Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HALLELUYAH!!!!
ReplyDeleteAiiiiiiimeeenn
ReplyDeleteuko kupelekana mahakamani ni danganya wadanganyika tu, hilo zowezi linafanywa ili kuuridhisha uma, lakini ukweli unajulikana hakuna yeyote yule kati ya hao wanaofikishwa mahakamani ataukumiwa kifungo hapo, kama hamuamini tusubiri kama wake akina pesambili na yona watafikishwa tena mahakamani,mtego wa hilo zowezi ni mrahisi tu kinachotakiwa ni kuhakikisha kuwa kila mara wakifikishwa mahakamani ni sura mpya ili kuupa uma muda wa kuzisahau zile sura za zamani. tokalini ukaona mtu mwenye akili timamu akakata tawi alilolikalia wewe michuzi?
ReplyDeleteMbega hapa hasira kibao yani
Natamani hao viongozi wetu wawe kweli wamefika hatua ya kufikiri hivyo sasa, tutakuwa tunamepiga hatua mbele; kwani haya hayakuweza kufikiriwa miaka hata mitatu iliyopita.
ReplyDelete