wadau tufurahie siku ya KARUME DAY leo kwa picha hii inatyowaonesha waasisi wa taifa hili, Mwalimu Nyerere na Sheikh Abeid Karume, walipotembelea Ngome kongwe huko Zenj enzi hizo. Mwenye kanzu ni Sheikh Thabit Kombo, mmoja wa vinara wa Afro Shirazi na baadaye CCM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Na MUUMBA abariki ya VIONGOZI WATUPOTEZAO enzi zetu kama hilo baadaye litakuwa muhimu!

    :-(

    ReplyDelete
  2. jamani picha inakumbusha enzi zile za pekosi...

    naomba kuuliza nini maana ya sentenso hii..
    "Ukitaka kula, lazima uliwe."-
    J. Kikwete

    ReplyDelete
  3. Waangalie wlikuwa wanagawana umaskini kama alivyojiimbia 'Juma Nature'

    ReplyDelete
  4. hivi huyu mwenye suti nyeupe sio marehem Saidi Washoto mungu awalaze pema.

    ReplyDelete
  5. HUYU MWENYE SUTI YA KATA SHINGO NYEUSI???!!!??NANI ??? HUYU ?VILE?
    AH!! KUMBE MAREHEMU KOMREDI ABDULRAHAM BABU!mzee huyu alikuwa mjamaa hile mbaya kuliko kingunge

    ReplyDelete
  6. kushoto marehemu saidi washoto (suti nyeupe)

    ReplyDelete
  7. Tufurahie au tusikitike. Si siku aliyouawa Karume - or am I missing somethinh here?

    ReplyDelete
  8. Ukitaka kula lazima na wewe uuliwe ina maana kuwa kwa kuwa wewe kuna siku ulikula na wewe iko zamu yako kuliwa.

    ReplyDelete
  9. Jamani nauliza. Siku ya Kalume Day tunafurahia nini? Naona kama Michuzi katutaka tufurahie.(kapuni)

    ReplyDelete
  10. kuuliza si ujinga hivi huko Bongo kuna public day pia ya nyerere day?

    ReplyDelete
  11. Kilio matangani Hizo siku zilikuwa UKITAJA zanzibar ilikuwa zanzibar

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...