Michuzi,
Wawekee wadau picha ya Hasheem Thabeet na mamsap wake jana walipokuwa anacheki NCAA Finals kati ya University of North Carolina na Michigan State University. Hapo kwenye picha kavaa miwani ya mamsap wake. Ilitokea live kwenye game hiyo jana.


Hasheem Thabeet gets caught in his girlfriend's sunglasses

By Eamonn Brennan

source: http://rivals.yahoo.com/ncaa/basketball
/blog/the_dagger/post/Hasheem-Thabeet-gets-
caught-in-his-girlfriend-s-?urn=ncaab,153380

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 32 mpaka sasa

  1. PhatlorenzoApril 08, 2009

    I wish Hasheem nothing but the best. Leo nilikuwa nasikiliza Dan Patrick Radio show, they are talking about you being a potential top 3 in the upcoming draft. Hata wale jamaa wa ESPN wa "Pardon The Interruption" leo walikuwa wakizungumzia hii miwani uliyoivaa kwenye hiyo picha hapo juu. I personally think you should enter the NBA draft while your stock is still high.
    Unahitaji ku improve your game but who doesn't? You have proven that you can block shots and you have good timing. You can also shoot free throws, hii ni weakness ya ma big men wengi. Usiwasikilize hawa akina "sisi" tunaokuambia kwamba you are not ready. You are ready enough. Nobody went to the NBA fully matured. Si ulimwona Yao alivyo struggle mwanzoni?
    Go out there, get paid..mnunulie mama nyumba..then shule malizia baadae. As a matter of fact unaweza kuchukua summer classes kama alivyofanya Vince Carter alipokuwa na Toronto Raptors. Who knows whats gonna happen to UCONN next year? Kuna rumors kwamba Kocha wenu Jim Calhoun anataka kustaafu kutokana na scandal za basketball program kwenye issues za ku recruit. So do you really believe kwamba Calhoun akiondoka his predecessor is going to take UCONN back to the final 4 next year? Sidhani.
    I know deep inside you know where your heart wants to be. I would advice you to hire a smart lawyer, incase you don't have one. Au tafuta sports agent obvious utakuwa unaongea na jamaa walioko NBA tayari ambao wana ties na UCONN program. Ask them how to go about with endorsments and the hows and the post draft.
    Again...go..Hasheem..get out of UCONN go make those millions za mzee Stern.
    Best of luck
    --Phatlorenzo---

    ReplyDelete
  2. Read Comments here >> http://rivals.yahoo.com/ncaa/basketball
    /blog/the_dagger/post/Hasheem-Thabeet-gets-
    caught-in-his-girlfriend-s-?urn=ncaab,153380

    Hilarious, Dah!!
    B.

    ReplyDelete
  3. hahaaaaaa haaaaaa hii kali na kwa vile katoka nje ya us basi watasema hawa.

    wifi yetu poa kweli

    ReplyDelete
  4. OYA HUYU GF WAKO NI GENERATION YA SOKWE-WA NJANO NINI KAKA? NIPE MCHANGANUO WAKE

    ReplyDelete
  5. hongera kaka Hashimu!vizuri umemchukua wa kule kule manaake angekuwa mbongo ungeliwa na kufilisika hata kabla hujaritaya!

    ReplyDelete
  6. Zinaa nje ya ndoa haramu!

    ReplyDelete
  7. MliakuvanaApril 08, 2009

    At least his girlfriend is a sister.....'nuff said!!!

    ReplyDelete
  8. Wewe uliyepost una mawazo finyu sana, sasa hiyo habari ya Hasheem kuangalia fainali na demu wake inatusaidia nini sisi jamii? Yes Hasheem ni mfano mzuri kwa wa tz kwa anachokifanya, wekeni mambo ya maana kuhusu yeye, siyo mambo ya kijinga kuhusu maisha yake.Personaly posts nyingi unazoweka za Hasheem hazina maana humu,use your brain next time!!

    ReplyDelete
  9. Huyu mdau wa Tarehe April 08, 2009 9:16 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Phatlorenzo
    These are constructive comments ambazo wengi tungetakiwa kutoa. I really appreciate Phatlorenzo with these matured positive comments, Hasheem should read these!!! (dRU)

    ReplyDelete
  10. Keshaanza kuchanganyikiwa huyo baada ya kushindwa, sasa anavaa miwani za kike...
    (haya waosha vinjwa karibuni :P)

    ReplyDelete
  11. Kajikomboa kuwakwepa wanawake wa Bongo ka ukoma. Nasikitika kuweza kusema kuwa dada zetu wengi siku hizi wamekalia ulimbukeni. Binafsi nimekoma.

    ReplyDelete
  12. ANA MNUGU KIJANA TUSHAMPOTEZA....HUYU MICHUZI UNGEMFANYIA MPANGO MTOTO MZURI MWENYE HESHIMA ZAKE TOKA NYUMBANI NDO ACHUKUE ANAJIFANYA LA BRON HUYU WENZAKO WASHAWAZOEA VICHAA WAO...MUIGE YAO UNAFIKIRI ALIKOSA MIANAMKE YA HAPA? KAJIOLEA MCHINA WAKE KUEPUKA VISHIDA SHIDA VISIVYO NA MPANGO KAANGALIE KWANZA VIMACHO JUU JUU TUU AM SORRY KAMA NI MTZ NA NIMEMDHANIA MNUGU ...ILA HABARI NDIO HIYO.

    ReplyDelete
  13. Mhhhhhhhhhhhh! naona hata masikio sasa hivi anavaa hereni. Kazi kweli kweli.

    ReplyDelete
  14. Dah, Hizo Comment za http://rivals.yahoo.com/ncaa/basketball
    /blog/the_dagger/post/Hasheem-Thabeet-gets-
    caught-in-his-girlfriend-s-?urn=ncaab,153380
    Mi Hoi... HASHEEM Go to the NBA playoff and say BYE to poverty mazee... Kalaghabaho na Uconn uishie kuwa psychologist...
    Mi nakutakia kila la Kheri Mjomba, najua utalamba tu dume NBA, hakuna anayekuwa tayari fit for NBA wakati anasoma, maturity inatoka humo humo kwenye Games na makocha plus wachezaji wenye viwango. Hasheem Sahau Umasikini na Jiendeleze na NBA, Shule utasoma tu, hata kama this Year hutochukuliwa lakini umejaribu, Huwezi Jua nini kitatokea.. so Jaribu Mungu ataleta Baraka zake. NB: Its too personal na watu wanakuona Hero, Usituangushe kaka.

    BY Kama Unasoma hizi comments lakini. Maanake tunaweza kuwa tunakupa moyo buree, halaf hata ujumbe haukufikii.

    ReplyDelete
  15. Phatlorenzo umenena mambo ya msingi. Nyongeza ni kuwa kama teammates wake wa Uconn wakijitosa NBA ina maana timu itakuwa inaundwa upya, inaweza isifurukute mwakani.
    Kama Hasheem akijitosa NBA itabidi akaze msuli kwelikweli kujiweka sawa kupambana. Lakini kuna vitu anavyo ambavyo wengi hawana. Kwenye mechi na Michigan kuna jamaa alimtuma sokoni Hasheem lakini Hasheem aliweza kurudi bila kucheza faulo. Commentator alifurahishwa na kusema pengine inatokana na msingi wa soka aliokuwa nao Hasheem. Wachezaji wengi wa NBA wakitumwa sokoni wakirudi ni faulo.
    Sasa hivi Hasheem ashakuwa star US. Ajihadhari wasitokee mabinti kujaribu kum-Kobe Bryant.
    Mdau unayesema zinaa nje ya ndoa haramu umeona nini? Picha inaonyesha Hasheem amekaa na binti inayeelekea wanaelewana wanaangalia mechi ya mpira wa kikapu, tena hadharani kwenye mwanga.

    ReplyDelete
  16. “Great minds discuss ideas; Average minds discuss events; Small minds discuss people”

    ReplyDelete
  17. PHATLORENZO big up kwa ushauri wako na mimi ningemshauri the same...Thabeet go to NBA acha kusubiri sana,game yako ni sana na inazidi wengi walipoingia NBA,ila ongeza msuri tuu,wewe ni big man kwa acha mambo ya kutegemea jumpers sasa inabidi ujifunze attacking the rim na inabidi uwe more aggresive la sivyo wata dunk kichwani kwako,Calhoun hata akibaki sioni UCON wakienda popote maana seniors karibu wote ndio wanatimua kuanzia AJ Price, sijui robinson,lakini thanks for the ride mazee it was fun,tunakusubiri NBA na pole pole utafika ila hakuna shot cut ujue ni mazoezi tuu ya nguvu na discpline ya hali ya juu unatakiwa uwe nayo..kila la kheri hopefully nawesza kukuona Target center mkicheza au ukichezea minnesota Timberwolves!

    ReplyDelete
  18. Hasheem hata siku moja usichukue demu wa Kibongo kwa sababu watakulostisha ndugu yangu, mademu wengi wa kibongo ni gold diggers, waongo, wambea na wanaongoza kwa ku-cheat, utakuta demu ana bwana kila state na hawachelewi kukuletea STDs na Ngoma. Chonde chonde ndugu yangu achana na mademu wa kibongo kabisa, ni soo

    ReplyDelete
  19. eheee hakuna kitu kizuri kama kuoa home ww.
    ingia NBA,
    nenda kaoe bongo asikwambie mtu kuna watoto wazuri na wenye adabu home,
    muone YAO MING,,,
    MUTOMBO.,
    wameoa kwao na wanafanya maendelea kwao,haya ww

    nenda kaoe mnugu baada ya miaka 3 divorce utalia wwwwwww

    ReplyDelete
  20. Sasa hawa watu wanaokandia wasichana wa kitanzania mimi naona kama wanajisuta wenyewe tu. Wewe kama umpendi msichana mmoja usihalalishe kwa wote. Hebu badilisheni mawazo yenu mfikirie chanya.

    ReplyDelete
  21. PhatlorenzoApril 08, 2009

    Mdau wa April 08, 2009 9:46 PM
    Sawa kabisa...Hata mimi niko anxious kumuona Hasheem akija Target Center na timu yake mpya ya NBA kuja kumtesa Kevin Love na Sebastian Telfair & Company.
    I agree with you completely. Nafikiri watanzania kama tungetumia muda wetu mwingi kujenga/kujengana tungefika mbali sana lakini tunaua talents (vipaji) kwa sababu ya NEGATIVITY.. Just because you can't do it haimaanishi kila mtu hawezi, na lini imekuwa makosa kujaribu?
    The good thing here ni kwamba Hasheem has nothing to lose. So why can't he try? I don't know this kid lakini I am so proud of him and the way he handles himself kwa sababu hapa U.S. ukiwa superstar, pia ukawa mapepe...you will definitely become a time bomb na eventually you will explode. Kuwa grounded the way Hasheem is, is something to be proud of na ninampa KUDOS mama yake mzazi kwani nafikiri yeye ndio engineer wa tabia aliyonayo jamaa. Ndio maana nikasema mwanzoni..Hasheem needs to go out there and make his mom proud..Get her a beautiful home in a nice suburb kabla hata hujanunua bling bling na mshahara wako wa NBA.
    --Phatlorenzo--MN

    ReplyDelete
  22. mtu anahaki ya kuowa ampendae na sio kuwakashifu ma dada wa kibongo kwani kama dada zako wame data usidhani wote ndiyo wa medata
    au kama dada yako hana mtu wa kumuowa ukazani madada wote wana haha kama dada yako jibu sio hivyo muacheni huyo abadilishe test ya madada wa mataifa mengine na kama wata achana na wakafirisi siku nyingine hata rudia kwani yeye anajuwa anapendewa nini na huyo demu??
    msimwamushe aliye lala kwani hana wazazi au ndiyo nae keshakuwa mu americano au mlungu?? all the best

    ReplyDelete
  23. bwana mdogo kaanza vituko vya ki-celebrity .kuhusu mademu wa bongo choo nakubali lakini sio wote.akitulizana atapata mwanamke wa kistarabu wa bongo.kwani bora hazae na mwafrika kulikoni child support iende kwa mnugu.watakufirisi mademu wa kinugu hawana hutu!

    ReplyDelete
  24. JAMANI WABONGO MPENI HONGERA MWENZENU TIMU YAKE KUFIKA HAPO. AOE BONGO, SIJUI ANAZINI SIJUI HUYO MZUNGU HIVI, NYIE HAYO MNAYAJUA WAPI? ANGEKAA NA MWANAUME HAPO MNGESEMA ANA GIRL FRIEND ANAZINI....NYIE WATU NYIE ACHENI HIZO. BADO ANASOMA NA HATA CAREER HAIJACHANGAMKA ATI AOE.

    ReplyDelete
  25. That girl is black American so it all the same dating bongolicious girl or whatever.Wanaume wa kibongo wamezoea kuhonga halafu wanalalamika wanachunwa.Kama mtu unatafuta mpenzi utapata mpenzi na ukitafuta mtu upate kuma utaishiwa kuchunwa.So may be both sides should be clear from the beginning what their intentions are for each other. African women are after family but Americans are after fame so pick sides wanaume mnaita wenzenu wachunaji.

    ReplyDelete
  26. mimi naungana na mdau hapo juu kuhusu huyu bwana hashim kujiweka sana sawa ni mfano kwa wabongo but sio kila kitu anatuwekea sasa utasikia sasa hivi anaingia kula anenda kuoga sio mambo hayo bwana hashim hii blog ni more than hashim ni ya kuikomboa tz na kusaidiana so next time weka kama umeshinda mech au umechaguliwa tukupe hongera but person issue plse no

    ReplyDelete
  27. Mnajishibedua KUWASEMA Wanawake wa Bongo, ila mkishindwa huko kwa Wanugu, mnarudi huko huko kwa Watanzania,mnaposema wanawake wa Bongo wana tabia mbaya mnawasema Mama zenu, dada zenu Shangazi, ma mdogo, binamu zenu na kadhallika. au...! au hao sio wanawake wa kibongo mlikotoka nyie Mahasidi,mabazazi mlojaa chuki? lakini kila kukicha mnawataka hao hao, mbona WANUGU wanatoa mbio kama mnawaona bora halafu mnarudi huko mbio, kuja kuomba samahani kwa hao hao wabomngo, yeye kama ndie aliekutana nae shule au ndie aliempenda juu yake lakini msijitie kuwasema wanawake wa kwenu,nyie wenyewe mna mitabia mibaya ndio maana mnawasema wanawake wenu, Hamna haya kweli nyie.Kama wee mwamba njoo Uongee hivyo mbeLE YA hao kinadada wa kibongo, uone.Hao wanugu wanaongea kuliko watazania, au hamsikii UKALI wa maneno yao kwa vile LUGHA IS NOT RICHABO??? .ACHENI HIZO

    ReplyDelete
  28. Research Proposal 1: "The Existence of a Causal Relationship Between Increased Upward Mobility of Women and Prevalence of Sexually Transmitted Diseases. The Tanzania Example"

    Research Proposal 2: "Telephony Penetration in Morally Loose Societies, such as Tanzania, and its Impact on Family Cohession."

    ReplyDelete
  29. Madem wa kibongo watakuloga hata ushindwe kucheza boli. Endeleza makamuzi na madem wa kinigu!

    ReplyDelete
  30. Bora kachukua black, anagemchukua mzungu ningechukia sana.

    ReplyDelete
  31. Beware of Sexual Partners
    Study: Your Sexual Partner’s Activities Predict Your STD Risk Better Than Your Own
    By Caroline Wilbert
    WebMD Health NewsReviewed by Louise Chang, MDApril 10, 2009 -- The phrase "sleeping with the enemy" has a whole new meaning.

    A new study shows that a sexual partner’s activities may have more to do with whether or not you gets an STD than your own behavior.

    Participants in the study included 412 black and white men and women ages 15 to 24 who attended an urban STD clinic in Pittsburgh. All reported having had heterosexual sex.

    Each year, roughly 19 million people in the U.S. contract a sexually transmitted disease, says the CDC. About half are between the ages of 15 and 24.

    Researchers measured six characteristics to gauge the risk of a sexual partner:

    The partner had a problem with marijuana or alcohol.
    The partner was at least five years older or younger.
    The partner had been in jail.
    The partner had had sex with other people in the past year.
    The partner had had an STD in the past year.
    Study participants were asked about their sexual characteristics and their partners’ characteristics. Among those whose partners’ activities were labeled as high risk, 53% were diagnosed with an STD. Among those whose own behavior was labeled as high risk, 38% were diagnosed with an STD.

    The riskiest characteristics were age difference and if the partner had had an STD in the past year.

    “If you are choosing high-risk partners, you are much more likely to have an STD, even when we account for your condom-use patterns,” Stephanie A.S. Staras, lead author and an assistant professor of epidemiology and health policy research in the University of Florida College of Medicine, says in a written statement.

    “The theory is simple: You need to have sex with someone who has an STD to get an STD. Based on the prevalence of STDs in the United States, it seems like the public may not fully understand their risk.”

    ReplyDelete
  32. Jamani mbona mmekazania mtoto wa watu akaoe na wakati hata ajafika miaka 25..lol.Bado ni mtoto,muacheni ainjoi maisha yake na ata akitaka kuwa na mademu tofauti muacheni.As long anatumia protection ili asiwatie mimba na pia asipate stds its all good man.Akisha mature na akiwa tayari ku settle I hope atarudi Tanzania kuoa,lakini kwa sasa muacheni jamani ndo kwanza ameanza jamani hata hiyo NBA yenyewe hajaingia.Na kama Mwenyezi Mungu akimbariki,anaweza akapata mschana mzuri wa kitanzania mwenye heshima na aliye soma ambaye sio gold digger.Kuna wasichana wengi wazuri wa kitanzania waliosoma.Kwahiyo jamani tusiwaponde dada zetu.All the best Hasheem.Please make the right deccision and dont let money change you.You will meet people that just want to be your friends becuase of the money and some will be your true friends.Becareful where your going.Always remember to pray because hollywood is not an easy road,it changes alot of people.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...