Home
Unlabelled
taifa stars wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
yehuuuuuuuuuuuuuuuuuu yoooooooh
ReplyDeletekhaaaa maajabu aya!ivi ni macho yangu au?
dah vijana wametoka kinoma kumbe wana "jezi za suti"
duh afadhali,kwakweli kwa izo suti tu basi ata km mngekua mmetolewa 1st round,nawapenda tuuu.
hahahahaaaa
VIVA TAIFA STARZ,VIVA TANZANIA,VIVA MAXIMO!
JAMAA MBONA WANAONA NOMA...?? MANAKE NAONA KILA MTU AMEELEKEZA SURA UPANDE WAKE, WENGINE NDIO WAMEANGALIA CHINI KABISA...
ReplyDeleteweweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
ReplyDeletejamani me nataka mume kati yenu basiii
sifa zangu:
1.shabiki wa michezo lukuki,sana mpira wa miguu.
2.nna shule/proffesheno ya kufa mtu yan hatutalala njaa ata km ukufikia kiwango chako mwisho,ntakutunza tu.
3.bado mbichiiiii (mjiju)
4.sina shutuma za EPALISM
5.ata uswazi ntaishi tuu,ingawa wewe utachagua pa kuishi popote tu.
6.nk nk
wanapendeza,likini wanaonekana baadhi yao kama hawajazizoea na wanzionea aibu.
ReplyDeletesafi sana,siku nyigine zisiwe dar combine, hata rangi tofauti zitapendeza sana zaidi.
Ina maana Chuji na Boban walinyang'anywa suti?
ReplyDeletewawili mbele kulia wameniangusha naona wanaona aibu kuvaa suti haha wameziba nyuso zao vp vijana japo mmeshindwa bado twawapemda yaghe
ReplyDeleteBIG UP to Taifa Stars....mumejitahidi.... half a loaf is better than none....ni afadhali kuenda kwenye mashindano kuliko kutoenda kabisa.....
ReplyDeletemdau japan
mambo si hayo bwana!! vijana wanameremeta si mchezo!!! ni lazima waelewe kwamba wacheza mpira nao pia ni professionals, na hizi suti si kwa ajili ya mawaziri tu. isije ikatokea tena kualikwa ikulu mukaingia na nguo zisizoeleweka
ReplyDeleteMbona wenyewe hajiamini, wanaona aibu!!! hee wamezoea kuvaa masulubwete nini? mpaka wanaonekana si wazoefu wa kuwa watanashati.
ReplyDeleteMichuzi hii comment sio mahali pake lakini ni vema ukajaribu kusaidia ukiwa kama mwana habari. Katika website nyingi za Tz nimeona hamna link ambayo mtu anaweza kutuma feedback kwa site manager eg nikitaka kusahihisha jambo au kushauri kuhusu website yako sina pa kutuma comments etc, Hili tatizo wanalo pia IPPMEDIA mara nyingi link zao hazifanyi kazi lakini hamna sehemu mtu anaweza kucomment. USITUPE kapuni naomba usaidie kulifanyia kazi. Asante mdau ughaibuni
ReplyDeleteHongereni Stars mmependeza sana,pamba za nguvu.
ReplyDeletewamekula pamba?kwani pamba inaliwa?
ReplyDeletevijana mabalozi wetu waliotuwakilisha katika michuano ya Afrca karibuni nyumbani, bado hatuta acha kuwapenda pamoja na cocha wetu maximo.
ReplyDeletemungu ibariki tanzania na watu wake.
mdau canada!
Mi niliwahi kusemaga kwenye kibaraza hichi hichi juu ya uvaaji wa suti ( ref. walipoenda Ikulu kuagwa) nikasema mara moja moja si mbaya wakibadilika maana Maximo na viongozi walikuwa na suti siku hiyo.
ReplyDeleteWajuvi wa kitaa wakanivagaa hapa eti oooh wao uniform yao ni jezi! Kah! ndo kila mahali kama Kunguru/ maana Kunguru hana badiliko. tangu hiyo suti yake ya manyoya alozaliwa nayo hadi ufaji!
sasa leo wamevaa suti, wanaambiwa wamependeza sijui nini!
Watu na viatu! Sema wewe kiazi mie muhogo nkisema nina mzizi!
Nyota
UWIIII SUTI ZETU JAMANI TUMEWAPA SUTI HATA MLICHOFANYA HAKUNA
ReplyDeleteTUNATAKA SUTI ZETUUUU
TUNATAKA SUTI ZETUUUU
OYA
TUNATAKA SUTI ZETUUUUU
kweli wamependeza sana ila nimekubali suti kibongo bongo ni za wasomi tuuu mbona wanaona noma kama hawajavaa nguo?
ReplyDeleteZIPO HABARI KUWA BAADHI YAO WAMESHAZIUZA HIZO SUTI. HATA HIVYO SUTI ZINGEENDANA NA USHINDI KWANI HAIPENDEZI SUTI NYINGI HAKUNA USHINDI.
ReplyDeleteNext Time,Uzembe acheni!Ushindi ni pale Kipenga cha mwisho kitakapo pulizwa na Refa!Usimcheke Mamba kabla Hujavuka Mto!Mkilimbuka hilo,mtashinda mechi nyingi.Angalau mmetuhakikishia kwamba mkipania mnaweza,kwani walioweza wana nini?Si Goroli Mbili kama nyinyi?Au vipi?Big Up Stars! Hongera Maximo kwa uvumilivu!Tunajuana wenyewe,Wabongo wavivu!Penda Mtelemko tu!
ReplyDeleteni swali tu,hii ndio taifa stars ya kwanza kutinga viwalo dizaini hii??mdau clmbs.OH 43229
ReplyDeleteno photogenic at all!!
ReplyDeletehao waloziba-ziba nyuso zao na wanaotoa matongo-tongo ndo nini sasa!!!
hamko UCHI jaman mmevaa tu kiwalo cha suti ni kawaida,SAWA VIJANA?
muwe photogenic!!
Inanikumbusha nilivyokuwa village,cku ya kwanza nilivyoletewa pamba kali,baada ya kuivaa nilikosa pozi kabisa,hivyo siwashangai hao jamaa ni ushamba tu watazoea taratibu
ReplyDeletembona hawajazoea picha?...maphotogenic hamna kabisa
ReplyDeleteureeeeeee