mkongwe zahir ally zorro akiwa na ismail wakishusha kibao cha 'nzela' usiku kuamkia leo katika ukumbi wa irish pub ambapo b band hutumbuiza kila ijumaa na jumamosi wanakuwa sweet eazy
kama baba kama mwana: zahir ally akighani akiwa na mwanae banana (kulia) na ismail
b band hukaribisha wanamuziki wa bongo flava katika shoo zao ili kupiga tizi la sauti. safari hii ni Q-J (katikati) akiwapa taff irish pub. banana zorro amesema wanamuziki wa bongo fleva wanabidi wawe wanafanya mazoezi kama haya kila siku ili kuimarisha uwezo wao wa kuimba na stamina.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...