
Mimi nashangaa kuona watu wanaendelea kubishana swala la MAXIMO wakati yeye mwenyewe alishasema mwisho wake ni mwezi wa saba mwaka huu hili hampishe kocha mwingine haweze kutulutea mafunzo zaidi ya hapo halipotufikisha yeye.
Sasa kwanini tunapoteza mda kubishana kuhusu Maximo wakati jibu alishatupa mwenyewe? Kwanini tusianze kuwachambua makocha wengine hili tuweze kupata kocha bora zaidi atakaeweza kuchukua timu kuanzia julai? au ndio tumezoea kukosoa tu na sio kusaidia kimawazo au kwa majina ni kocha yupi anafaa?
Naomba uweke post hii hili wadau watoe mawazo yao.hayo ni mawazo yangu binafsi kwamba ni vizuri tukianza kuchambua kocha ambae atafaa kupewa timu julai kuliko kupoteza mda kumchambua kocha ambae anamaliza mkataba wake na kasema anaondoka.
mdau wa soka.
wewe uliyeleta hii mada wewe ndio walewale wa nyuma kabisaaaaaaa, because most of the people they like Maximo!!!! kwani kwa hivi sasa maximo ameweza kuifanikishia stars vitu vifuatavyo:
ReplyDelete(1)ball position (2)ball control (3)ball brain (4)ball discipline.
Haya wadau mwasemaje hapo katka hizo B4,MAXIMO ATAENDELEA TUUU, HATA OBAMA ALIPIGWA MAWE LAKINI AT THE END ALIIBUKA KUWA CAMANDA WA USA.
MUCHACHO MAXIMO IS NUMERO UNOOOOOOOOOOOO IT MEANS THAT RAFIKI MAXIMO NI NAMBA MOJA KATIKA MACKOCHA WALIOINUA STARS.
JEROM- JAPAN!!
Sasa hivi utachambua kocha gani wakati hakuna aliyetuma CV kuomba kazi kama kuna ambao unawafahamu wameomba kazi tuwekee katika hili jamvi tuweze kuwajadili.
ReplyDeletekuna watu mnarukia mada na sio wasomaji wa glob hii ya jamii.wiki iliyopita kulikuwa na mdahalo huo hapa na kama ni msomaji mzuri ulipata picha ya wataz wanasema nini kuhusu maximo.kaka umetumwa na makocha walioshindwa hata kusimamia timu zao kupanda daraja ,tafadhari tuletee kocha wako.
ReplyDeletemwache maximo afanye kazi.kumbuka jk ndo kamweka pale na sio kama siasa unavyofkiri.
MAXIMO AONDOKE.
ReplyDeleteINGAWA AMEANZA KUJIPIGIA CHAPUO KUWA ANA PROGRAM YA MIAKA MITATU HIYO NDIYO GEA ATAKAYOWAPIGA NAYO TFF THEN JK.MAXIMO NI LOOSER.
MCHEZAJI BURTON AMEFUNGWA LAKINI TIMU YAKE BADO INAMPANGA.
ASHLEY COLE KAPATA KESI YA KUENDESHA GARI HUKU AMELEWA NA LEO KACHEZA NA JUVENTUS. KAMA ANGEKUWA MAXIMO NDIO KOCHA WA COLE ANGEJIFANYA TRAFIK NA KUMFUKUZA TIMU YA TAIFA KWA KUENDESHA GARI HUKU KALEWA.
STEVEN GERRARD ANA KESI YA KUMPIGA MTU LAKINI BADO ANAPANGWA NA LEO KAPIGA GOLI MBILI DHIDI YA REAL MADRID.HIYO NIDHAMU NA NDANI YA NJE YA UWANJA YEYE KAITOA WAPI?MARADORA AMEKAMATWA ZAIDI YA MARA MOJA AKIWA NA MADAWA YA KULEVYA NA KUFUNGIWA ALIPOKUWA ITALI.LAKINI NI MARADORA ALIYEWAPA UBINGWA NAPOLI.NA ALIPOONDOKA TIMU IKASHUKA DARAJA.JEEE CHUJI AMEFIKIA HUKO KWA KINA MARADONA?KINA CHUJI BADO WANAWEZA KUREKEBISHWA HAWAJAKATA KAMBA.MWALIMU MZURI AKIPATIKANA ATAVIOKOA VIPAJI VYA WACHEZAJI WETU.
KASEEJA SIJUI ALIMKOSEA NINI BABA HUYU.HIVI KAMA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI AKIJA MWANAFUNZI KACHELEWA JIBU LAKE FUKUZA,AKIJA HAJAFAGIA FUKUZA,UTABAKI NA NANI?MAXIMO ANAHITAJI KUPIMWA NADHANI SI MZIMA KICHWANI.
MCHEZAJI KAMA DROGBA MWENYE MIAKA 32 LEO KAWAPELEKA CHELSEA HATUA KUBWA UEFA KWA GOLI LAKE LA DAKIKA 83.MAXIMO ANASEMA TIMU YA TAIFA HANA NAFASI YA WACHEZAJI WAZEE.AC MILAN WANAMCHUKUA BECKHAM ANA MIAKA 34.
BARRACK ANA 33. DAVID JAMES 39.
KIFUPI HAJUI ANAFANYA NINI.MARA AMEKUJA NA GEA MPYA KUWA SASA ANATAKA KIKOSI CHA VIJANA ATAONDOA WAZEE WOTE,SWALI KWANINI ASICHAGUE HAO VIJANA WAKATI TUNAKWENDA CHAN?
NA KAMA ANATAKA VIJANA BASI ACHUKUE TIMU YA TINOCO NA HII YA WAKUBWA AJE KOCHA MWINGINE HATA MBARAKA WA ASHANTI ANATUFAA, LAKINI KUWA NA MAXIMO TENA ATATUANGUSHA.
MAXIMO AMESHINDWA KUELEWA KUWA WACHEZAJI WENGINE WANATAKIWA UWE NA SAIKOLOJIA YA KUWATENGENEZA.
ROONEY KAMA ASINGEPATA KOCHA MZURI ANGEPOTEZWA KWA UTOVU WA NIDHAMU LAKINI FERGUSSON ANAJUA KUDEAL NAE.
EL HADJI DIOF MARA KAWATEMEA MASHABIKI MATE LAKINI BIG SAM ANAJUA JINSI GANI AENDE NAE.HATA ANELKA HUKO NYUMA KABLA YA KUSILIMU ALIKUWA MKOROFI LAKINI AKAMPATA MZEE WENGER AKAMUWEKA SAWA.
WILIAM GALLAS ANA MIAKA 33 LAKINI HUWEZI KUMUACHA KUMPANGA KWANI UZOEFU NI DAWA.
MAXIMO KUMUWEKA BENCHI CHUJI NA BOBAN NI SABABU TOSHA KWETU KUTOKA KWANI CHUJI NI KIUNGO MKABAJI AMECHEZA MPIRA MKUBWA NA CAMEROON.ANGEWEKWA SENEGAL NA ZAMBIA WANGEPATA TABU YA KUFUNGA.
BOBAN AMEZALISHA MAGOLI MENGI LAKINI MAXIMO KWA CHUKI ZAKE HAWATAKI.LABDA TUMTAFTIE MALAIKA ACHEZE NAO.
MAXIMO HAWEZI KUONDOKA KWANI HAWEZI KUPATA TIMU NCHI YEYOTE HANA KIWANGO LABDA ATARUDI TENA KUIFUNDISHA MBAGALA MARKET KWANI IMEPANDA LIGI KUU.
CHELSEA WAMEBADILISHA MAKOCHA MATUNDA TUMEYAONA,
TOTTENHAM,BLACKBURN N.K
KWNZA MAXIMO ANGEKUWA SIO KAUZU ANGEJIUZULU MWENYEWE.KOCHA UNAPOSHINDWA KUCHUKUA KOMBE UNAJIUZULU AUTOMATIC LAKINI YEYE KAUZU ANATUONA WAJINGA.
MDAU KISIJU.
Sisi wabongo maneno mengi sana sijui lini tutabadilika.
ReplyDeleteYule Maximo ameajiliwa na mh Rais. na amefanya kazi nzuri sana.
Rais keshatamka wazi kuwa wasiompenda Maximo basi wamwajili kocha mwingine!!!!
Hao makocha unaotaka tuwajadili utawalipa wewe? jamani turidhike na tulichonacho na hatua tuliyofikia. mnataka tuwe kama nchi gani kimpira uingeleza?, italy?, germany? wakati ka nchi kenyewe tunakajua wenyewe.
suala la kujadili hapa ni vilabu vya ndani viendeshwe vipi ili viweze kutoa wachezaji wazuri na sio Maximo.
JOEY BURTON WA NEW CASTLE AMEWAHI KUFUNGWA JELA NA MWAKA JAKA CAPELLO MWAKA JANA ALIMCHAGUA TIMU YA TAIFA.
ReplyDeleteGEORGE BEST NA GAZZA WAMEWAHI KUINGIA UWANJANI WAKIWA WAMELEWA NA MAKOCHA WAO WANAJUA LAKINI KWA VILE WANAFANYA KAZI VIZURI HAKUNA ANAYESUMBUKA NAO.
WEWE ULIYEWEKA MAONI HAPO JUU KUWA RAIS AMAMLIPA LAKINI UELEWE NI KODI YA WATANZANIA WOTE TUNA HAKI YA KUMUHABARISHA JUU YA UTENDAJI WA HUYU BOMU MAXIMO.WEWE INAWEZEKANA MPIRA UMEUJUA ALIPOKUJA MAXIMO LAZIMA UTAONA HAKUNA KOCHA KAMA HUYO. JK ANAJUA KABISA MAREHEMU TAMBWE LEYA AU KOCHA VICTOR NI BORA MARA ELFU KWA MAXIMO.MAXIMO HAMFIKII HATA BENDERA JOEL.KWANI HILI KOMBE ALILOTUPELEKA HATA FIFA HAWALIJUI.
VIONGOZI WA TFF WAMECHOKA NA MAXIMO HAWATAKI HATA KUMUONA LAKINI HAWANA JINSI.BAADHI YA MAONI TUNATOA KWAO.
MAXIMO AMESHINDWA HATA KUELEWA NA WALE MAKOCHA WABRAZIL WENZAKE.WAMEAMUA WAONDOKE KWA MAJUNGU YA MAXIMO.
MAXIMO HAMFIKII HATA KOCHA POPADIC.
Ee bwana wewe mdau wa hapo juu. You made nice my day maaaan!!! thats good,kwa kuongezea B ya (5)ni ('"ball saikolojia') kwani timu yataifa sasa inaweza kucheza na timu yoyote duniani!!!!!
ReplyDeleteNa huu ndio wakati wa macocha wetu kujifunza kwa mwenzao na sio majungu kwani siku zote majungu hayajengi!!!!
Tibaigana ruta-holland
kuna makocha wengi duniani ambao wanauwezo wa kuinua soka la bongo,kwanini ti efu efu wasiongee na mbrazil scorali baada ya kushindwa kutumia akili ya kufanya kombinesheni mwanana ya didie drogba na anelka aje kuvutana mashati na kina nsajigwa hapa bongo?wadau mnasemaje?scorali yupo free saivi hadi awaiwe na trinland and tobago ndio tuanze kujiuliza?
ReplyDeleteProfesa Victor Stancilescu
ReplyDeleteHii habari imetoka katika gazeti la Champion. Maximo alisema Boban anataka kupangwa mechi lakini hataki kufanya mazoezi. Yaelekea Phiri ana wasiwasi huo...
ReplyDeletePhiri amjia juu Boban champion
Akizungumza na Championi jijini Dar es Salaam jana, Phiri alisema Boban ni mmoja kati ya wachezaji ambao hawajaripoti kambini, hivyo wanamuharibia programu yake ya mazoezi.
“Sielewi kwanini baadhi ya wachezaji wanashindwa kuwa na nidhamu ya kufanya mazoezi. Tumeanza programu ya kumalizia mechi zilizobaki kwenye mzungumko wa pili wa ligi, lakini inasikitisha mtu kama Boban hajaripoti tangu atoke Ivory Coast.
“Sioni kama kuna sababu za wachezaji kutoa sababu za kitoto wakati wanajua tupo kwenye kipindi kigumu cha kuwania nafasi ya pili. Kuna umuhimu wa kuwadhibiti,” alisema.
Aidha Phiri alifafanua kuwa mechi ya kesho dhidi ya Vancouver itakuwa kipimo kizuri kwa ajili ya mechi zijazo za Ligi Kuu Tanzania Bara.
Inaelekea aliyeleta hii mada ni huyu Mdau KIsiju! Sasa tujadili nini bila kujua nani ameapply?au unataka tuanze kuwajadili wakina Scolari na Erickson?Maana kwa uwezo wako wa kufikiri unadhani wanalipwa dola 10,000 kama Maximo, ndio maana mmekalia kusema Maximo analipwa Mamilioni. Ni ajabu kulinganisha wakina Drogba (32),Barack (33) na wachezaji wa TZ, hivi kuna wachezaji wwetu wangapi wamefika miaka 30 wakiwa na kiwango cha juu?ukiacha wachache sana kina Marehemu Kizota?anapoongelea anajenga vijana tunatarget CAN 2012 na hata world cup 2014, sasa uking'ang'ania mTz wa 34, mwaka 2014 atakuwa wapi?
ReplyDeleteNamuunga mkono JK,Maximo is the man!
HM