Home
Unlabelled
wakati mpendwa wetu mzee ruksa aliposhambuliwa jukwaani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hiyo ndiyo Tanzania tunayojivunia kuwa ina amani kumbe imejaa extremist.Jamani mbona formula ni rahisi kama hukubaliani na mafundisho una haki ya kutofuata kwa sababu hulazimishwi na mtu yeyote una uhuru wako mwenyewe.Kilichofanyika kwa nchi yetu ni kashfa kubwa na itakuwa kwenye historia mbaya,ni aibu kwa nchi,ni aibu kwa serikali kwa kukaa kimya bila kulaani hicho kitendo hadi leo(jana)ni aibu kwa usalama wa Taifa ambao wana jukumu la kumlinda Rais mstaafu na aibu kwa waislamu kwa kufuga extremists huko misikitini.Nadhani tunakoelekea ni kubaya kama hao machokoraa wanaweza kudhalilisha viongozi wetu.Leo imetokea msikitini kesho wataenda kuchoma ikulu,misikiti au makanisa.Nimesikitika sana kusoma kuwa kuna wengine wanashabikia na kuunga mkono hicho kitendo cha kidhalilishaji na kinachopaswa kulaaniwa na mtanzania yeyote yule,jamani bado tupo karne ya tano wengi wetu hawajastaarabika hata kidogo.
ReplyDeleteHaha! hahaaaa ila hii inasikitisha! ila video ndo imenimaliza maana mwinyi alitaka kumridshia naye kofi!. hapa angekuwa mkapa ndo kaPigwa! huyu jamaa wa2 wangemuwekea dhamNA!
ReplyDeleteTEXAS.
JEHOVAH TUEPUSHE HILI BALAA LA ROHO ZA AINA HII TANZANIA
ReplyDeleteamin
Courtesy READINGISLAMDOTCOM
ReplyDelete"The shooting spree and the horrific rampage that was carried out earlier this week by a German teenage gunman, Tim Kretschmer, who went to his former school in Winnenden and killed 16 people and then took his own life, is similar to what Michael Mclendon, an American gunman who earlier killed 10 people in Alabama including his own mother, grandmother, his uncle and two cousins.
Feelings of anger and full condemnation to the two incidents have been heard across the world, but surprisingly, the religions of the two shooters were not accused of promoting terrorism, supporting violence, or of teaching hatred towards others.
Western media has failed to mention that both shooters were Christians, and one of them wanted to sue his family, which he ended up killing, because he wanted to retrieve a family Bible, which would insinuate some religious association to his faith."
SERIKALI IMEFANYA KINACHOTAKIWA KILICHOBAKI NI KUWEKA MEASURES ILI ISITOKEE TENA.
raf
Let's imagine for a second that these gunmen were Muslims. Would they still be mentioned by their nationalities only? Or would their religion — Islam — make the headlines?
kama mzee ruksa aliona lile ndio jukwaa la kuwahimiza watu kuzini kwa mipira basi na akome,Mungu Mwenyezi alishatukataza kuzinikwa njia yoyote ile na akazungumze kwenye majukwaa ya tacaids sio katika jukwaa la mazazi ya mtume Muhammad (s.a.w)kwani unapoidhalilisha dini hii haiangaliwi wewe ni rais ktk mamlaka za kilimwengu maadam umeutukana uislam.hivyo ni vyeo tu vya kudunia ambavyo wengine uvipata hata kwa rushwa tu.so mheshimiwa alipotoka, na kijana alishikwa na hasira subra ikamshinda.kwangu naamin hilo ni funzo kwa wengine.
ReplyDeletehiyo linki ni ya image sio video, umechapia michuzi.
ReplyDeleteAMEHUKUMIWA KUTUMIKIA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA JELA. LAKINI TUKUMBUKE VIONGOZI WA NCHI NYINGINE WANAPOFANYIWA VITENDO HIVI SISI HUCHEKELEA.
ReplyDeletena hiyo ndio tanzania tunayoijuwa ukifanya kosa huadhibiwi kutokana na sheria za nchi, ila wana usalama na askari huanza kukupiga na pia kuwaachia wananchi pia wakupige makungfu. TANZANIA TAMBARARE!!!!!!!!!!!!!!!!1
ReplyDeleteWewe mtowa maoni wa mwanzo unajuwa maana ya extremist au unaropokwa tu? Huyu jamaa kwa kuwa amefanya kosa la kumpiga rais mstaafu halimaanishi kabisa kama tanzania kuna extremist.
ReplyDeleteKaka Michuzi hii video inahuzunisha sana mi machozi yananibubujika tu, huyu jamaa sijui apewe adhabu gani, dunia imebadilika ye alitaka nini kitumike kama kinga ya ukimwi kwani hata waislam nao wanapata maambukizi, na ametoa ushauri tu si lazima kuufuata kama haukufai.Dah kweli watu wamekosa haya..
ReplyDeletenaona watu wanaiga eti kwa sababu bush kapigwa kiatu tena na akili zetu dhaifu jamaa kaona na yeye ajaribu nchi yenyewe tanzania watu wanauchungu na maisha huyo polisi mwenyewe anataka sababu tu kupiga na hao raia usiseme kijana hapo umechemsha
ReplyDeleteWewe anon hapo juu ni m.p.u.m.b.a.v.u...nani kakwambia waislamu wanafuga extremist? nyie ndio walewale mlio na fikra waislamu ni magaidi...ibrahim amejaribu kuonyesha hisia zake na kufikisha ujumbe kwa adhira kwa mtindo wa kipekee. Tunasikitika kwasababu aliyepigwa ni Mwinyi au? Ibrahim amekiri kosa na ameomba radhi lkn lengo lilikuwa kufikisha ujumbe, kwa nini tusilaumu usalama wetu mbovu? mie nadhani Bosi wa usalama, waziri wa mambo ya ndani na wengineo wenye dhamana ya usalama wa taifa wanatakiwa wastep down...wao ndio wametia aibu kwa kuonyesha udhaifu wa ulinzi wetu, ingekuwa vp kama Ibra angekuwa na siraha. Watz tuondakane na mawazo ya Tanzania ni amani, sasa ivi watu wamepinda kutokana na msongo wa maisha. Na mambo ya kusingizia dini kama sababu tuache, vp Kama ibra angemshambulia Pengo, Kilaini, Malasusa, Kakobe, Rwakatale...mngesemaje???
ReplyDeleteUsalama ni mbovu, Jk wawajibishe hawa jamaa mpaka Masha mwenyewe.
ReplyDeleteUsalama wamechemsha kumpiga Ibrahimu, hawakuonyesha uweredi wa taaluma yao...kama kweli wangekuwa wanaijua kazi yao huyo jamaa asingefika jukwaani na kumpiga Alhaj Mwinyi tena kwa mkono, kheri ile ya Bush na kiatu.
By the way Ibra kafikisha ujumbe....Takbiiiiiiiiiir
Sheikh Gorogosi-Jiuzulu
ReplyDelete“Sisi msimamo wetu upo pale pale kama jana (juzi), kwamba kijana huyu anasumbuliwa na matatizo ya akili na si vinginevyo, hivyo kitendo hicho hakina uhusiano na jambo jingine lolote lile,” alisema Sheikh Gorogosi.
Kutokana na maneno hayo ya Gorogosi, Kijana kapimwa akili imekutwa ipo sawa sawia, kachekiwa kama anatumia madawa ya kulevya, yupo sawa, hatumii vitu hivyo.
Ikumbukwe kijana huyu kasoma shule za vipaje maalumu, amesoma Tabora Boys na Ilboru, inaonesha kijana zinachaji kama kawaida.
Hebu soma msimamo wa Sheikh Ponda “Mwinyi alikuwa pale kibiashara zaidi, hawezi akaanza kuzungumzia masuala ya kutumia kondomu na kuwashawishi Waislamu na masheikh eti kujadili, wajadili nini na kitu gani na ni nani asiyejua kama yeye yuko kwenye Bodi ya Kinga ya Kondomu?” alihoji Sheikh Ponda.
Nipo katika tafakari zaidi kuangalia mambo ya kidini, kijamii na kisiasa kuhusiana na tukio hili.BNinafsi sikubaliani na kijana huyo kama hana akili nzuri.Kama nikikubaliana na hoja ya akili ya kipunguani, basi inabidi nikubaliane aliyempiga kiatu Bush naye ana akili za kipinguani. Na tusisahau kuwa msafara wa Kikwete huko Chunya Mbeya ulipigwa mawe, hivyo tuseme na watu wote wa Chunya ni mapunguani.Na aliyemsukuma Kikwete jukwaani Mwanza kipindi cha kampeni 2005 naye ni punguani.Na aliyempiga risasi Lincoln na Kennedy (maraisi wa Marekani) nao ni mapunguani.Na alimpiga Papa John Paul II 13 May 1981 yule Mturuki naye ni punguani.Sikubaliani na hoja za UPUNGUANI wa akili zinazoletwa na akina Gorogosi.Wasikwepe lawama kuwa wao ni wa husika
KUMBE KIBAO KILIKUA KIENDE KWA KIKWETE
ReplyDeleteKatika maadhimisho ya Maulid, Kikwete ndio alitakiwa kuwa mgeni rasmi, ila majukumu yalikuwa mengi hivyo kumuomba Alhaji Mwinyi kwenda kumuwakilisha, naye bila hiyana akmaenda kutimiza jukumu hilo.
Na inavyoonekana, nashawishika naye Kikwete angeweza kuzungumzia masuala nya UKIMWI, ila sijui naye kama angeonglea Kondom.Tuchukulie naye angezungumzia Kondom, maana kama mtu aliyeagizwa kumuwakilisha kazungumzia kondom, inawezekana pia aliyeagiza alikua na hilo lengo (ni mafikirio yangu tu), sasa kumbe Kikwete ndio alikua apewe kibao kile na huyu kijana.Hapo ingekuwaje wadau???
MAKULILO Jr,
www.makulilo.blogspot.com
ANGALIA HIYO VIDEO CLIP KWA MAKINI
ReplyDeleteWadau, ukiangalia video clip kwa makini utaona mambo yafuatayo.
1. Kulikua na umbali wa kutosha na utulivu toka meza kuu hadi kwa watu walipokuwepo.Hivyo hakuna suala la msongamano au jamaa alikurupuka tu.Maana yake tangu kijana anasimama huko alipokuwa amekaa mpakana anafika jukwaani tayari watu wanaomfahamu sura yake walishamjua.
Kwa mujibu wa Gorogosi (aliyekuwa jirani kabisa na Mwinyi) na Sheikh Mussa, wanakiri kumfahamu kijana huyo na kusema ni mhudhiriaji mzuri wa hafla za kiislam, lakini ktk hafla nyingi amekuwa akifanya matendo ya kipunguani.Swali, Je, tangu kijana anasimama huko alipokuwa amekaa na hadi kufika jukwaani, Je Gorogosi na Mussa walikua bado hawajamtambua kwamba ndio yule kijana wao wanaomwita PUNGUANI?Na kama walimtambua (kwani wanamjua vizuri) kwanini walimuacha mpaka kuleta madhara?Sasa hawa Mussa na Gorogosi ndio lawamani na lazima wawajibishwe pia, inawezakana wana lao jambo, au ni uzembe wao.
2.Kitu kingine ni suala la wana usalama kumpiga huyo kijana.Huyo kijana baada ya kumpiga Mwinyi kofi hilo, ktk video inaonesha wana usalama ndio wa kwanza kumpiga kjijana huyo.Sasa basi huyo kijana baada ya kutoka jela ya mwaka wake mmoja, ningependa afungue kesi dhidi ya hao wana usalama kwa kujichukulia hatua mkononi na kumsababishia maumivu makali, pia ni shambulio la aibu kwa kijana huyo.Hao wana usalama baada ya kushindwa kuzia kijana kumpiga kibao, basi wakamalizia hasira zao kwa Ustadh Sultan.
MAKULILO Jr,
www.makulilo.blogspot.com
Ila Ustadh Sultan alimnasa kibao kitamu.Kumbe kuna umuhimu wa Michuzi kuwa unatuwekea video kama hizi.Maana walikua wanasema ohhh apiga mic na kutoa muungurumo mkubwa, ila ni almost alimkosa....hapa inaonesha kibao kitam kabisa.
ReplyDeleteMAONI-Michuzi naomba uweke video kuanzia jamaa alipokuwa anasimama toka alipokuwa anakaa hadi jukwaani ili tuweze kuona hao wana usalama walikuwa wanashangaa nini hadi dhoruba kali ikamkuta Mwinyi.
Ila inatoa fundisho, Bongo tambarare kweli kweli
Hatuna POLISI jamani,yaani mtu ameshazibitiwa bado wanampiga tu,khaa utatumiaje nguvu kwa mtu ambaye ushakuwa under arrest. Polisi wetu bado sana,Wamefanya uonevu kwa kumpiga IBRAHIM baada ya kumdhibiti.May Allah BLESS Ibrahim.Dont worry IBRAHIM msg SENT.U are Right.
ReplyDeleteTumefundishwa hatua 3 za kupinga jambo 1.kuchukia, 2.kusema, 3.kutumia nguvu , so u still on the way.
ALLAH KARIM
Mungu kasema "...mkihukumu hukumuni kwa haki..."
ReplyDeleteHapa hata dunia nzima waislamu wangekuwa kama wana mbwata bado wangeitwa majina mabaya. Sasa kutokea mtu mmoja kati ya 15,000,000 akakosea basi mmeshageuza watu woote 15,000,0000 walio tanzania ni extremists.
Mnafagilia dini zenu au mnataka kutatua taizo ili tuwe na amani?
EPUKENI LUGHA CHOCHEZI IKIWA MNAPENDA AMANI ITOKAYO KWA MUNGU. MATATIZO YALE YALE YA KUTOCHAGUA CHA KUSEMA.
Narudia "ukimkosea Mungu unaenda motoni", hii mvua moja ni ndogo kulinganisha na moto.
ReplyDeleteKumbuka kifungu cha maadili kiko katika hadithi ya "si katka sisi asiyewrehemu wadogo zetu na asiyewaheshimu wakubwa zetu"
huu ndio ushamba wenyewe...........hulazimishwi kusikiliza mahubiri .....dini ni wewe na roho yako bwana na siyo muhubiri. muhubiri anafikisha ujumbe tuuuuuuuu.
ReplyDeletemnaleta mambo ya iraq tanzania
Ndugu Zangu Watanzania kuna Mawchache nataka Kuchangia Kuhusu hili Tukio
ReplyDeleteKwakeli hili tukio linasikitisha sana hasa kwa sisi wabeba box tuliobarikiwa kuona uhuru wa binadamu ukitekelezwa kwa vitendo,
Kijana alikuwa anajua alichokuwa anafanya na alikuwa anajua matokeo yake ni kufika kwenye mkono wa sheria na sheria ifate mkondo wake lakini kile walichokifanya hao wanausalama au sungusungu ni cha aibu na kusikitisha kwa jeshi la polisi nchini Tanzania kwa kujichukulia sheria mkononi tena manampiga mabuti kichwani, ni aibu.
Pili mheshimiwa rais mstaafu naona anakanganya mambo, mambo ya dini na kondomu tena wapiwapi tena ndugu zangu watanzania? Yeye kama kiongozi wa mstaafu lazima ajue wajibu wake na wasifu wake kwa kujua aongee nini kwenye mikutano ya dini, au mikutano ya yakijamii siyo yeye anachanganya changanya tu matokea yake anawachukiza watu wenye upeo wao ndiyo maana anakula kibao. Mimi ni mkristo lakini sitakubali kuona kiongozi wa wa serikali anakuja kwenye mkutano wa dini na kuanza kuhamasisha uzinzi halafu viongezi wadini wapo pale pembeni wanakenua meno tu, pumbafu! moto lazima uwake.
Lamwisho Mheshimiwa rais mstaafu usiende tena kwenye mikutano ya dini ukaanza kutoa hotuba zisizoendana na misngi ya dini utapigwa chupa bure ila si shabikii maovu ila natoa taadhari.
Pole kwa wato waliodhurika kwa namna moja au nyingine kwa tukio hili kwa ujumla maana bila hivyo leo tusingekuwa hapa tunajadili hili swala
Asanteni
Kweli hili tukio ni la karne..baya mno kwa macho ya wapenda amani.mbaya zaidi na zaidi ni kumpiga mzee Ruksa ingekuwa Mzee wa Zama za Ukweli angalau watu wangekaa kimya.
ReplyDeletewale wanao m--support kijana aiyefanya kitendo cha aibu nao nadhani HAMNAZO........au mnasemaje wadau?
heri mie sijasema!
KUHUSU KUWA SI VYEMA KUCHANGANYIKA NA MADHEHEBU MENGINE KACHEMSHA.TENA INATAKIWA TUALIKE MADHEHEBU MENGINE YAJE KWENYE MIKUSANYIKO YETU YA KISLAM HASWA! ILI WASIKILIZE MAWAIDHA NA KUTUELEWA WAISLAM NI KINA NANI HASWA.
ReplyDeleteSASA WASIPOKUJA WATA ELEWA VIPI KAMA DINI YA KIISLAM NI YA HAKI?
NI YA MSIMAMO HAIBADILIKI WALA HAIBADILISHWI WALA HAIONGEZWI CHUMVI NA SUKARI NA NDO DINI PEKEE ILIOKUWA NA MWENENDO HUO NI VYEEEEEMA KUALIKA MADHEHEBU MENGINE YAONE VITU VYETU SIO VYA KUCHAPIA CHAPIA.HAPO KIJANA UMEKOSEA.
PIA MADHEHEBU MENGINE YANAPOKUJA KWENYE MAWAIDHA NDO WANAPOPATA IMANI NA KUBADILI DINI ZAO.UCHELEWI KUSIKIA FULANI ANATAKA KUSLIM HAPA HAPA LEO LEO,"MSIMCHELEWESHE"
KUHUSU SEHEMU YA DINI SIO YA KUTANGAZA NGONO ULIMWENGU MZIMA UTAKUHUNGA MKONO,MPAKA MADHEHEBU MENGINE.
NGONA INAWEZA TANGAZWA LAKINI YMCA AU SIKU YA KAWAIDA TU WAPIGE LA MGAMBO MISIKITINI KWA NJE WATANGAZE BALAA LA UKIMWI.
LAKINI SIO KWENYE MKUSANYIKO WA WAZEEE AMBAO HATA HAWAJUI CONDOM INAFANANAJE.
SASA HAO WAZEE SI WATAONA HAYA JAMANI KUTOKANA NA MILA ZETU.
KIJANA AHURUMIWE TU MPENI MIEZI MITATU TU.
KWANZA HATA KIBAO HAKIJAMFIKIA VIZURI KAMKUNA SHAVU TU!
HICHO NDO KIBAO CHA MWAKA MMOJA?
Balozi wa jamii, fikisha ujumbe huu kwa wanahabari wenzio.
ReplyDeleteMi najiuliza ni lini ITV, STARTV, TVT wataanza ku-post taarifa zao za habari buree ktk YOUTUBE.com maana mambo ya kupitia kwenye satelaiti au maajenti wanapoteza mapesa buree.
Hasa hasa ikichukuliwa wanataka kuonekana nje na tofauti ya masaa (time difference)kati ya mabara na nchi, watu wanataka news ktk clips fupi, Al-Jazeera, KTV n.k tayari wanafanya hivyo, je vyombo vya habari TZ hawataki kutumia nafasi hiyo ktk YOUTUBE?
Mdau
Jijini Alberta Canada.
YALAAA! BALAA hili LA HUYU KIJANA KUMPIGA!KIONGOZI! MZEE MWINYI NI KIONGOZI MZURI, WEEE KIJANA MBONA UNA BALAA KIASI HICHO! DA MUOMBE MOLA WAKO USAMEHEWE. WE KIJANA, AMEKUKOSEA NINI? MZEE MWINYI NA HIZO HISIA ZAKO KALI,
ReplyDeleteYALAA! TOBAA!AMEANGUKAMA KOPA MASIKINI SIJUI ATAKWENDA SEMA NINI MAHAKAMANI NA CCM
ReplyDeletehuyu kijana inasemakana anamataizo ya akili,
ReplyDelete.....sasa hawa watu wanao sema kafanya vema kumpiga kiongozi wetu wao wana matatizo ya nini ???!