kiongozi wa twanga pepeta hamisi amogorasi akisalimiana na waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa mh. bernand membe, na naibu waziri wa habari, utamaduni na michezo, joel bendera (kulia) na ofisa uhusiano wa tbl maneno mbegu (shoto) mar baada ya kili marathon jana uwanja wa ushirika moshi
lwiza mbuttu akiongoza safu ya ushambuliaji ya twanga pepeta kwenye kiota cha maraha cha aveture jijini moshi usiku wa kuamkia leo katika kuhitimisha kili marathon 2009
lillian internet (kulia) na waenzie wakipepetua mtindo mpya wa twanga pepeta wa 'kisigino'
charles baba akihamasisha mugongo-mugongo usiku wa kuamkia leo




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hi!hi! Hongereni sana wazawa
    twanga na kupepeta!!!kazeni mkanda!
    libene linahitaji uvumilivu

    ReplyDelete
  2. Hello! Twanga pepeta kamatieni hapo! hapo! yaani hakuna kushindana na wakuja,nyini kazi mnaiweza na trip zenu kubwa!wazawa kamatieni hapo hapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...