Msanii Ali Kiba(mweny kapelo) akiwa na wenyeji wake akipokewa  jijini  Napoli ( Naples ) tayari kuwarusha wapenzi wake katika onyesho lake ambalo linafanyka usiku huu katika kitongoji cha Lago Patria. Hii ni mara ya kwanza kwa msanii wa Bongo Flava kufanya onyesho huko Italy

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. anafanya nini katika ma washing machines? Nguo zake ni chafu kiasi hicho mpaka apelekwe laundry mara tu baada ya kutua? Au ana tafuta virasilimali vya kushusha bongo?
    Nipelekeni shule..
    Blackmpingo

    ReplyDelete
  2. koti linafuliwa si unamwona alivyo? Mie mwenyewe nimechoka

    ReplyDelete
  3. hahaha msanii kashuka mchafu hahaha.ina maana alikuwa mchafu kihivyo kiasi kwamba mkashindwa hata kumpeleka akafue nyumbani kwa mmoja wenu??au wote mnategemea kufua ktk coin laundries??teh teh

    ReplyDelete
  4. kauka nikuvae?

    ReplyDelete
  5. ACHENİ WİVU WABONGO , DOGO ANAPİGANA NA MAİSHA YAKE NYİE İNAWAHUSU NİNİ , MTABAKİ HİVYO HİVYO NA MANENO YENU MABOVU

    ReplyDelete
  6. Kutoka airport au stesheni breki ya kwanza laundry badala ya nyumbani, halafu kapigwa na picha kwamba ndivyo mlivyompokea Napoli, ina maana hakupata nafasi ya kufua huko alikotoka au nyie mliompokea hata mmoja wenu hana mashine ya kufua nyumbani?.

    ReplyDelete
  7. Wabongo tunachonga sana, KIjana kapokelewa fresh na yuko poa kichizi. Hizo machine za kufulia hapo ni kisehemu cha biashara kuna wadau ndio wana kihodhi kujipatia pesa msifikiri kila mtu anabeba box ulaya wengine wana vijibiashara vyao uchwara vile vile.

    ReplyDelete
  8. Huyo mdau mwenye miwani ana own hiyo sehemu ya kufulia nguo. Hapo anamuelezea Ali Kiba jinsi anavyoendesha biashara yake.

    ReplyDelete
  9. anon wa 9;35: Hebu onyesha hata neno moja la wivu. Hakun comment za wivu hapa, ila tunashangaa kuwa ilikoje post ya kwanza ya Naples ni laundry na sio airport? Hata Mr. Supu amestuka na kuweka hapo juu picha za maana. Mjomba soma messages na jaribu kuwaelewa watu wanaongea nini.
    Blackmpingo

    ReplyDelete
  10. WASHING MACHINE???ZIARA YA ALI KIBA??
    AO VIJANA WA ZAMANI VIPI?vijana wa ukweli hawapo au ndo kufisadishana kwenyewe?

    ok kijana ila shule pia somaga

    ReplyDelete
  11. wenye miwani wako wa3 yupi sasa?halafu hizo pozi za kupiga laundry asa ndo nini?watu hawaelewi mpk mtoe maelezo mareefu km kawa ya wabongo,haya sasa tunajua kwamba jamaa yako ni dobi,job true true

    ReplyDelete
  12. Mmeshaambiwa NI SEHEMU YA BIASHARA YA MMOJA WAO HAO JAMAA, KWAYATI!!! HATERS.Hata kama kaenda kufua PIA sawa tu, nyie mbona Minguo yenu INANUKA, Nenda ndani ukaangalie kama huna nguo Chafu, KUFUA AJABU????

    ReplyDelete
  13. Ali Kiba katua Napoli, breki ya kwanza kufua, halafu kuoga?? Duuh hii kali!! Mkitoka hapo mpitisheni basi mahali akapate kologne vile vile...Aniwei, anapurizenti fani lakini...

    ReplyDelete
  14. Hiki kijamaa sikipendi ile mbaya..
    Kijitu chenyewe cha kuja kutoka huko Kigoma lakini ukikikuta club kinajifanya high profile sana..ni hiyo ilikuwa last summer bongo..!!
    Juzi kati kimekuja mtoni huku kikapanda stejini Worcester pale kikabana pua weeee...
    Kutoka hapo kikajiona baabkubwa saaaannaaa....
    Hebu kifulieni kauka nikuvae zake hizo maana naona kinaniyeyusha tuu..

    ReplyDelete
  15. Amefikia kwenye box? kweli wasanii wa ubongo wa fleva ni choka mbaya.

    ReplyDelete
  16. MICHUZI BWANAAA hahahahhaaaaaa uwii

    asante kuwakilisha picha inajieleeza kabisa

    box

    ReplyDelete
  17. duh!!!!!! hilo ni changa la mdomo! tuu tuu tuu!! hiko kijamaa kinapiga fix tu hapo!! ndio zake toka gerezani kariakoo alikuwa hivyo hivyo kujisingizia mali za watu kuwa ni zake!!!!!!!!

    Mandipe Karikoo!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...