taifa stars wakiwa wamekula pamba zao mara waliporejea toka ivory coast leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. yehuuuuuuuuuuuuuuuuuu yoooooooh

    khaaaa maajabu aya!ivi ni macho yangu au?
    dah vijana wametoka kinoma kumbe wana "jezi za suti"

    duh afadhali,kwakweli kwa izo suti tu basi ata km mngekua mmetolewa 1st round,nawapenda tuuu.

    hahahahaaaa
    VIVA TAIFA STARZ,VIVA TANZANIA,VIVA MAXIMO!

    ReplyDelete
  2. JAMAA MBONA WANAONA NOMA...?? MANAKE NAONA KILA MTU AMEELEKEZA SURA UPANDE WAKE, WENGINE NDIO WAMEANGALIA CHINI KABISA...

    ReplyDelete
  3. weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!

    jamani me nataka mume kati yenu basiii

    sifa zangu:
    1.shabiki wa michezo lukuki,sana mpira wa miguu.
    2.nna shule/proffesheno ya kufa mtu yan hatutalala njaa ata km ukufikia kiwango chako mwisho,ntakutunza tu.
    3.bado mbichiiiii (mjiju)
    4.sina shutuma za EPALISM
    5.ata uswazi ntaishi tuu,ingawa wewe utachagua pa kuishi popote tu.
    6.nk nk

    ReplyDelete
  4. wanapendeza,likini wanaonekana baadhi yao kama hawajazizoea na wanzionea aibu.
    safi sana,siku nyigine zisiwe dar combine, hata rangi tofauti zitapendeza sana zaidi.

    ReplyDelete
  5. Ina maana Chuji na Boban walinyang'anywa suti?

    ReplyDelete
  6. wawili mbele kulia wameniangusha naona wanaona aibu kuvaa suti haha wameziba nyuso zao vp vijana japo mmeshindwa bado twawapemda yaghe

    ReplyDelete
  7. BIG UP to Taifa Stars....mumejitahidi.... half a loaf is better than none....ni afadhali kuenda kwenye mashindano kuliko kutoenda kabisa.....

    mdau japan

    ReplyDelete
  8. mambo si hayo bwana!! vijana wanameremeta si mchezo!!! ni lazima waelewe kwamba wacheza mpira nao pia ni professionals, na hizi suti si kwa ajili ya mawaziri tu. isije ikatokea tena kualikwa ikulu mukaingia na nguo zisizoeleweka

    ReplyDelete
  9. Mbona wenyewe hajiamini, wanaona aibu!!! hee wamezoea kuvaa masulubwete nini? mpaka wanaonekana si wazoefu wa kuwa watanashati.

    ReplyDelete
  10. Michuzi hii comment sio mahali pake lakini ni vema ukajaribu kusaidia ukiwa kama mwana habari. Katika website nyingi za Tz nimeona hamna link ambayo mtu anaweza kutuma feedback kwa site manager eg nikitaka kusahihisha jambo au kushauri kuhusu website yako sina pa kutuma comments etc, Hili tatizo wanalo pia IPPMEDIA mara nyingi link zao hazifanyi kazi lakini hamna sehemu mtu anaweza kucomment. USITUPE kapuni naomba usaidie kulifanyia kazi. Asante mdau ughaibuni

    ReplyDelete
  11. Hongereni Stars mmependeza sana,pamba za nguvu.

    ReplyDelete
  12. wamekula pamba?kwani pamba inaliwa?

    ReplyDelete
  13. vijana mabalozi wetu waliotuwakilisha katika michuano ya Afrca karibuni nyumbani, bado hatuta acha kuwapenda pamoja na cocha wetu maximo.
    mungu ibariki tanzania na watu wake.
    mdau canada!

    ReplyDelete
  14. Mi niliwahi kusemaga kwenye kibaraza hichi hichi juu ya uvaaji wa suti ( ref. walipoenda Ikulu kuagwa) nikasema mara moja moja si mbaya wakibadilika maana Maximo na viongozi walikuwa na suti siku hiyo.

    Wajuvi wa kitaa wakanivagaa hapa eti oooh wao uniform yao ni jezi! Kah! ndo kila mahali kama Kunguru/ maana Kunguru hana badiliko. tangu hiyo suti yake ya manyoya alozaliwa nayo hadi ufaji!

    sasa leo wamevaa suti, wanaambiwa wamependeza sijui nini!

    Watu na viatu! Sema wewe kiazi mie muhogo nkisema nina mzizi!

    Nyota

    ReplyDelete
  15. UWIIII SUTI ZETU JAMANI TUMEWAPA SUTI HATA MLICHOFANYA HAKUNA

    TUNATAKA SUTI ZETUUUU
    TUNATAKA SUTI ZETUUUU
    OYA
    TUNATAKA SUTI ZETUUUUU

    ReplyDelete
  16. kweli wamependeza sana ila nimekubali suti kibongo bongo ni za wasomi tuuu mbona wanaona noma kama hawajavaa nguo?

    ReplyDelete
  17. ZIPO HABARI KUWA BAADHI YAO WAMESHAZIUZA HIZO SUTI. HATA HIVYO SUTI ZINGEENDANA NA USHINDI KWANI HAIPENDEZI SUTI NYINGI HAKUNA USHINDI.

    ReplyDelete
  18. Next Time,Uzembe acheni!Ushindi ni pale Kipenga cha mwisho kitakapo pulizwa na Refa!Usimcheke Mamba kabla Hujavuka Mto!Mkilimbuka hilo,mtashinda mechi nyingi.Angalau mmetuhakikishia kwamba mkipania mnaweza,kwani walioweza wana nini?Si Goroli Mbili kama nyinyi?Au vipi?Big Up Stars! Hongera Maximo kwa uvumilivu!Tunajuana wenyewe,Wabongo wavivu!Penda Mtelemko tu!

    ReplyDelete
  19. ni swali tu,hii ndio taifa stars ya kwanza kutinga viwalo dizaini hii??mdau clmbs.OH 43229

    ReplyDelete
  20. no photogenic at all!!
    hao waloziba-ziba nyuso zao na wanaotoa matongo-tongo ndo nini sasa!!!

    hamko UCHI jaman mmevaa tu kiwalo cha suti ni kawaida,SAWA VIJANA?

    muwe photogenic!!

    ReplyDelete
  21. Inanikumbusha nilivyokuwa village,cku ya kwanza nilivyoletewa pamba kali,baada ya kuivaa nilikosa pozi kabisa,hivyo siwashangai hao jamaa ni ushamba tu watazoea taratibu

    ReplyDelete
  22. mbona hawajazoea picha?...maphotogenic hamna kabisa

    ureeeeeee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...