John Mashaka is correct Regarding The US Economic Crisis:Response To Mdau from USA
I have not been John Mashaka’s supporter, but as time goes, I do see substance and brilliance on his take of issues.. And what I am seeing now is the emergency of Mashakamania amongst the Tanzanians just like it was during Nyerere days; Most of the contributors, writers must mention his name, or criticize him for their articles to be read. On the contrary, I do see Mr. Mashaka, as a very keen, well composed, and one of the few young, deep thinkers our country currently has
Mdau, I must correct you for using such a strong and un-proportional word “lying”. We should not be using such kind of demorolizing, and defaming language. Mashaka only gave his opinion or point of view. Mdau from USA, your response to Mashaka’s opinion is very uninformed, shallow and un-economic. You are too general, which makes me cast doubt on your economic understanding. You failed to provide analysis of your doubt, because any economist or anybody with economic training would link the two together; Massive spending and its impact on an economy, high energy prices and its impact on an economy.
I think John Mashaka has been very correct, and apparently some of us have no ability to clearly analyse issues. On the issue of Iraq, and Afghanistan wars, which have so far, chewed more than $3trillion of the Americans tax payers money. This excessive spedning in Irag and Afghanistan has drained the american coffer, and has forced vital services to be curtailed, and even some states to retrench some of their employees. And if you are an economist, it is not a brainer work for you to understand the ramification of such excessive spending.
The war is now the second-most expensive in US history after World War II and the second-longest after Vietnam. The spending on Iraq was a hidden cause of the current credit crunch because the US central bank responded to the massive financial drain of the war by flooding the American economy with cheap credit.
The American’s have been forced to borrow by issuing treasury bills to the Chinese, and some of these debts have to be paid at some point. And when you borrow, are being credited by the creditor. And I do hope this translates to what is called credit crunch.
"The regulators were looking the other way and money was being lent to anybody this side of a life-support system. That led to a housing bubble and a consumption boom, and the fallout was plunging the US economy into recession and saddling the US with the biggest budget deficit in history. $US500 billion was going to be spent on the fighting in the next two years and that could have been used more effectively to improve the security and quality of life of Americans and the rest of the world.
The money being spent on the war each week would be enough to wipe out illiteracy around the world. Just a few days' funding would be enough to provide health insurance for US children who were not covered. The public had been encouraged by the White House to ignore the costs of the war because of the belief that the war would somehow pay for itself or be paid for by Iraqi oil or US allies.
In the height of energy crisis of 2008, many companies, and even individuals adjusted to the crisis by reducing their labor force in order to curb their expenditure. Many people were left without jobs or incomes. No sooner, did this trend emerge than other causes kicked in, such as the housing bubble burst, credit crunch and so forth. I am therefore supporting Mashaka’s point of view as valid and to the point. Mdau, you are not a liar, but seem to be clueless, because whatever he stated was his point of view which we may need him to substantiate
Mdau
Susan Lugewa
Toronto, Canada
Dada Susan nimefurahi sana kwa comment yako, mimi nitatuma yangu muda siyo mrefu, nadhani wote mmeongea point, I mean wewe, John Mashaka na huyo mwingine wa US blog, lakini nadhani wote mnapiga blaaa tu, mbona kila mtu anajua causes the global economic crisis.... mimi ni mtanzania nipo hapa Montreal ni PHD candidate, nimefuatilia sana mada hii kumbe naona usiku huu nitatumia muda wangu kuandika kile nachujua sababu kipo ndani ya field yangu.
ReplyDeleteAlfred
wewe susan pia ni idiot kama mashaka sawa credit crunch recesion na kuna credit nyingine cos im not interested havija sababishwa na vita wala credit card au ile mikopo ya nyumba ile vita iliisha jilipa na resources walizo chukua saawa na credity card walizo wapa watu ni hela ndogo sana kwa fideral reserve hio lazima ujue, hili tatizo liko beyound hayo madude mnayo lishwa shule haya mambo ya shule hayajahusika kabisaa huo ni mchezo wao mchafu wa kutaka kuiunganisha hii dunia (new world order)ambayo hio process iliisha anza na sasa inaendelea na ushahidi ni hii G20 kunakua na sheria moja ya kifedha amboyo IMF ndio wanatarajia kupewa hilo rungu soon kwa hio wote tutafuata muanvuli mmoja wa kifedha ambao utawekwa na imf and who is IMF ni rocker feller na roth child means federal reserve na bank of england hao watoto wa kiume waliisha sema kabisa nini wanataka kukifanya wao wamesema kama fedha wanazo za kutosha kilicho baki ni kucotrol hii dunia direct means kum contro mwanada dio maana wakalianzisha hilo zaga zima la fedha ok
ReplyDeletesasa tujue nini maana ya credity crunch , credit crunch maana yake hakuna fedha katika mzunguko means fedha zimetolewa au zimepungua nani kazito wakati siku zote hizo fedha zilikuwepo sasa ndio hao watoto wa kiume wameziweka kwenye mabenk yoa tunabaki kupigana kalenda tu mara bail out mara tutafute vyanzo finance ok so sheria moja ya kifedha ambayo ndio watipitisha soon, kingine yule jamaa wa china aliisha kianzisha fedha moja (one curence) kimebakia nini ONE ARMY then rais mmoja then devil himself
anyway thanx
WALE WOTE WALIONIOMBEA KUFA, KWA KUDRA ZA MWENYEZI MUNGU NIMERUDI ULINGONI.
ReplyDeleteWOTE WENYE ROHO ZA KOROSHO WALAANIWE KWA JINA LA BWANA MIMI NIPO NA NINAZIDI KUTESA TU.
KWANZA NAMPONGEZA MLIMBWENDE RAY-C AMBAYE AMECHUMBWA NA MWANAHARAKATI RAIS MTARAJIWA 2015 JONI MASHAKA,
LAKINI CHUNGA SANA KWANI WEMA SEPETU ATAVUNJA KIOO CHA GARI LENU
MIMI KAMA MKEREKETWA NA MPINGA UFISADI NA USENENE NAMBA WANI, NAPENDA SANA KUTOA PONGEZI ZANGU ZA DHATI, KWA KAZI NZURI INAYOFANYWA NA VIJANA WETU WAKIONGOZWA NA MWANAHRAKATI
GENIUS, RAIS MTAJARIWA 2015 JOHN MASHAKA NA WAZIRI MUKUU DR. HILDEBAND SHAYO WA KULE RONDONI NA MACHO YA MUNENE JK JANUARY MAKAMBA
MKUU UTAKAPOUTWAA MADARAKA, KITU CHA KWANZA NI KUWAKAMATA WASOMI FEKI KAMA NALITOLELA NA US BLOGGER WANAOKUJA NA MAJINA FEKI YA MDAU-US
WANAWADHALAISHA WASOMI WA KITANZANIA KWA KUSHABIKIA UFISADI NA TABIA YA UKANYABOYA AU KUFANYA VITU HEWA KWA MANUFAA BINAFSI
LICHA YA KUSAKAMWA NA WAOSHA VINYWA KUTOKANA NA LUGHA YAO, NIMEPENDEZWA JINSI UNAVYOCHAMBUA MAMBO HASA KUHUSU MAENDELEO YA TAIFA LETU.
MHESHIMWA RAIS MTARAJIWA, TUNAKUUNGA MKONO, NA TUTAZIDI KUKUOMBEA DUA ILI MUNGU AKULINDE DHIDI YA MAADUI AMBAO PIA UMEONYESHA UNA UPENDO NAO KAMA VILE US- BLOGGER
MZEE WA PAMBA, JAKAYA MRISHO KIKWETE TUNAMPA KURA TENA, 2010 KWA MASHARTI KWAMBA LAZIMA ATUPE MIBARAKA YAKE KWA AJILI YA 2015.
MZEE MZIMA, MZEE WA BAGAMOYO, MZEE MTANASHATI, MZEE WA PAMBA, TUNAOMBA UWABARIKI WANAO.
MBARIKI MASHAKA, MBARIKI, SHAYO, MBARIKI JANUARY PAMOJA NA RIDHWANI
MIMI NITAGOMBEA UKUU WA WILAYA YA YOMBO VITUKA ILI NILETE HADHI KATIKA JIJI LETU LA DARI SALAMA AMBALO LIMEZIDI KUCHAFULIWA NA MAFISADI WAKINA LIYUMBA WALIOZAGAZA MAGARI MEKUNDU KILA KONA
Mh. Mashaka, January, Dr. Shayo na Ridhwani. Kwa hiyo naomba msinisahau ifikapo 2015 HAMNA MSHABIKI MWINGINE NCHINI TANZANIA ZAIDI YANGU .
ZIDUMU FIKRA ZA MZEE WA PAMBA JK
ZIDUMU
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
KIDUMU
KIDUMU FIRKA ZA LAIS MTARAJIWA 2015
ZIDUMU
ZIDUMU FIKRA ZA MAKAMU 2015
ZIDUMU
MAFISADI YOTE NAYO YACHAPWE MBOKO
YACHAPWE
MKEREKETWA, YOMBO VITUKA !!!!
-----------------------------------
Dakika 30 za Internet Café Zimekwisha
mdau from USA, aka (US-Blogger) all I can see is your arrogant and evil mind and nature. You seem to be a novice in every part of discussion introduced in this blog.
ReplyDeleteYou seem to be a dangerous human being who comes in all forms and shapes. I think you should learn to let things go, and bring your tru identity otherwise we are going to expose you.
We know who you are in GEORGIA.By the way, how is tourism sales coming along in these tough times?
Smart EYE
Watanzania tuna roho za ajabu kweli. Kusema kweli John Mashaka ni muhamasishaki mkubwa sana, na wivu unatuuwa kumuona kijana mdogo kama yeye akifanya makubwa. hapa sioni kitu zaidi ya chuki binafsi. mashaka tafadhali endelea na ka kazi nzuri. ujue watu wakikusema sana, basi una la maana, usingekuwa na la maana wasingekusema wanavyokusema wadau. Ni wivu dhidi yako. Endelea kupasua vichwa
ReplyDeleteBraza Michuzi,pole na shughuli.Nathamini sana mchango wa wadau kama Ndugu Mashaka,nk lakini je hawadhani kwamba laiti mjadala huu wa msukosuko wa uchumi wa dunia (na athari zake) ukiendeshwa kwa lugha yetu ya taifa-Kiswahili-ungeweza kuongeza wigo wa uchangiaji na kuwa na manufaa kwa Watanzania wengi zaidi?Hapa simaanishi kwamba iwapo uchangiaji ni mdogo ni kwa vile Kiingereza ni mgogoro.Hapana,ila ukweli unabaki kuwa lugha hii inaendelea kuwa ya sehemu flani tu ya Watanzania hasa kwa vile ni lugha ya mapokeo.
ReplyDeleteNi wazo tu!
wapambe mpoooooooooooooooooooo
ReplyDeleteTupooooooooooooooooooooooooooo
Mashaka Juuuuu Juuuuu Juuu Zaidi
US-Blogger Chini, chini, chini Zaidi
Mashaka, Mashaka, Mashaka, Mashaka.
Mashaka, Mashaka, Mashaka, Mashaka.
Mashaka, Mashaka, Mashaka, Mashaka.
Mashaka, Mashaka, Mashaka, Mashaka.
Mashaka, Mashaka, Mashaka, Mashaka.
Obama, Obama, Obama, Obama, Obama,
Obama, Obama, Obama, Obama, Obama,
Obama, Obama, Obama, Obama, Obama,
Obama, Obama, Obama, Obama, Obama,
Obama, Obama, Obama, Obama, Obama,
Yes,We can, Yes We can. Yes We can
Yes,We can, Yes We can. Yes We can
Yes,We can, Yes We can. Yes We can
Yes,We can, Yes We can. Yes We can
Yes,We can, Yes We can. Yes We can
Yes we can !!!!!!!!!!!!
mashaka na shayo wala msijali, endeleeni na kazi zenu, hachaneni na watu wasio na majina.
ReplyDeletemashaka tunakufahamu, na shayo tunakufahamu, mdau wa USA au kwa jina jingine US blogger hatumjui. Ni jini ambaye atatufikisha mbali tusipojichunga naye
I am not an economist, but i have come to appreciate the roles of economists and theory behind economies.
ReplyDeleteJust as much as you would call John a "liar", you in the first would have to prove why such wars are not related to the current crisis.
John Mashaka is probably right, because even though not so much theory and data have come to light for the cause of the current credit crunch, few renowned economists have come out (so far) linking the crunch to subprime mortgage crisis that led to banking crisis that led to economic crisis. By now you should be in a position to distinguish the 3 crises.
After "dot com" bubble in 2001, the US economy had slowed down. Now in economic terms, in order to stimulate the economy, you need stimulate expenditures. So the US chose to go to war - creating expenditure. Where does the funding come from ? Printing money....
On the other hand, mortgage firms went for people who were not credit worthy and made house loans to them, with credit agency colluding in "misassessment" of credit ratings to such individuals. The mortgage firms of course facilitated their scheme by loan from the banks, with collateral being mortgages extended to the prime and "subprime" lenders, and the collateral being backed by strong credit ratings(even though the ratings were not "strong").
Since subprimers had no jobs then it was obvious the mortgages couldn't be serviced, and the firms couldn't pay their banks, and the government facilitated the wars by printing money and not "actual" productivity in the economy.
What followed was mortgage/house closures, followed by mortgage firms declaring huge unpaid debts that affected the banks. The mortgage crisis turned into banking crisis.
Since the world economy is intertwined, the banking crisis was in effect infectionary to major industries like insurance(AIG -biggest insurance company) and motor industry (General Motors et la). These two industry cannot and couldnt be allowed to fail because failure on these would have a domino effect.
For example by letting AIG fall alone, it would have affected a lot of people pension funds, major insurance worldwide in shipping, health to name a few. This is a company with annual revenue of over $ 100 billion, with presence in over 130 countries worldwide.
To cut the story short, you need to have full details and data before you can accuse someone let alone call them liars.
My two cents.
Mdau from USA. You are either an Idiot , ignorant or a big fool. Why would you call someone a liar, yet you have not point?
ReplyDeleteTheories and observations in Economics do NOT provide, accurate and precise cause-effect explanations of real-world economics phenomena as is the case in the Natural Sciences.
There are never discrete false-correct answers or air-tight cause-effect relationships in Economics as there are in the hard sciences eg. Physics and Chemistry, and in fact that is exactly why President Lula of Brazil was recently quoted in the media chastizing "blond, blue-eyed " arrogant, know-all White people (despite being supposedly steeped in the most advanced Financial and Economic knowledge as they claim) for having gotten it all wrong and consequently wrought turmoil to World Economy place.
So, Mr "Mdau from USA" aka US Blogger, don't try to fool us like you know all the real reasons or right answers as to the causes of Global Financial Crisis.
YOU DON'T MISTER! There are NO clear cut, straight forward explanations as to causes of the global financial crisis other than unproven (and unprovable) theories and hypotheses, informed (or uninformed) opinions, speculations, and whatnot.
Given the kind of background that economic analyses (and in fact the the whole enterprise of Economics as an academic field of knowledge) is dependent on,
John Mashaka (as would surely many learned Economists including the professor in the the following video clip
http://vodpod.com/watch/1294729-the-global-financial-crisis-—-michel-chossudovsky ) is in his full right to mention the reasons that he mentioned without risking some arrogant, self-appointed "economics expert" having to question and challenge the validity of every statement he makes.
Its not so much what John Mashaka knows about Economics as to who he is as a person. In other words you have some personal issues against Mr Mashaka for if you truly consider yourself some sort of smart-ass in Economics knowledge, then you would be too busy trying to debate, criticize and otherwise prove wrong all the millions if not billions of people out there on the internet, academic halls, conference rooms, thesis presentations, and whatnot whose opinions about Economic you don't happen to share -
instead of lurking and waiting to challenge only those viewpoints Mashaka makes at each and every opportunity! It's clear to me that your true motive is not so much engage in any constructive intellectual debate with Mashaka but rather to humiliate him because he has the guts to come out and speak up in public using his true identity while you choose to hide in the shadows. Shame on you!!
wadau leteni data za US Blogger AKA US Mdau
...Mashaka na Susan lazima mjue pesa zilizotumika kwenye vita ya Iraq na Afghanistan zimefanya uchumi wa America ukue sio kushuka,kumbukeni mabomu mpaka vyakula vya wanajeshi vyote vilitengenezwa kwenye american factories kwa hiyo makampuni mengi na watu wengi sana walipata kazi na pesa nyingi sana,kwa hiyo war spending sio sababu ya uchumi kushuka,na kwa wanaojua vita ya america ni kama economy booming ya nchi,angalieni World war 2,ni time ambayo America ilikuwa ni uchumi mkubwa sana maana ndio alikuwa anauza silaha,nguo,vyakula europe kwa sababu viwanda vyote vya europe vilikua vimepigwa mabomu...vita kwa America ni namna moja ya kukuza uchumi kwa America sio kuua,kina Obama na democrats walipinga tuu na kusema ni hasara kwa sababu waliona hizo pesa zingeweza kuleta faida sawa tuu na hiyo vita kama viwanda vya madawa na elimu na democrats wengi kwao was UNJUST war,Energy nayo sio sababu ya kushuka kwa uchumi maana hakuna any company ilipoteza pesa pale na makampuni mengi kama Exxon mobile yametengeneza billions na hata share zao hazikushuka sana kama zile zilizojihusisha na housing market na hata hiyo bank yako wachovia imekufa na kuchukuliwa kwa sababu ya reckless betting kwenye mortgage,kumbukeni money lost is money gained somewhere kwa hiyo at the end ni mzunguko tuu ila kwenye housing nobody gained maana utajiri wote ulikuwa kwenye papers tuu kutokana na stupid/greed bet za wallstreet bankers na wananchi wasioelewa,anyway war & energy sio sababu recession ila ni housing ndio imeleta shida...naongea kama mdau ambaye nimesoma na ninaelewa wallstreet vizuri sana(practically)
ReplyDeleteHuyu Susan ameibukia wapi tena?
ReplyDeleteHivi wewe unajua nini maana ya dola trilioni 3?
Nenda Google, andika: US Iraq Afghanistan War Cost, click search, utaona majibu.
Kwa kukusaidia tu, kama vita zote itaendelea hadi mwaka 2017, gharama zinakadiriwa kuwa $ 2.4 trillion, tena kwa kujumlisha riba na ku-factor inflation rate.
Soma hapa............
In January 2004, a report from the Congressional Budget Office (CBO) estimated the total costs of Iraq’s reconstruction would land between $50 billion and $100 billion. But in October 2007, the CBO said in a new report that the United States had already spent $368 billion on its military operations in Iraq, $45 billion more in related services (veterans care, diplomatic services, training), and nearly $200 billion on top of that in Afghanistan. The CBO now estimates the costs of the Iraq war, projected out through 2017, might top $1 trillion, plus an extra $705 billion in interest payments, and says the total cost of Iraq and Afghanistan combined could reach $2.4 trillion.
Haya umepata wapi hiyo trilioni 3 yako ya hadi leo?
Please, Michuzi usituwekee hawa watu wa ajabu ajabu. Mashaka amekoroga na huyu Susan ni yale yale. Hivi mtu unawezaje kusema mambo ya ajabu namna hiyo bila utafiti?
Mtu wa Kazi.
Peter Nalitolea muandika pumba huko wapi? Watu wako baised sana na idea zinazopikwa na Mashaka na mwenzie Shayo.
ReplyDeleteHawa hawana lolote zaidi ya kukaa library na kusoma vitabu na vitabu vya magharibi bna propaganda zao.
Tumechoka na wana CCM, kwanza Mashaka baba yake marehemu alikuwa mwana CCM wa kufa mtu
Kama wao kweli jueri si waandike The Economist tutawaona Mbona mnanyanyasa wanyonge kwa lugha mkidai mna machungu na nchi ambayo lugha yake ya taifa ni kiswahili.
Nyie kaeni hukohuko msubiri Bail out manake mmelost na degree zenu za Oxford na Chapel Hill.
Huyu Mashaka namjua vizuri sana, yaani sana. limesoma Duke Law School 2004, nakumbuka sana. ni mwanasheria siyo mchumi. alikuwa anasoma Duke wakati mimi nipo NC-Central, Mashaka Bisha
Ila wadau, nawaomba kitu kimoja, akili yake imetulia sana, hata msithubutu kubishana naye, hamumuwezi kabisa, hiyo nawathibitishia, anatisha kwenye mijadala. mtukaneni muishie zenu
Asilete hapa ni mchumi, MBA kapata UNC-Chapel Hill, tena 2006 sasa unasema nini?
Nikitafuta majina yenu kwenye journals zinazoheshimika hata siwezi kupata article zenu.
Publish au perish. Mna jeuri? Hamna. Asanteni. Zidumu fikra za Nalitolea.
Mashaka gombea umayor au ubunge wa kitongoji chako kisha ujijenge hukohko uliko.
Shayo nenda kasikilize wabunge wa labor party wakibishana huko London.ukimalize kabebe boxi
Na mashaka angalia recovery ya huko Marekani mambo kwisha. yakizidi subiria bonus za wall-street zirudi
Mtoto wa Kwimba:
nyinyi sikilizeni mnaonekana mnaelimu ya kutosha kichwani lkn inaonekana taifa(nchi)hainufaiki na chochote kutoka kwenu badala ya kukaa na kushindana na hoja zenu kwa michuzi.ni bora kujadili hali ya uchumi ya nyumbani na jinsi gani ya kujikwamua kwenye umaskini.MSIPOTEZE MUDA KUZUNGUMZIA US.njooni nyumbani tujenge taifa.
ReplyDeleteLeo naona Mashaka kawa Susan hala baadaye akawa Alfred... Masallllaaaallleeeeeeeeee
ReplyDeleteOk, I'm back, I promised to comment on this topic and here it is. I'm not going to be in Susan position, US blogger or John Mashaka. What I think the main causes of this financial crisis is not war in Iraq... there are other factors as follows:
ReplyDeleteThe subprime crisis came about in large part because of financial instruments such as securitization where banks would pool their various loans into sellable assets, thus off-loading risky loans onto others. (For banks, millions can be made in money-earning loans, but they are tied up for decades. So they were turned into securities. The security buyer gets regular payments from all those mortgages; the banker off loads the risk. Securitization was seen as perhaps the greatest financial innovation in the 20th centur
# Banks borrowed even more money to lend out so they could create more securitization. Some banks didn’t need to rely on savers as much then, as long as they could borrow from other banks and sell those loans on as securities; bad loans would be the problem of whoever bought the securities.
# Some investment banks like Lehman Brothers (in USA) got into mortgages, buying them in order to securitize them and then sell them on.
# Some banks loaned even more to have an excuse to securitize those loans.
# Running out of who to loan to, banks turned to the poor; the subprime, the riskier loans. Rising house prices led lenders to think it wasn’t too risky; bad loans meant repossessing high-valued property. Subprime and “self-certified” loans (sometimes dubbed “liar’s loans”) became popular, especially in the US.
# Some banks evens started to buy securities from others.
# Collateralized Debt Obligations, or CDOs, (even more complex forms of securitization) spread the risk but were very complicated and often hid the bad loans. While things were good, no-one wanted bad news.
I will be happy to write more if there is any question. I'm from Tanzania a PHD candidate and at the same time teaching Microeconomics and Macroeconomics Course 101, and 103 here at Montreal
Wala sina haja ya kuandika ki Economist kwani sina degree ya economy na wala ya hesabu. Form four yangu inanitosha kuelewa kuwa hii crisis imeletwa na kupolomoka kwa maBanK ya USA kwa tamaa yao ya kutaka kupata pesa haraka na kuwapa watu mikopo ya nyumba for the simple reason of American dream. Hawa watu walikwa hata senti moja Bank hawana, mtu anatengeneza $20,000 kwa mwaka anapewa nyumba ya $500,000 halafu anaambiwa alipe $500 kwa mwezi kwa miaka miwili (Arms). Baada ya miaka miwili ndio anaanza kulipia nyumba ya mkopo wa $500,000 kutoka $500 kwa mwezi anaambiwa alipe $3000 kwa mwezi mtu mshahara ni $1000 kwa mwezi. HAPA NDIPO KISANGA KILIPO ANZA!!!!!!! HAKUNA VITA YA IRAQ WALA AFGHANISTAN. kila mtu aliona nyumba bei za madafu, watanzania wenzetu wengi huku DC na kwengine wakajiingiza mkumbo wengine tamaa wakawa wananunua nyumba nne, tano wanapangisha kila mtu akaacha kazi yake ya maana akawa real estate agency. Burble lilipo bust BANK Wakajikuta hawana hela kwani waliowakopesha mikopo ya $500,000 huku kipata ni $200 walishindwa kulipa, Amerrican dream went into drain. Mabank yakafilisika watu wakapoteza nyumba zao, mabiashara yalioinvest kwenye bank yakafa, watu wakapoteza kazi zao, Watu walikuwa wananunua nyumba wakipata equit wananunua magari makubwa, nyumba wakazipoteza na magari wakapoteza, Consume trust ikaondoka no business, kila mtu anashikilia alishonacho kwani haujui kama kesho utapoteza kazi, no exchange of money no business, business zinakufa. China hawawezi kuleta mavitu vyao USA kwani no consumer trust. THERE GOES THE ECONOMY CRISIS. Yes USA imespend hela yes some program zimefungwa such as after school, but that has nothing to do with the global economy crush. Kulikuwa hakuna regulation kwenye ma Bank na Makampuni makubwa ndio maana wakajifanyia walichotaka, kama kungekuwa na regulation Bank isingemkopesha mtu $500,000 mpaka millions knowing she/he only make $20,000 kwa mwezi. Iraq has nothing to do with this, ndio maana hata kwenye uchaguzi wa Marekani no one care about Iraq walikuwa wanataka solution. ndio maana hata viongozi wa G20 wanataka more regulation inorder to prevent future econmy crisis hawaongelei kuacha vita vya Iraq au Afghanistan. The cause of all this ni THE CRASH OF HOUSING MARKET! PERIOD! We all knwo acheni kusingizia vita vya Iraq.
ReplyDeleteNitaomba nichambue hili kwa kina kabisa kwa kutumia lugha la kiswahili ili kila mmoja afahamu nini ni nini.
ReplyDeleteKwanza nieleze ya kwamba kwa kiasi fulani John Mashaka aliover stated tatizo hili la mpasuko wa uchumi ambao unaikumba dunia kwa sasa. Nilimuandikia michuzi na kumuomba aiweke hapa ile interview ya kwenye daily news, bahati mbaya haikuwekwa. Ukweli ni kwamba Mpasuko wa uchumi umeanzishwa na tatizo mmoja tuu nalo ni subprime meltdown ( Kushindwa kwa watu wenye kipato cha chini kulipa madeni yao ya nyumba).
Mpasuko ulianza kuonekana mwaka 2007 mwezi wa 8 siku ambayo Cit bank walitangaza asara ya mabilioni ya fedha kwenye mapato yao ya nusu mwaka. Jee swala la suprime linachangia vipi? Habari ni hii; mwisho mwa miaka ya 90, chama cha democratic waliandaa mswada wa sheria ya kupunguza vigezo za kupata mkopo wa nyumba. Mswadwa huo ulipita na kuwa sheria. Mwanzoni mwa 2000 baada ya Bush kuingia madarakani agenda mpya ilikuwa ni kupandisha namba ya wanaomiliki nyumba kwa 5%. Vile vile mwanzoni mwa miaka hiyo ya 2000 wataalamu wa Hisabati wakaja na formula mpya ambayo inaweza kuchanganya riski kutoka kwa wakopaji mbali mbali na kutengeneza mfuko mkubwa wa wadaiwa ambao ukigawanya vipande vipande unaweza kuuzwa kama share (mortgage backed security maarufu kama derivatives).
Mabenki makubwa yakaona faida ya hizi security (yaai hii mifuko ambayo imetengenezwa kwa kuchanganya mikopo ya nyumba ya watu mbali mbali), ili likahamsha ununuzi wa madeni ya wamiliki wa nyumba kutoka kwenye benki ndogogo ndogo kwenda kwenye benki kubwa. Yaani mfano rahisi ni kwamba benki ya nyumba ya Tanzania wanakopesha, kisha wanachanganya mkopo wangu na wa Michuzi na wanawauzia bank kubwa kama CRDB, then CRDB wanakatakata hii mikopo miwili katika vipande vipande na kuviuza kwa wananchi mbali mbali duniani. TATIZO LINAKUJA KWAMBA Benki ya nyumba sababu haikai na hii mikopo hivyo inakuwa haijali nani anakopa sababu CRDB yeye atanunua kwa vyoyote vile. Hivyo matokeo yake ni kwamba mtu asiye na vigezo vya kupewa mkopo akawa anapewa bila tatizo lolote. SASA, SIKU YA SIKU IKAFIKA WATU WAKAABZA KUSHINDWA KULIPA MALIPO YAO YA KILA MWEZI KWENYE HII MIKOPO, HAPO NDIO HILI DHAHAMA LILIPO ANZA KATIKATI YA MWAKA 2007.
Wakopeshwaji walipoanza kushindwa kulipa malipo ya mwezi, maana benki kubwa zikaanza kushindwa kuwalipa wawekezaji walionunua shea, na Insuarence company (AIG) ambazo ziliweka bima kwenye hii mifuko zikaanza kushindwa kulipia na tatizo likaawa linazidi kutanuka.
Kwa nini Susan na John Mashaka mko wrong? hii ni sababu; Uchumi wa Marekani mpaka mwaka 2008 kwa asilimia zaidi ya 40% ulikuwa ukishikiliwa na Mashirika ya fedha (financial Institutions). 40% Ya Index kubwa kama Standard and Poor 500(s&p 500) ni makampuni ya fedha. Kumbuka ya kwamba makampuni yote ya fedha kwa njia moja au nyingine yameusika kuuza hizi shea hewa kwa jamii. Matokeo yake ni kwamba kadri muda ulipozidi kwenda ndio watu walio kopeshwa nyumba walishindwa kulipa, na mabenki yanajiendesha kwa kukopesha na sio other wise. Sasa kama watu hawalipi madeni yao matokeo yake ni kwamba ukopeshaji unapungua na sheria za kukopa zikaanza kuzidi (ndio unakumbuka neno Credit Crunch lilitawala sana muda fulani). Sasa benki zinapoacha kukopesha maana yake ni kwamba Uwekezaji nazo unapungua, na kama uwekezaji zinapungua maana yake ni kwamba watu wanapunguzwa kazi.
Uchumi wa Marekani unaangalia mambo 3, Inflation (mlipuko wa bei), idadi ya watu wasio na kazi (unemployment rate) na ukuaji wa uchumi (economic Growth). Lolote kati ya haya matatu likisumbua ndio utaona seriakali inakimbilia kwenye mambo mawili yaani Fiscal Policy (kama kuwapa watu cheki za bure ili wakatumie) au monetary policy (Banki kuu ya marekani kupunguza kiwango cha riba.) Haya yote yamekwisha fanyika lakini hali bado ni tete. Makampuni makubwa ya fedha bado yanatapa tapa, mengi yamekwisha anguka. Sasa kumbuka kama 40% ya uchumi unategemea makampuni ya fedha haya makampuni yakiyumba kidogo tuu uchumi lazima uterereke.
Vita ya Iraq sio sababu ya kusumbua uchumi wa America, kama unajua uchumi vizuri utakumbuka ya kwamba Marekani ilikwenda kwenye dipression mwaka 1929, baada ya hapo mambo yalikuwa mabaya sana kwenye uchumi wa marekani, mpaka mwaka 1940 ambako America ilikwenda kwenye vita vya dunia. Na baada ya hapo Uchumi ulisimama. Uchumi wa America unategemea kazi na kama kazi zipo basi hakuna tatizo. Sasa sidhani kama vita ya Iraq ndio iwe tatizo, wachumi wengi hapa marekani hawaliweki hilo hata kwenye mabano.
Ongezeko la bei ya mafuta sio tatizo la kusumbua uchumi. Kumbuka ya kwamba Mafuta yamepanda bei kuanzia mwishoni mwa 2006 mpaka mwisho mwa 2008. Na mafuta yashapanda kabla, Ulaya wanalipa mafuta ghali kwa miaka yote mbona chumi zao hazitetereki? Jee kuna uwiano gani kati ya $80 na Economic downturn? I need data na sio kelele kama kasuku.
Bei ya mafuta sio kwamba yaliweza kuathiri mambo 3 Inflation, Unemployment rate and Economic growth na usipo adhiri haya mambo 3 huwezi kuyumbisha uchumi wa marekani.
Mwisho naomba mambo ya uchumi mtuachie wachumi, na kama mnaweza endelezeni majadiliano ya Wema sepetu.
Mchumi wa Texas
Nyie wadau please restrict your regurgitated contents on this blog.
ReplyDeleteWe already have Google if we want to remind ourselves of what caused the US financial crisis.
http://tinyurl.com/causes-of-US-financial-crisis
It's history now, and those who were really interested to know were following news updates and analysis on The Economist, Time Magazine, NY Times, etc
Now it's time to propose solutions, and news is if you are not invited to the G20 meeting in London your proposed solution is just moot.
Perhaps Michuzi can tell us if any G20 leader has been scouting this Blog for possible solutions.
mmemfanya joni mashaka kuwa mkubwa kuliko binadamu. hata dini anaweza kuanzisha. wafuasi wake wamekuwa wengi wa kutisha heti. nashangaa mnaolalamika ndo wale wale waliomfanya hawe mungu mtu.
ReplyDeleteyaani jina lake likitundikwa tu hata machizi na majini yanayookota makopo yanakimbilia kuchangia. US-blogger akimuona anabadilisha sura kujiita mdau USA. jamani wabongo treni ya watu wenye akili inatupita. ukweli ndo huo
michuzi mm nakulaumu wewe kwa kuposti atiko zenye lugha chafu kama za mdau wa USA au kwa jina jingine US-blogger ambaye inaonekana wazi kabisa kwamba hana jipya zaidi ya kulipiza kisasi kwa mashaka kumpasua katikati
ReplyDeletesusan umeongea pointi sana. mm nmfagili mashaka pamoja na shayo kwa maana wao wanania njema.
ReplyDeletewenye nia chafu ndo wale ma anonymous wenye majina ya ajabu ajabu. Mashaka na Dr.Shayo ni watu wanadirki kuielemisha jamii, lakini haya mashetani hata pointi zao kusema kweli hazieleweki
Mawadu hebu tutafakari vizuri, hawa ma jinamizi wanajifanya kuchangia, watu wenye nia njema kawaida hawawezi kuficha majina yao. wajinga wenzao ndo wale wanaofuata mkumbo
I do not like Mashaka either, but mdau wa USA seemed 'clueless' as suzan suggests! IRAQ WAR won't be missing in the top 2 causes of 'the so called' economic crysis!
ReplyDeleteGili
MCHUMI WA TEXAS,
ReplyDeleteKWA KWELI KWA MARA YA KWANZA UMEMWAGA NONDO KISAWA SAWA HUMU KWA HUO MTUNDIKO WAKO WA HAPO JUU. HONESTLY UMEPANUA UELEWA WANGU WA HII FINANCIAL CRISIS. SIJAWAHI KUCOMMENT ARTICLE ZAKO, LAKINI NAOMBA HAPA NISEME YOU ARE JUST SUPER. UMEELEZEA NADHANI MPAKA WAJINGA KAMA SISI WENYE ELIMU NDOGO TUMEKUPATA.
AKINA MASHAKA NA SHAYO..THEY HAVE THEIR OWN POINTS. LAKINI NAOMBA NIKUSHUKURU KWA NONDO ZAKO ULIZOBANDIKA KWENYE HII POST.
ULICHOKIELEZEA NI KWELI TUPU....HUJAWEKA BLAH BLAH NYINGI SANA...
MJADALA UENDELEE.
Matatizo ya uchumi yametokana na subprime lending; hakuna kingine wala nyongeza, period. Sitaeleza zaidi kuhusu mechanism ya subprime lending na jinsi ilivyosababisha uchumi kuanguka kwa sababu malezo haya yanapatikana sehemu nyingi tu. Mimi nilipoteza pesa zangu nyingi sana kwenye benki moja ya New Century kwa vile nilikuwa na share 850 zenye thamani ya zaidi dola 90 kila moja lakini ghafla bin vuu zikaanguka na leo hii kila share ni $ 0.01. Walioathirika na kuanguka kwa mabenki ya marekani ni wengi. Watu binafsi kama mimi, na tasisi mbalimbali pamoja na mabenki mengine ya nchi za nje.
ReplyDeleteMakosa ya Mashaka ni kuongeza factor za Vita vya Iraq na bei ya mafuta kwenye mgogor wa sasa kichumi. Na makosa ya US-Blogger ni kusema kuwa Mashaka "ameongopa" badala ya kusema kuwa "kakosea".
Vita ya Iraq ndiyo iliyosaidia uchumi wa Marekani kupanda tena baada ya kuwa kwenye recession kuanzia Bush alipoingia madarakani mwaka 2001. Baada ya vita ile kuanza ndipo uchumi ukaanza kupanda tena. Ingawa kuna gharama kubwa sana kuendesha vita, lakini inabidi ifahamike kuwa gharama hizo ndizo zinazochochea (stimulate) uchumi. Kwa hiyo Mashaka alikosea kutaja kuwa vita hiyo ndiyo imesababisha dunia nzima iwe na matatizo ya uchumi wakati kuna nchi nyingine ambazo hazina uhusiano na vita ile lakini nazo ziko matatizoni sasa.
Ongezeko la bei ya mafuta halijawa tatizo hata siku moja. Mwaka 1998 tulikuwa tunanunua mafuta kwa $0.85 kwa galloni. Kuanzia mwaka 1999 bei imekuwa ianongeza kila kukicha. Ndiyo maana mwaka 2000 wakati wa kampeini za uchaguzi Rais Clinto akaruhusu mafuta ya strategic resevre yatolewe ili kupunguza gap baina ya demand and supply lakini hatua hiyo haikusaidia kitu, hadi leo hii mafuta yamekuwa yapanada bei, lakini tunajua kuwa kati ya mwaka 2003 na 2007 uchumi wa Marekani ilikuwa unakua licha ya bei za mafuta kupanda kila leo.
kikubwa ninachoona wengi wakichangia ni wivu tu.
ReplyDeletemtoto amahangaika maishani na kufikia hapo halipo, kwnza ni mtanzania mwenzenu, mbona msimuunge mkono badala ya mizee mizima kujaribu kumrudisha chini. wabongo hamkeni, mashaka endelea na shuguli zako, hachana na hawa wanga wa kibongo na pia ningekushauri uhchane na mambo ya kuandika kwa maana unaanza kuwa mungu mtu sasa
wadau, ninafurahishwa na jinsi mjadala ulioanzishwa na Mashaka na Dr Shayo unavyoanza kukomaa
ReplyDeleteKwa kweli sasa naona kumekuwepo na watu ambao wanatambua kuwa hawa vijana siyo tu wamesoma , pia wameelimika.
Waswahili wanasema "mti wa mwembe ambao hauna maembe haupigwi mawe"
kubalini, vijana hawa wanania njema na taifa la Tanzania. wewe fikiria, wale mnaosiliza voice of America jana Dr Shayo alikuwa anahojiwa ili kutoa tathmini yake baada ya mkutano wa G20 mara tu baadaya ya Waziri Gordon Brown kuwa na mkutano na waandishi wa habari. Je mlimsikia alivyo weka msimamo wake?
Jiulizeni ni watu wangapi, vijana wa kitanzania ambao wamepata fursa kama hiyo?
jiulizeni baada ya mkutano wa watu wenye nguvu kama hii kufanyika na kijana we Dr. Shayo kupata hiyo fursa, inaonyesha ni kwa jinsi gani anayokubalika.
Na ningependa kuwaambieni kuwa siyo Voice of America tu, anatumiwa sana kuelimisha umma wa nchi masikini na BBC na Radio ya Ujerumani.
Sijui watanzania mnataka nini?
Mashaka yuko USA strategically.
Si lazima uwe umekaa kwenye chama tangu utotoni ili kuwa rais.
Nani alijua Obama anekuwa Rahis na hakuwahi kuwa mpiganaji vitani?
Lazima tukubali mabadiliko.
Dr Shayo, Mashaka na wale ambao wanania njema tunawafahamu na tunawapongeza kwa kazi zenu.
Ningependa kumsahihisha anonymous mmoja hapo juu aliyesema kuwa wabeba "mabox"
Ndugu, Dr. Shayo yuko mbali na Dunia inamtambua ni tanzania tu haitaki kumkubali.
Mashaka yuko mabli anatambulika kiutendaji, ni tanzania tu ambako hawataki challenge
Ombi, watumieni hawa vijana wakiwa bado wananguvu zao.
Taifa litanufaika , tena sana
Mungu ibariki Tanzania
Mungu wape afya njema vijana wetu
WATANZANIA SISI NI MASKINI NA WAJINGA MPAKA KWENYE KUFIKIRIA.NA NDIO KIASI CHA KUENDELEA KUWA MASKINI MPAKA KIAMA KWA AJILI YA MAMBO KAMA HAYA YA KUPOTEZA MDA KWENYE MIJADALA AMABAYO HAIWASAIDII KITU CHOCHOTE KWENYE NCHI YENU BALI NI KUTAKA KUONESHANA NANI ZAIDI YA MWINGINE.WAKATI WENZETU WANAKUSANYA MAWAZO YA KILA MTU NAKUYAFANYIA KAZI KWA MANUFAA YA NCHI ZAO SISI TUKO HAPA KUONESHANA NANI ZAIDI.WATU WANAANGALIA MAISHA KWENYE SAYARI YA MARS SISI MPAKA LEO HATA UWEZO WA KUWA NA UMEME WA HUAKIKA HATUNA.KWA VILE NCHI IMEJAA MABONZO WENGI SANA.WENYE AKILI NDIO HAO WANATENGANA WANASHAMBULIANA KILA SIKU KUTAKA KUONESHA NANI ZAIDI.
ReplyDeleteBADIRIKENI ACHENI KUPOTEZA MDA WENU KWENYE KUSHAMBULIANA BILA MANUFAA YOYOTE.
EH MUNGU TUBARIKI WATANZANIA NA UTUTOLEE LAANA YA UJINGA.AMIN
mdau mzawa
Jamani Kuna msemo usema wachumi hawakubaliani, Hivyo wote kwa mitazamo yenu mnapoint, iwe vita, mikopo ni jinsi utavyoona wewe. sisi tunajuma mtetemeko wa chumi umekwaa dunia, wachumi si wachumi hawasaidii chochote kusolve tatazito hili, kwa sababu WACHUMI WANA POLLY AND NORMATIVE BELIEVES
ReplyDeleteKAZI KWENU
Nashukuru watu wote waliotoa maoni yao kuhusu huu mjadala.Kitu ninachowaomba ndugu zangu ni kujulishana na kupeana habari ambazo hazipotoshi,hazina chuki,hazina mwelekeo,kukatishana tamaa,ujuaji ujinga na mengineo.Naomba wote mliotoa michango yenu angalieni hii filamu halafu fikirieni,changanueni,eleweni, kabla ya kuropoka.Nampongeza mdau mmjoa hapo juu aligusia kwa kusema nanukuu"One world one order".Mwisho wa kunukuu.Hili lipo njiani.Pia tafuta hotuba ya rais wa brazil alivyohojiwa na mwandishi wa habari.Filamu yenyewe inaitwa ZEITGEIST-Ipo kwenye yutube kuwa makini angalia na baada ya hapo changanua mwenyewe.Ninawaomba tena tuwe makini tunaposikia jambo fulani kwa kutoa maoni ambayo yatanufaisha jammi kwa ujumla badala ya malumbano yasiyokuwa na maafikiano mazuri.Pia kwa wasomi nawaomba mtuongoze kwa kutupa ujumbe na habari ambazo ni za ukweli na wala zisiwe za kutaka kukufanya wewe uonekane ni bora kuliko mwingine katika fani fulani .Nchi yetu imetoka mbali na tuna safari ndefu mbele yetu kwa hiyo tupeane taarifa zenye msingi wa maendeleo.
ReplyDeleteShukurani kwa wote wanatoa hoja zao kuhusu hili suala.
Mike.
Like earlier said, Economics as a study of social phenomena is NOT an exact science in the sense that 2+2 does not always lead to 1 as the "correct" answer. This is more so given the presence of myriad schools of thought in economics whereby each applies different assumptions and interpretations in their approaches.
ReplyDeleteThe bottom line is most (if not all) Economists are wont to cloud their arguments or viewpoints on economics with their whatever political-ideological convictions without necessarily end up being called "liars" by opposite-minded peers. Remember, even Karl Marx himself was an economist, and I bet adherents of the Marxist economic school of thought would arrive at wholly different sets of cause-effect mechanisms and conclusions as concerns the origin of the current global financial crisis.
So my message to Mr "Mdau from USA": please go and read again your Economics 101 lecture notes, text books or whatever, for really other than childish displays of extreme arrogance, narrow-mindedness and pathetic pretensions to intellectual superiority, you appear to have no clue about the very fundamentals of Economics.
And by the way, next time you decide to pick on John Mashaka, at least be decent enough to use your true id - if only so that in case you end up screwing up, you too could get some feeling of what it means like to be publicly humiliated and accused as an intellectual fraud.
Is he also correct na pumba za Dubai is a country, is he correct on agriculture being the main GDP contributor in TZ, is he correct on his strategy to shift more resources to development projects bila ya kusema at the expense of what alternative?
ReplyDeleteIf he he correct kwa nini anakimbia live global debate na US Blogger?
Wacheni upuuzi wa kudai Mdau from USA ndio US Blogger. Kwani watu wengine hawana haki ya kuonesha upuuzi wa Mashaka?
ReplyDeleteUS Blogger namfahamu na hana sababu ya kujiita Mdau from USA, afanye hivyo kwani Mashaka ana nini?
Mbona Mashaka kaambiwa a debate US Blogger na kakataa kama kweli anakijua anachokisema.
Yaani kwa kuwa nyinyi munaamini Dubai ni nchi kama mulivyoambiwa na Mashaka basi kila anayejua Dubai si nchi ndio amakuwa US Blogger?
Kama kweli Mashaka anajua alisemalo kwa nini anakataa debate?
Michuzi, Bwana, Jni Mashaka ame Hijack Site yako; yaani amekuwa maarufu hata kukuliko wewe mwenye site.Wabongo Bwana, kama akili ni zake, basi mumuachieni wajameni. kwani imekuwa nongwa??? Ebooo
ReplyDeleteLike earlier said, Economics as a study of social phenomena is NOT an exact science in the sense that 2+2 does not always lead to 4 as the "correct" answer. This is more so given the presence of myriad schools of thought in economics whereby each applies different assumptions and interpretations in their approaches.
ReplyDeleteThe bottom line is most (if not all) Economists are wont to cloud their arguments or viewpoints on economics with whatever political-ideological convictions they may hold without necessarily ending up risking being called "liars" by opposite-minded peers. Remember, even Karl Marx himself was an economist, and I bet adherents of the Marxist economic school of thought would arrive at wholly different sets of cause-effect mechanisms and conclusions as concerns the origin of the current global financial crisis.
So my message to Mr "Mdau from USA": please go and read again your Economics 101 lecture notes, text books or whatever, for really other than childish displays of extreme arrogance, narrow-mindedness and pathetic pretensions to intellectual superiority, you appear to have no clue about the very fundamentals of Economics.
And by the way, next time you decide to pick on John Mashaka, at least be decent enough to use your true id - if only so that in case you end up screwing up, you too could get some feeling of what it means like to be publicly humiliated and accused as an intellectual fraud.
Anon wa April 03, 2009 4:16 AM, we unafikiri uchumi utakuwaje kwa kununua unachozalisha mwenyewe? Soma "Regional Economics".
ReplyDeleteAnon wa April 03, 2009 6:50 AM, those are the results of the crisis not the causes.
ReplyDeleteMdau from USa and the US-Blogger are all Academic frauds, that is why they are afraid to reveal their true identities.
ReplyDeleteThese people are clueless, they are dwelling on debates, debates for what? do not capitalize on Mashaka's startdom, he is above you, let the issue settle.
You can't be famous by writing few awkward senteces and think you can deceive us. Your effort to scuffle Mashaka and Shayo's articles will never work. They have written so many pieces, yet you have none.
If you want to be like him, then display some courage, and brilliance to write an article of your own with your own signature and email, and wait to see how it will be torn into pieces by great minds in here.
You are a pretender, and interlectual wanna be, it is time you shut up, or will be forced to shut up because you have nothing to offer the readers in here more than your arrogance, stupidity and immaturity. You egocentric idiot,
Huwezi kuendesha vita dhidi ya ugaidi kwa fedha za mkopo kutoka china.
ReplyDeleteUtaumaliza ugaidi si kwa mtutu bali kwa ulaghai, na kompromise.
wadau, ninafurahishwa na jinsi mjadala ulioanzishwa na Mashaka na Dr Shayo unavyoanza kukomaa
ReplyDeleteKwa kweli sasa naona kumekuwepo na watu ambao wanatambua kuwa hawa vijana siyo tu wamesoma , pia wameelimika.
Waswahili wanasema "mti wa mwembe ambao hauna maembe haupigwi mawe"
kubalini, vijana hawa wanania njema na taifa la Tanzania.
wewe fikiria, wale mnaosiliza voice of America jana Dr Shayo alikuwa anahojiwa ili kutoa tathmini yake baada ya mkutano wa G20 mara tu baadaya ya Waziri Gordon Brown kuwa na mkutano na waandishi wa habari.
Je mlimsikia alivyo weka msimamo wake?
Jiulizeni ni watu wangapi, vijana wa kitanzania ambao wamepata fursa kama hiyo?
jiulizeni baada ya mkutano wa watu wenye nguvu kama hii kufanyika na kijana we Dr. Shayo kupata hiyo fursa, inaonyesha ni kwa jinsi gani anayokubalika.
Na ningependa kuwaambieni kuwa siyo Voice of America tu, anatumiwa sana kuelimisha umma wa nchi masikini na BBC na Radio ya Ujerumani.
Sijui watanzania mnataka nini?
Mashaka yuko USA strategically.Tunajua 2015 anasimamishwa kwenye tiketi ya CCM
Si lazima uwe umekaa kwenye chama tangu utotoni ili kuwa rais.
Nani alijua Obama angekuwa Rais na hakuwahi kuwa mpiganaji vitani?
Lazima tukubali mabadiliko.
Dr Shayo, Mashaka na wale ambao wanania njema tunawafahamu na tunawapongeza kwa kazi zenu.
Ningependa kumsahihisha anonymous mmoja hapo juu aliyesema kuwa wabeba "mabox"
Ndugu, Dr. Shayo yuko mbali na Dunia inamtambua ni tanzania tu haitaki kumkubali.
Mashaka yuko mabli anatambulika kiutendaji, ni tanzania tu ambako hawataki challenge
Ombi, watumieni hawa vijana wakiwa bado wananguvu zao.
Taifa litanufaika , tena sana
Mungu ibariki Tanzania
Mungu wape afya njema vijana wetu