau kunradhi kwa kwikwi ya awali ambapo link haikuwa sahihi. mdau wa brasil kunradhi zaidi maana wewe uliiona hii kwikwi mapema nami nakiri udhaifu kwamba nilikubishia sivyo, wewe ulikuwa sahihi. kunradhi sana na asante kwa kuendeleza libeneke.
-michuzi


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. hatunywi maji!!!!

    ReplyDelete
  2. MICHUZI SIDHANI KAMA HII HABARI SAHIHI MAANA MIMI NINAANGALIA GAME HAPA NI HALF TIME LIVERPOOL ANAONGOZA 2 BILA BUT GOLI LA KWANZA KAFUNGA TORRES NA LA PILI GERALD KWA PERNAT! SIO KAMA ILIVYORIPOTIWA NAWE! NAOMBA KUWAKILISHA.
    MDAU BRASIL.

    ReplyDelete
  3. MDAU BRASIL!

    ASANTE KWA UJUMBE. SINA KAWAIDA YA KUINGIA UPANDE HUU ILA NAOMBA WADAU WANILINDE MAANA LINK YA BBC AMBAO WAKO UWANJANI INANISAIDIA KUPINGA UYASEMAYO.

    UNAONAJE UKAENDA http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/europe/7899591.stm NA KUTHIBITISHA HILO??

    TUKO PAMOJA MDAU. NAJUA ULIMI HAUNA MFUOA NA KUTELEZA SI KUANGUKA.

    HAHAHAAAAAAA NAHISI MDAU NI MMOJA WA WATANI WETU WA JADI AMBAO ROHO HUWAUMA SANA BWAWA LA MAINI LINAPOMMWAGIA MTU NDOO.

    ReplyDelete
  4. Leo mmembahatishakipofu, basi itakuwa taabu kweli kweli.

    Hongereni kwa ushindi mnono, mana sioni dalili za Real Madrid kurudisha magoli yote na kuongeza ya ushindi.

    ReplyDelete
  5. matokeo ya old traford kati ya ManUtd Vs NeverPool usiwache kutujulisha haraka kama leo ulivyofanya.

    ReplyDelete
  6. Chelsea yasonga mbele kwa ushindi wa Jumla wa mabao 3 dhini ya 2 ya Juventus ya Italy.

    Mchezo wa leo huko Italy matokeo yalikuwa Chelsea 2 Juventus 2. Mabao ya Chelsea yalifungwa na Michael Essien na Drogba.

    Chelsea ilishinda mchezo wa kwanza jijini London kwa bao moja bila majibu toka kwa Juventus.

    ReplyDelete
  7. HONGERENI SANA BROTHER MISUPU..


    A.K.A SHETANI JEKUNDU.

    ReplyDelete
  8. Mdau wa Barsil upo sahihi,
    ...... michuzi link uliyoweka ni ya zamani ya first leg(away). Game ya leo wafungaji ni Torres, gerrard,gerrard,dossena .

    ReplyDelete
  9. Michuzi Hongera zenu,ila Huwa HUANGALII GAME au vp?
    mbona kwenye game huyo Benayouni hakuwepo kabisa?Hiyo link ni ya 1st leg,kwa 2nd leg magoli yalifungwa na Torres,Gerard 2 na Dossena.Ila kuna MTU anajulikana kwa jina la BAYERN MUNCHEN ni hatari mno maana ile mvua kwa wale jamaa sio ya kawaida.
    Sasa Liver mnajua nini kinafuata??.............yetu macho na masikio maana kila mkishinda champions league games kwenye league games mnatuaibisha hata mkicheza na timu ndogo vp,sasa tusubirie hiyo week end........

    ReplyDelete
  10. Liverpool imebebwa kabisa, kabla torres ajafunga goli la kwanza alimvuta bega Cannavaro lakini refa kapeta. Penalt waliyopata ina walakini kwani mpira unaonekana umegusa bega la Heinze na sio mkono, kwa style hiyo ya mpira Liver hawafiki mbali labda waaendelee kubebwa tu.

    ReplyDelete
  11. Mdau wa March 11, 2009 12:35 PM upo sahihi kabisa jamaa leo wamepata zali kwa uzembe wa mshika kibendera,sijui alishacheza kamari? Sio mbaya mradi wanasema haijalishi umekulaje na umekula nini cha msingi ni kushiba na Liverpool wameshiba. Ila anavyosema Rafa Benitez (http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/europe/7936357.stm),ati walicheza attacking football si kweli bali walicheza ile staili ya kuvizia! ni wakati Real walipokua wakigonga pasi fupiX2 huku wakisogea naliponyang'anywa pasi ziliku zikitupwa kwa kiberenge Babel pasi mbili tu wapo 18 yards!
    Hata mechi ya kwanza iliku ni daylight robbery! kwani it was all Madrid kabla ya faulo iliyozaa goli.
    Ningependa mechi leo Man ing'oke ili jumamosi pachimbike vizuri.......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...