Home
Unlabelled
umbea wa nathan mpangala leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Habari za hapo nyumbani TZ? Mimi ni Mdau wa Blog yako ambaye kwa sasa nipo CANADA kimasomo.Huwa nahudhuria mechi mbalimbali za soka hapa Montréal,lakini huwa naona watu wa Usalama muda wote wa mechi huwa wanaangali Mashabiki na sio Mpira kama wafanyavyo Maaskali wetu huko TZ.Labda tungemwambia Mwema awape SEMINA hao POLISI wake jinsi ya kulinda amani viwanjani na sio kwenda uwanjani kuchukua rushwa milangoni na kuangalia SOKA.Sio wasubiri litokee jambo ndio waanze kusingizia bahati mbaya kama walivyosema wakati Mzee Ruksa alipozabwa KIBAO.
ReplyDeleteAskari wa uko majuu hulipwa huwa uwanjani kikazi. Askari wa bongo huwa uwanjani na magwanda kukwepa kulipa kiingilio na si kikazi. Habari ndo hiyo!
ReplyDeleteBig up kwa huyo njagu anayejaribu kuzui goli...!!
ReplyDeleteWe acha tu,enzi zetu za chandimu mbona tuliziminya mpaka chozi linatoka na bao mnapigwa vile vile..lol!!