Home
Unlabelled
ali kiba ndani ya napoli leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
anafanya nini katika ma washing machines? Nguo zake ni chafu kiasi hicho mpaka apelekwe laundry mara tu baada ya kutua? Au ana tafuta virasilimali vya kushusha bongo?
ReplyDeleteNipelekeni shule..
Blackmpingo
koti linafuliwa si unamwona alivyo? Mie mwenyewe nimechoka
ReplyDeletehahaha msanii kashuka mchafu hahaha.ina maana alikuwa mchafu kihivyo kiasi kwamba mkashindwa hata kumpeleka akafue nyumbani kwa mmoja wenu??au wote mnategemea kufua ktk coin laundries??teh teh
ReplyDeletekauka nikuvae?
ReplyDeleteACHENİ WİVU WABONGO , DOGO ANAPİGANA NA MAİSHA YAKE NYİE İNAWAHUSU NİNİ , MTABAKİ HİVYO HİVYO NA MANENO YENU MABOVU
ReplyDeleteKutoka airport au stesheni breki ya kwanza laundry badala ya nyumbani, halafu kapigwa na picha kwamba ndivyo mlivyompokea Napoli, ina maana hakupata nafasi ya kufua huko alikotoka au nyie mliompokea hata mmoja wenu hana mashine ya kufua nyumbani?.
ReplyDeleteWabongo tunachonga sana, KIjana kapokelewa fresh na yuko poa kichizi. Hizo machine za kufulia hapo ni kisehemu cha biashara kuna wadau ndio wana kihodhi kujipatia pesa msifikiri kila mtu anabeba box ulaya wengine wana vijibiashara vyao uchwara vile vile.
ReplyDeleteHuyo mdau mwenye miwani ana own hiyo sehemu ya kufulia nguo. Hapo anamuelezea Ali Kiba jinsi anavyoendesha biashara yake.
ReplyDeleteanon wa 9;35: Hebu onyesha hata neno moja la wivu. Hakun comment za wivu hapa, ila tunashangaa kuwa ilikoje post ya kwanza ya Naples ni laundry na sio airport? Hata Mr. Supu amestuka na kuweka hapo juu picha za maana. Mjomba soma messages na jaribu kuwaelewa watu wanaongea nini.
ReplyDeleteBlackmpingo
WASHING MACHINE???ZIARA YA ALI KIBA??
ReplyDeleteAO VIJANA WA ZAMANI VIPI?vijana wa ukweli hawapo au ndo kufisadishana kwenyewe?
ok kijana ila shule pia somaga
wenye miwani wako wa3 yupi sasa?halafu hizo pozi za kupiga laundry asa ndo nini?watu hawaelewi mpk mtoe maelezo mareefu km kawa ya wabongo,haya sasa tunajua kwamba jamaa yako ni dobi,job true true
ReplyDeleteMmeshaambiwa NI SEHEMU YA BIASHARA YA MMOJA WAO HAO JAMAA, KWAYATI!!! HATERS.Hata kama kaenda kufua PIA sawa tu, nyie mbona Minguo yenu INANUKA, Nenda ndani ukaangalie kama huna nguo Chafu, KUFUA AJABU????
ReplyDeleteAli Kiba katua Napoli, breki ya kwanza kufua, halafu kuoga?? Duuh hii kali!! Mkitoka hapo mpitisheni basi mahali akapate kologne vile vile...Aniwei, anapurizenti fani lakini...
ReplyDeleteHiki kijamaa sikipendi ile mbaya..
ReplyDeleteKijitu chenyewe cha kuja kutoka huko Kigoma lakini ukikikuta club kinajifanya high profile sana..ni hiyo ilikuwa last summer bongo..!!
Juzi kati kimekuja mtoni huku kikapanda stejini Worcester pale kikabana pua weeee...
Kutoka hapo kikajiona baabkubwa saaaannaaa....
Hebu kifulieni kauka nikuvae zake hizo maana naona kinaniyeyusha tuu..
Amefikia kwenye box? kweli wasanii wa ubongo wa fleva ni choka mbaya.
ReplyDeleteMICHUZI BWANAAA hahahahhaaaaaa uwii
ReplyDeleteasante kuwakilisha picha inajieleeza kabisa
box
duh!!!!!! hilo ni changa la mdomo! tuu tuu tuu!! hiko kijamaa kinapiga fix tu hapo!! ndio zake toka gerezani kariakoo alikuwa hivyo hivyo kujisingizia mali za watu kuwa ni zake!!!!!!!!
ReplyDeleteMandipe Karikoo!!