Home
Unlabelled
mrisho na salha wameremeta leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Truly gorgeous na wenye wivu wajinyonge,congratulations wadau !!
ReplyDeleteDC LIVE
Mashallaha wamependeza..inshallah mwenyezi mungu atawajaalia ndoa yenye baraka....ol da best cousin
ReplyDeleteBi mkubwa mrembo haswa yaani simply goergous....kapendeza sana na aliyempaka make up please toa contact zako
ReplyDeletemdau DC
Mmh Both cute. Hongereni sana.
ReplyDeletemmependezaaaa bi harusi umejaliwa sura
ReplyDeletejamani mmependeza sio siri,na hizo tabasamu zenu tu zinavutia.
ReplyDeleteBi Salha....
ReplyDeleteMdau NY
Hongera sana mwanangu kwa kutuletea jiko zuri, kweli inaonekana ulikaa chini ukafanya "home work" yako vizuri katika kuchagua mke. si mchezo mmependeza sana. nawatakieni maisha marefu yenye kheri na baraka nyingi.
ReplyDeleteMjomba wako Sunday wa New Zealand
Beautiful couple, wish you a wonderful life together. Almighty God bless your marriage.
ReplyDeleteMdau USA.
Aah! Mwanangu umevuta kitu, hakikisha tu huishiwi hela!
ReplyDeletemaharusi wamependeza mashallah,mungu awape furuha,afya na maisha marefu,mpate vizazi vyema...amin......by uncle chande/aunt shamim..!
ReplyDeleteSasa mbona picha zinaonesha reception tu, vipi mbona hamuoneshi kwingineko?
ReplyDeleteJamani. Hawa watu mbona ni kama mtu na dada yake wa kuzaliwa? Mbona wanafanana sana? Kweli kapata wa kufanana nae. Itafika wakati watu wawe wanafanye DNA kabla hawajaoana kujua kama hakuna undugu. mbarikiwe, na heri nyingi katika ndoa yenu. Tunzaneni, na pendaneni katika shida na raha ili kila muonane kama watu katika mwili mmoja.
ReplyDeleteMola awajaalie kizazi cha watoto wengi wa kike na wafanane na mama yao, awajaalie vidume vitatu vinne vya kuwalinda dada zao na zaidi ya hapo awajaalie maisha mema yenye furaha na kipato cha kutosha kuiendesha familia hiyo.
ReplyDeleteMwanangu Mrisho, mke kama huyo sio wa kumtuma kuomba chumvi kwa jirani, ni makosa makubwa.
Nawatakia kila la kheri, twasubiri kwa hamu wajukuu wetu.
SALHA SULEIMAN SENGA HONGERA SANA
ReplyDeleteMDOGO WA MAREHEMU KHADIJA SULEIMAN SENA, MAREHEMU SENGA JNR, MDOGO WA FATMA SENGA WA MIKOCHENI MDOGO WA EDDY SENGA , MDOGO WA HUSNA , HOPE MZEE SENGA AMEFURAHI SANA NA MAMA SALHA . WISHING YOUR A HAPPY LIFE. BE GOOD YANG SISY USIMLET DAD AND MOM DOWN WANAKUPENDA SANA . KAARIBU BWAN SHEMEJI . DADAKO MIKOCHENI
MASHALLAH
ReplyDeleteJamani siwajui lakini Hongereni. Mmetoka BOMBA SANA SANA. Nawaombea kila la kheri nyuso hizo za furaha zikae nanyi miaka 100 na zaidi. Nyumba yenu itawaliwe na hilo tabasamu siku 365 za mwaka. Duh! Jamani kuna watu wameumbwa na kuumbika Sifa apewe muumbaji
ReplyDeletemtoto bwana aibu.
ReplyDeletemdau Msw
Mdau hapo juu, mbona majina ya ubin wa Bwana harusi na bibi harusi yanafanana? Je ni ndugu hawa?
ReplyDeleteMwanamke jicho!
ReplyDeleteNauza nyumba yangu.
Mdau hapo juu, imetokea tu coincidence kwamba Bw. na Bi. Harusi wana the same sir name i.e senga, na sio ndugu.
ReplyDeleteMmependeza sana jamani, nilipata bahati ya kusherehekea nao pamoja siku hii na pia kesho yake golden tulip.
It was one of the best weddings! Harusi hii imeanza kusherehekewa kuanzia Jumatatu 2/3/09 hadi jumapili 8/3/09. Ni kila siku ilikua funika bovu!
Mwenyezi Mungu awajaalie ndoa yenye amani, mafanikio na upendo.