
Ndugu, marafiki na familia ya Mzee Mambali, wanasikitika kutangaza kifo cha Mzee Elibariki Mambali kilichotokea jana kwenye hospitali ya Amana - Ilala, Dar es Salaam.
Shughuli za Msiba zinaendelea nyumbani kwake Tabata, karibu na Shule ya Msingi Tabata / nyuma ya nyumba Kumi za Azimio la Arusha
Taarifa zaidi wasiliana na:
1.Nickson Mambali +11 255 713 105691
2.Boniface Mambali +11 255 713 449 833
3.Emmanuel Kowero +11 255 754 441 283
Na huko Marekani: Mambali's family
5301 Nw 71st Street
Kansas City,
Mo 64151
(816) 606 1604 / (816) 746 6563
"Bwana ametoa na Bwana Ametwaa Jina la Bwana Libarikiwe"
MUNGU AILAZE ROHO MAHALA PEMA PEPONI
Kamati
Michuzi, samahani rekebisha namba za simuhizo za Tanzania. Utafanya wasipatikane hao. Ukipiga TZ tokea nje unaanza na +255, huanzi na +11, hivyo tafadhali ondoa hizo 11.
ReplyDeletePOLENI WAFIWA.
Jamani number hizi ni za sayari gani?
ReplyDelete