
DIDAS NEW FASHION
IN COLLABO WITH
BONGODJS ENTERTAINMENT
KWA MARA YA KWANZA INAWELETEA BURUDANI YA MWAKA
WAZEE WA MUJINI FM ACADEMIA aka WAZEE WA NGWASUMA aka WAZEE WA PAMBA KUWASHA MOTO NDANI YA UK
EASTER WEEK END JUMAMOSI 11/04/2009 WATAKUWA BIRMINGHAM AFZALS CENTRE
168 BRIDGE STREET WEST NEW TOWN
B19 2YX
SHOO YA PILI JUMAPILI 12/O4/2009
NDANI YA READING FACE CLUB
RG1 7JE
FROM 10PM TILL4 AM
TUNAWATAKA RADHI KWA KUTOWEZA KUFANYA SHOO YA KWANZA MILTON KEYNES KUTOKANA NA TATIZO LA UKUMBI
WOTE MNAKARIBISHWA
"SAMAKI ANAVIPANDE VINGAPI???...."
KAZI KWENU WAKAZI WA UK
waje na netherlands
ReplyDeletekufanya nini??
ReplyDeletewafuate london
ReplyDeletekwani huko UK wanaenda kufanya nini mpaka uulize waende Holland kufanya nini? Kusoma? Kebeba box?
ReplyDeleteHalooooooo.
Hao jamaa hivi ni wa Tanzania au wa congo?kama ni wa congo wanachukulia visa wapi?au wanamiliki pass za kibongo?Maana nakumbuka enzi za Dr Remmy alipokua anapata nfasi ya kwenda ulaya,wanamuziki waliokua wa passport za ki congo walikua wanabaki,sasa sikuhizi kunataratibu gani?au wanakuja kama wanamuziki wa ki congo?.
ReplyDeleteduh kweli kazi kweli kweli.....am so happy
ReplyDeletemi ngwasuma nawakubali sana lazima
niwepo show zote vipi london mtawaleta pia???
huo moto watakao uwasha huko hamtatamani warudi bongo,mtawan´gan´gania hao me nawaambieni!ila angalieni tu wasije wakarudi wawili na bendi ikaishia huko huko,me sinawajua hawa ndugu zetu!wao wapo tayari kwa chochote wakati wowote nyie wachekeeni tu!
ReplyDeletewana work permit ya tanzania kwa hiyo wanaweza kuchukua viza hapa bongo mradi wanaenda kufanya kazi....
ReplyDeletekiingilio £20 vipi huko kwenu wadau ni sawa au aghali?
mdau makumbusho....
me naona £20 ni
ReplyDeletefresh tuu kwa ngwasuma poa tu sio
siri live music me napenda sana
niko france napanga kupanda train
kuja kula live!hawa jamaaa ni safi
mdau Paris,France
Bab Kubwa! siamini Ngwasuma ndani
ReplyDeleteya ukerewe................asante
michuzi kwa kutuletea habari nzuri
this is what i call entertainment
ebwana big up kwa waandaaji!
kudadadeki sikosi....
ReplyDeletemdau holland
kweli wanakuja jamani???ebu tuwekeeni basi huakika
ReplyDeletehawajamaaa nakumbuka nimewaona
last x-mass nilivyokuwa bongo
ebwana jamaa wapo juu
NDANI YA NYUMBA.ME NAUPENDA WIMBO
ReplyDeleteWA BINADAMU.