wananchi wakipata maelezo ya masuala mbalimbali ya mazingira katika banda la Ofisi ya Makamu wa Rais ikiwa ni moja ya shughuli za Wiki ya Maji inayofanyika kitaifa mjini Bukoba leo
Mkurugenzi Msaidizi Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Sabaani Mwinjaka akitowa ufafanuzi wa athari ya ukataji Mitina Uharibifu wa Mazingira kwe Bw Audax Mwesiga na Bw Thaobald Theonest wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Maji Kitaifa inayafanyika mjini Bukoba leo. Picha na Mdau Ali Meja
Dk Shaaban Mwinjaka ,korogwe hiyo enzi hizo Nyota Sports,B.s Disco.Kazi nzuri -Unamkumbuka DJ Kelly?
ReplyDeleteWashokera
Dr Mwinjaka, umenikumbusha mbali, nafurahia mnavyowakilisha idara yenu vizuri. kazi kweli kweli
ReplyDelete