Ndugu wadau,
Jumatatu tarehe 23 Februari 2009, ujembe mfupi wa simu za mkononi ulitumwa na kuzungushwa kwa watu, ukisema kwamba, taasisi ya British Council ina nafasi za kazi.
British Council inatoa taarifa kwamba ujembe huu ni wa uongo na wakupotosha. British Council haijatangaza nafasi za kazi kupitia vyombo vyovyote vya habari au mitandao ya simu.
Taasisi ya British Council hutangaza kazi kupitia makampuni maalum ya uajiri.
Upotoshaji huu unasababisha athari kubwa kwa watu wengi na wengine hata kutoka mikoani.
Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliotokea kwa wale wote walio pokea ujumbe huu potofu.
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na:
Zena Maajar,

Ofisa Uhusiano
simu namba
+255 (0) 22 2165300
Michuzi hebu leta habari nasikia Rehema Mwakangale mtangazaji wa ITV amefariki ni kweli? Maana hata jana hukutupa breaking news za Ris mmoja wa africa aliyeuawa ukauchuna tu mzee mzima
ReplyDelete