Mnajimu na mtabiri maarufu  Sheikh Yahya Hussein akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake  jana mara baada ya kuwasili akitokea India alikoenda kwa matibabu.  Ameamua kujitokeza baada ya uvumi kuenea kila mahali kwamba ameshafariki. 

Katika mkutano huo Sheukh Yahaya amewashukuru JK, Rais mtafu Benjmani Mkapa na Mwenyekiti wa makampuni ya IPP kwa kumchangia pesa kwa ajili ya  nauli na matibabu ambapo amesema baada ya kufanyiwa nuchunguzi amekutwa na matatizo ya miguu. 

Alitabiri pia kwamba katika uchaguzi ujao JK atashinda kwa kishindo zaidi ya ilivyokuwa mwaka 2005. Kulia ni mkewe Ketty mama Mufti Junior picha na Mzee wa Sumo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 46 mpaka sasa

  1. hahaha...huyu babu kwa ndogondogo??!!

    ReplyDelete
  2. iih! jamani huyu mzee kazeeka hivi! Ama kweli hii inaonyesha siku zinakwenda! Mara ya mwisho niliongea na huyu mzee 1999 nilipoenda kumwona kwake Magomeni nikiwa katika harakati za kuja UK. Alikuwa yankee kichizi hafu so active!! Sasa hivi yuko hivi?? Lord!

    ReplyDelete
  3. Ukiacha u-psychic wake, ni mtaalam wa kuchagua mke.

    ReplyDelete
  4. Huyu ndo mwislamu saafi.

    ReplyDelete
  5. Ana mke mzuri tena kijana!

    ReplyDelete
  6. Me nilijua mjukuu wake,eeeeehhhe binti eeeh huogopi?!.Langu jicho

    ReplyDelete
  7. hii kutakana ubaya , mbona kitu kidogoooooooooo , mzee anaweza kushusha mtu busha huyu

    ReplyDelete
  8. shikamooo

    ReplyDelete
  9. mmmmh mambo ya waganga hayo ukitowa mkono kutabiriwa kosa ! una baki hapo hapo na shekh ana chukua kiulaini

    ReplyDelete
  10. Kweli, uzee si ugonjwa!

    ReplyDelete
  11. Heh!! jamani hapo nyumbani kwa sheikh yahya naona kunatangazo la SPANISH BAR!! duh

    ReplyDelete
  12. bora aache mambo ya kutabiri harudi kwa mungu wake kwani ni haramu kupiga ramli.
    kila mtu anajuwa JK atashinda,basi na mimi na tabiri MAMA SALMA ATAKUWA FIRST LADY KIPINDI CHA UCHAGUZI ATASHINDA KWA KISHINDO KIKUBWA SANA! haache kutapeli mzee ni kipindi cha kuhungama,mana umechoka sana!mke kijana! mashalaau

    ReplyDelete
  13. JAMANI NIAMBIENI KOMA!!
    HUYU MZEE ANAJUWA KUCHAGUA KIASI HIKI HUYO KETTY JAMANI IMEKAAJE HII MWANAMKE ANAWAKA, MWANAMKE MZURI, ANAWAZIDI HATA WAKE WA VIONGOZI WA NGAZI ZA JUU NIMEMPENDA KWELI KWELI. BABU WAANGALIE HAO KINAMICHUZI UKISAFIRI SAFIRI NA MKEO MAANA VIJANA WAO HAWAJUWI KUTUNZA WAKE ZAO KAMA WAZEE

    BY THE WAY TUNASHUKURU UMEPONA PIA KETTY ATAKUTOA UCHOVU WA SAFARI

    ReplyDelete
  14. msione vinaelea------------------------------------------------------------------------------------------

    ReplyDelete
  15. Michuzi, hapo Sheikh kanifurahisha. Baada ya kumshukuru JK kwa nauli, ulitegemea kweli aseme kuwa uchaguzi ujao atashindwa? Sidhani kama atapenda kutukana wakunga ...........

    ReplyDelete
  16. Michuzi wewe ukatiwi UMEME?

    ReplyDelete
  17. Hi ,pole mzee ,lakini heheheheheheh ,huyo babu mke huyo si mjukuu wake huyo jamani balaa hili , mdau ca.

    ReplyDelete
  18. We unayesema sheikh ataibiwa mke usijidanganye, Wazee kama hawa mali zao haziliki yakhe, unawezajikuta mdomo haufunguki au tonge linakuwa kubwa na kushindwa kupita mdomoni. Umeshaona fisi anaacha mfupa huku ana njaa wewe, jaribu basi utajua nasema nini.

    Unaweza juta kwa mdomo kufunga moja kwa moja na usiweze kula tena ukawa unatazama kwa macho tu.

    ReplyDelete
  19. Binti maridadi kabisa huyu. Nadhani binti amekuja kurithi tu. Sidhani kama mambo yote yanamuendea sawa.

    ReplyDelete
  20. Aah jamani mbona mnasakama Sheikh juu ya mkewe?
    Nani amewaambia mapenzi ni kalenda shurti uangalie umri?
    Mapenzi si kalenda, kama binti yuko ndani ya 18, ruksa kuolewa na yeyote hata kikongwe wa miaka 100.

    Kwani Anne Nicole Smith aliolewa na kijana?

    ReplyDelete
  21. ahh mie naona wivu tuuu,yakhe kimwili kazeeka lakini wakati wa kujipima stamina,basi humzidi na chaguo la bibi...naam'turbo charged'!

    ReplyDelete
  22. Duuh kweli Sheikh Yahya ni mtoto wa MUJINI! Huyo trophy wake kweli katushinda watu wengi! LOL!

    ReplyDelete
  23. babu pole na kuumwa lakini isiwe tabu dawa unayo pembeni ila sasa wacha usani wa kumtabiria JK kwani nani kakuambia hato shinda kura usanii wa kizamani huo wacha JK ukitabiri usitabiri mambo yake makubwa mpaka Lipumba na Maalim Seif wame kubali mtoto wa town anavyo wa peleka puta watindiga hivyo mwache dogo aku uguze wacha magirini katika picha nawe una onekana kijana

    ReplyDelete
  24. Heee niliziania mjuuu wake kumbe mke....mbona kazi...alimtabiria huyo bibie kuwa takua mke wake?...

    Lakini kutabiri kote huko bado hela anachangiwa bongo hiyooooooo aumuulize Sylvia wa montel William show yeye katajirika vipi. Yule mama ni millionaire

    ReplyDelete
  25. U guys are crazy! Luv these comments, Michuzi tambarare!!!!
    Tupime DNA watoto wake kama ni bilogical father!

    ReplyDelete
  26. Wabongo hamiishi kusema nani kakwambia ng'ombe anazeeka maini?
    Anaweza kuwa mzee lakini mzigo anapiga kama kawa pasaka njema!

    ReplyDelete
  27. Duuuh Interview KITANDANI hii ni KALI!!!

    ReplyDelete
  28. AFANALEAIKH! BABU SHIKAMOOO! UNATISHA BABU ... KWELI UZEE DAWA

    ReplyDelete
  29. sasa jamani? mke wa sheikh vipi? mbona kchwa wazi hana hijabu?????? hapa kidogo Sheikh Yahaya aka YOHANA
    mtakatifu wa TZ !kaniacha mdomo wazi

    ReplyDelete
  30. Huyu ketty kwa uzuri huo na umri wa mzee wetu si mtabiri anatafuta lawama kwetu vijana mtaani hapa?

    ReplyDelete
  31. Jamaa mganga kama miaka 50 hivi, lakini bado arosto na nauli ya kutibiwa.
    kweli bongo tambararee. Raha tupu hapa. DNA testing inasaidia kweli kweli hapa.

    ReplyDelete
  32. Haaa!!!! gari bovu huvutwa na zima atii!!! nyie shangaeni tu mzee kuwa na mke kijana

    ReplyDelete
  33. WOOOOOOOOOOOOOOOTE hamna MACHO NDIO WAZEE NYIE, MKITIZAMA KWAMBALI KWELI LUGHA KUMBE SHEIKH YAHYA ANA SPANISH BAR NDANI YA CHUMBA CHAKE? BABU TUNASUBIRI KURISI MKE MH MASHALLAH.

    ReplyDelete
  34. Yakhee pole...lakini acha sasa kuwasiliana na mashetani si vyema hivyo. Mungu hapendi kuwasiliana na nguvu za giza. Sababu bado una nguvu basi ungama na uachane na uovu. Halafu yakhee acha kudanganya vile..unajua CCM lazima ishinde uchaguzi..JK kama kazungungukwa na wapiga ramli hivi kwa nini ashindwe...yakhe? Lakini Mungu anaweza akaamua kuonyesha uweza wake na JK asishinde..kwa hiyo kaa kimya uguza miguu..siku zetu duniani zimeandikwa na Mungu siyo tunguli..

    ReplyDelete
  35. Itakuwa nguvu za kiza huyu mdada anaona nini kwa ajuza huyu jamani,ameremeta anan'gara yuko na kibabu kama hiki jamani duuh ,kweli nguvu za kiza noma kufa mtu duuuh.duuuh babu analala na katukuu kake noma noma noma,babake

    ReplyDelete
  36. AMA KWELI MGANGA HAJIGANGI! HUYO KIBABU ANAYETISHIA JIJI NA MATIBABU YAKE AKILA VISENTI VYAO KWA KUWATATULIA MATATIZO YAO LEO HII KAYAPELEKA YAKE INDIA! MAKUBWA SI ANGEJITIBU HIYO MIGUU KWELI NAMIMI KWELI NINGEMWAMINIA. SASA SI AOMBE TOBA NA KUMGEUKIA MUNGU MANAKE NA SIKU HAZIGANDI KARIBU ATARUDISHA NAMBA NAWAAMIENI ILA MIE SITABIRI NANENA TUU!SIMFAGILII HADI ATUBU MAANA KAPOTOSHA UMATI BONGO KWA KUMWABUBU YEYE.

    ReplyDelete
  37. sheikh kaowa mkristo si mambo hayo. mke wangapi huyu maana uzee huo haya we sheikh yahya miyangu macho.huyu mke kamtoa kijijini nini maana sijaona hata comment moja inayoonyesha kumjua huyo dada inaonekana sheikh alifata mtoto songea kwa mfaranyaki huko au lindi maana watoto wa huku wanajua kustaimili ndoa ukitaka kuowa bwana nenda lindi au songea mambo shwari utaangaliwa wewe hata uwe mzee zaidi ya sheikh mahaba utayapata tu.

    ReplyDelete
  38. Mtoto mzuri kama Ketty kisa cha kwenda kuolewa na mchawi nini?

    ReplyDelete
  39. NA HUYU MDAU WA 5:19 APRILI KUMI SASA NAONA ANATAKA KUZINDUA MALUMBANO YA KIDINI YASIO NA MAANA.
    KWANI NANI KAMWAMBIA KUWA UISLAMU UNAMKATAZA MUISLAMU KUOA MKRISTO
    MBONA QURANI TUKUFU IMEELEZA WAZI JUU YA RUHUSA YA KUOA WAKRISTO NA WAYAHUDI?
    KWA KIFUPI SI MAKOSA KWA MUISLAMU KUOA MKRISTO.
    ISIONEKANE NI KIOJA KWA SHEIKH YAHYA KUWA NA MKE MKRISTO.
    Mndengereko, Ukerewe

    ReplyDelete
  40. LONG LIVE VIAGRA

    ReplyDelete
  41. Kweli nimeamini "UPANGA WA ZAMANI, MAKALI YALE YALE!"

    ReplyDelete
  42. HONGERA SANA MZEE MWENZANGU KWA DEMU MZURI. NINACHO KUULIZA JE UNAPAFOMU VIZURI? AU NDIO TIA MAJI TIA MAJI, KAMA VILE GARI LA MKAA LIKITEMBEA KIDOGO LINAZIMIKA? PASAKA NJEMA WEWE NA SHEMEJI. MWINYI MPEKU.

    ReplyDelete
  43. kwa kweli mimi sioni uzuri wowote wa huyu m-dada. eniwei, mkologo unafanya kazi kumbe, naona watu kibao wanaingizwa kingi laivu.

    ReplyDelete
  44. mdau hapo juu kanichekesha sana eti gari bovu huvutwa na zima! hili swala linaogopesha mimi binafsi hii picha nimeiogopa! Natumia common sense ya kwaida tu sithani kama huyu mzee anaweza kumpa huyu binti shughuli kamili!

    ReplyDelete
  45. AnonymousMay 06, 2009

    hello guys am from us what i want to tell you is that every bady have their own life so how come you need to know sameone life is not your business by the way. you have to look you life and not people wives is not good and how can you talking about sameone wife like you dont have your own life is very crazy and fuckup.

    ReplyDelete
  46. AnonymousMay 19, 2009

    Let the old man be!Havent you heard the saying"Nothing makes a man more productive than the last minute?"
    By the way can anyone give me the old man's website address please?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...