DIDAS NEW FASHION  
IN COLLABO WITH 
BONGODJS ENTERTAINMENT 

KWA MARA YA KWANZA INAWELETEA BURUDANI YA MWAKA 

WAZEE WA MUJINI FM ACADEMIA aka WAZEE WA NGWASUMA aka WAZEE WA PAMBA KUWASHA MOTO NDANI YA UK

EASTER WEEK END JUMAMOSI  11/04/2009 WATAKUWA BIRMINGHAM AFZALS CENTRE 
168 BRIDGE STREET WEST NEW TOWN 
B19 2YX 

SHOO YA PILI JUMAPILI 12/O4/2009 
NDANI YA READING FACE CLUB 
RG1 7JE 
FROM 10PM TILL4 AM 

TUNAWATAKA RADHI KWA KUTOWEZA KUFANYA SHOO YA KWANZA MILTON KEYNES KUTOKANA NA TATIZO LA UKUMBI 
WOTE MNAKARIBISHWA  

"SAMAKI ANAVIPANDE VINGAPI???...."

KAZI KWENU WAKAZI WA UK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. waje na netherlands

    ReplyDelete
  2. kufanya nini??

    ReplyDelete
  3. wafuate london

    ReplyDelete
  4. kwani huko UK wanaenda kufanya nini mpaka uulize waende Holland kufanya nini? Kusoma? Kebeba box?
    Halooooooo.

    ReplyDelete
  5. Hao jamaa hivi ni wa Tanzania au wa congo?kama ni wa congo wanachukulia visa wapi?au wanamiliki pass za kibongo?Maana nakumbuka enzi za Dr Remmy alipokua anapata nfasi ya kwenda ulaya,wanamuziki waliokua wa passport za ki congo walikua wanabaki,sasa sikuhizi kunataratibu gani?au wanakuja kama wanamuziki wa ki congo?.

    ReplyDelete
  6. duh kweli kazi kweli kweli.....am so happy
    mi ngwasuma nawakubali sana lazima
    niwepo show zote vipi london mtawaleta pia???

    ReplyDelete
  7. huo moto watakao uwasha huko hamtatamani warudi bongo,mtawan´gan´gania hao me nawaambieni!ila angalieni tu wasije wakarudi wawili na bendi ikaishia huko huko,me sinawajua hawa ndugu zetu!wao wapo tayari kwa chochote wakati wowote nyie wachekeeni tu!

    ReplyDelete
  8. wana work permit ya tanzania kwa hiyo wanaweza kuchukua viza hapa bongo mradi wanaenda kufanya kazi....

    kiingilio £20 vipi huko kwenu wadau ni sawa au aghali?

    mdau makumbusho....

    ReplyDelete
  9. me naona £20 ni
    fresh tuu kwa ngwasuma poa tu sio
    siri live music me napenda sana
    niko france napanga kupanda train
    kuja kula live!hawa jamaaa ni safi
    mdau Paris,France

    ReplyDelete
  10. Bab Kubwa! siamini Ngwasuma ndani
    ya ukerewe................asante
    michuzi kwa kutuletea habari nzuri
    this is what i call entertainment
    ebwana big up kwa waandaaji!

    ReplyDelete
  11. kudadadeki sikosi....
    mdau holland

    ReplyDelete
  12. kweli wanakuja jamani???ebu tuwekeeni basi huakika
    hawajamaaa nakumbuka nimewaona
    last x-mass nilivyokuwa bongo
    ebwana jamaa wapo juu

    ReplyDelete
  13. NDANI YA NYUMBA.ME NAUPENDA WIMBO
    WA BINADAMU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...