Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 34 mpaka sasa

  1. paradiso yake anaondoka nayo, anianzia hapo.

    ReplyDelete
  2. Nipe anwani yake nikavunje.

    ReplyDelete
  3. yaani huyu mtu anaonyesha jinsi gani alivyokuwa mbinafsi sasa hilo ni dili tayari na ataishiaa mzoga mtaa wa pili hapo.

    ReplyDelete
  4. hawa wamedata

    ReplyDelete
  5. hawa wapuuzi kweli, wanafikiri ataepuka adhabu ya kubanwa na kaburi, hapo kibano tu kwenda mbele, kwanza keshawakasirisha malaika wa kaburi hapo kwa kufanya hivyo!

    ReplyDelete
  6. Lebanon si ni nchi ya kiislamu,wanawake wanafanya nini kaburini?
    Haya maigizo tu, kipindi fulani kilichopita walitoa ya mwanaume.

    ReplyDelete
  7. Hmmm, Mbona "nilisikiaga" kaburi halihitaji mbwembwe, au AC tu ndo haitakiwi?

    ReplyDelete
  8. Jamani Lebanon sio nchi ya Kiisilamu, ni nchi ya Kiarabu kuna nusukwa nusu waisilamu na wakiristo.Na huyu mama kama ukiangalia vyema kaburi lake utaona kuna sanamu imewekwa ambayo hufananishwa na Nabii Yesu(Rahma ziwe kwake)

    ReplyDelete
  9. Annon wa 9.52am we hujui dunia.
    Lebanon wakristo wapo tena wengi tu
    Wanapatikana pia Misri,Palestina na Jordan.

    Majina wanayotumia ni haya haya tuliozoea,mohammed yosef,octavia Nasr na salamu zao hata makanisani ni asalaam alaykum.

    ReplyDelete
  10. uongo mtupuu
    hii ni snema tena waigizaji ni kuchikuchi.

    ReplyDelete
  11. jamani wala msihangaishe akili zenu,hiyo imefanyika latin america tena 4yrs back.
    ni maigizo tu hayo ya dunia...
    kalagabaho wabongo..wenzenu tulio huku ughaibuni tunajua siku nyingi sana.
    mdau uarabuni...

    ReplyDelete
  12. hawa ndo wasiojuwa biblia na Neno la Mungu.
    ukisha kufa wewe ni mavumbi/mchanga ulitoka kwa udongo utarudi kwa udongo.

    Mpenda dunia huyo hata hajui kuwa wale watakao fufuka na kuwa kwa mkono wa kulia wa bwana wataenda kuurithi ufalme wa mungu kwenye mji ambao barabara zake na kila kitu ni dhahabu safi.
    kachaguwa dunia na mambo yake kuwa hiyo kuwa paradiso yake.

    kasahau kuweka jiko la kupikia na connection ya umeme.

    hahahah mpenda dunia na dunia imemuacha duni9a tumeikuta na tutaiacha deal ni kuwa na uzima wa milele yeye hiyo haoni???

    ReplyDelete
  13. michuzi hizi comments za dini chondechonde tusije tukalianzisha.

    jamani kiarabu ni lugha siyo kiislam.

    salam makanisani ina maana ileile ikiwa kwa kimakonde, kisukuma, kiingereza. kiarabu, kiswahili nk,

    waislamu walipoamua kutumia kiarabu basi haizuii wengine nao kukitumia

    pia tukumbuke kwamba hizi dini ni desturi. unapoamua kuwa mkristu au muislamu basi unachukua uamuzi wa kukubaliana na desturi zao (kuvua viatu, kofia, kuvaa rozari au kuchukua majina kama yaliyotajwa na anon wa 11.55AM

    ReplyDelete
  14. huu ni upuuzi, hiyo TV ataangalia nani? Kama vp wasingemuweka kwenye jeneza bali kumlaza hapo kitandani. RIP

    ReplyDelete
  15. April 04, 2009 9:52 AM, Nani kasema Lebanon ni nchi ya Kislamu inawezak uwa inaendeshwa Kiislamu ila Ina na Wakristo wengi tu Ukitizama Kama pia mdau mwengine kasema Utaona Sanamu ambalo wengi husema ni Yesu japo hatujui Yesu kafanania vipi?. hata Saudia wapo Wakiristo kama Italy walivyo pia wapo waislamu. Dini nyingi tu jamani kila nchi nchi inaposema ni ya Kikristo au Kiislamu si kwamba anayekufa dini nyengine hawezi kuzikwa.

    ReplyDelete
  16. Mwengine katowa mfano mzuri salamu zao ni Asalaam Alaikum ni salamu ya Kiislamu pia yakiarabu sababu ni lugha wanayotumia. kama Iraq wapo pia ma padri kama Tariq Aziz ni Mkristo.

    ReplyDelete
  17. wabongo bwana kwa kuendekeza udini
    wakati harabuni wanafikiria na kuumiza kichwa nini wafanaye ili waendelee kuongoza kuzalisha mafuta na kupata maendelo zaidi bongo watu wapo wamekaa wakiwaza wakiamka kesho nini watunge kuendeleza kuwakashifu wenzao wa dini nyingine
    masikini tanzania uislamu ulianzai arabuni lakini hata siku moja hatujawahi kusikia waarabu wamewatuka wakrisdto au wanagombvana na wakristi kisa dini nini nyie bongo wafuasi tu na vibaraka
    embu angalia doha ni nchi ya kiarabu inaongozwa kislamu lakini mfalme wa qatar doha ameruhusu watu wajenge makanbisa na kufnya shughuli zao
    elimikeni wabongo mnalilia kwenda ulaya na marekani kutafuta maisha hamfikirii kwamba hizo sio nchi za kiislamu ni wazungu na wengi wao ni wakristo hao mnaowaita makafiri huku mkililia kila siku kwenda ulaya na marekani

    ReplyDelete
  18. Ikiwa mnajuwa hata wapalestina 50% ni wakristo vipi nchi ya ahadi mta-share?

    ReplyDelete
  19. Picha ya chini: hebu nipe fegi na kibiriti.

    ReplyDelete
  20. ASALAMU ALEIKUM NI KIARABU SI KIISLAMU, SO HATA MWARABU MKIRISTO ANAPOSALIMIA TATUMIA MANENO HAYO HAYO, TATIZO HAPA NI UELEW WATU FINYU, KUNA WAKATI TULIKUWA HAPO KARIAKOO SOKONI WATU WATATU MIMI NA MTANZANIA MWENZANGU AMBAYE ANAJUWA KUONGEA KIAARABU KWA VILE AMEISHI SANA LEBANON SASA TULITEMBELEWA NA JAMA YETU MWRABU TOKA HUKO HUKO LEBANON NA ALIKUWA MKIRISTO SASA HUYU MWENZANGU ALIKUWA ANAONGEA NAYE KWA KIARABU WKAPIT WATU WAWILI WAKASEMA KWA KUSHANGAA EBU MUONE YULE MWAFRIKA NJUWA KUONGEA KIISLAMU, HAPO NIKAJUWA WATU WANA-CONFUSE DINI NA LUGHA. HIVI INAMANA HAWA WAZUNGU WENGELETA KIKRISTO KWA KILAINI AU ENGLISH BASI HII ENGLISH SASA TUNGEKUWA TUNAITA KIKRISTO!! LEBANON NI SECULAR COUNTRY SI DINI YOYOTE KAMA ILVYO TANZANIA

    ReplyDelete
  21. Lebanon ina wa Kristo na wa Islam. Si nchi ya ki Islam kama fulani alivyosema hapa.

    ReplyDelete
  22. We anon wa April 04, 2009 5:42 PM, kwa nini unahisi waislamu hawafai kwenda ulaya? kwa sababu kuna wakristu wengi au? Hivi unafikiri ulaya ni paradiso kwa hiyo wasiofuta dini yako hawaruhusiwi?

    Kwa taarifa yako ulaya na amerika kuna haki na usawa wala hakuna ubaguzi wa kidini ndo maana watu wa kabila na dini zoote wanamiminika kuelekea huko.

    Pia rekebisha kiswahili kisiwe kama cha kikenya.

    ReplyDelete
  23. Anon wa April 04, 2009 5:42 PM nilifikiri unataka kuonyesha mfano mzuri wa jinsi vatikani ilivyoruhusu misikiti ijengwe na kumkaribisha Deedat akahubiri. Kumbe kweli wewe mdini!

    Watanzania tuache hisia za kidni tufikirie kujenga nchi.

    ReplyDelete
  24. We anon wa April 04, 2009 5:42 PM, maneno yako yanaonyesha wewe ni dini gani. Hiyo dini yako haina kawaida ya kulalamika, ni wewe wa mwanzo, hujanyimwa masomo wala kazi unaathirika nini?

    Jua kuwa haki zako zinalindwa na serikali siyo na dini yako wala dini pinzani.

    ReplyDelete
  25. anon April 04, 2009 5:42 PM, fikiri kwa akili siyo kwa moyo. Kama umeenda shule fikiria uchumi na siasa na demokrasia siyo kufikiria hisia za imani na maumivu unayoyapata kwa kutokuwa mvumilivu.

    Maendeleo ua ulaya na amerika hayakutokana na dini bali akili na kazi. Hata dini zao hazikubaliani na tamaduni zao lakini wao wanajali sayansi na teknolojia.

    Unataka utese mwenyewe majuu siyo?

    ReplyDelete
  26. Waungwana,ni mimi ndio niliyesema kuwa Lebanon ni nchi ya kiislamu,nilidhani hivyo.
    Ahsanteni kwa kunielimisha,manonaje tukifunga mjadala huu tusije tiana vidole vya macho bure.
    I AGREE TO DISAGREE!!!

    ReplyDelete
  27. KUFURU TUPU.ATAKUWA NA UWEZO GANI WA KUAMKA NA KUJIPAMBA AU KUJITAZAMA KWENYE DRESSING TEBO.MUNGU TUSAMEE WAJA WAKO. Mwinyi Mpeku.

    ReplyDelete
  28. Kwani Bethlehem alikokuwa anasali Hayati Arafat, Mapadri na Masista ni waarabu.

    ReplyDelete
  29. kuna mijitu inafikiri ukiwa dini fulani basi unatakiwa uhamie uarabuni. Dini ni imani na haimvui mtu kabila wala utaifa wake au kumzuia kwenda nchi yeyeote au kumfanyia kazi mtu wa dini nyengine.

    Dini inachohimiza ni kula jasho lako. Na uhuru wa kutafuta riziki sehemu yeyote.

    Cha kushangaza kuna watu wamesoma na wako magharibi halafu komenti zao kama za la saba tuu.

    Tutabanana kote siku zote ukiumia danja na kijiba.

    ReplyDelete
  30. asaalamu `alaykum.nisawa kwa imani yako lakini kiladini inamipaka yake.utopokuwa ni kama muislamu haitokufanya wewe ndio uwende arabuni kwa warabu NO!lakini hutotakiwa kwenda nchi isiyokuwa na uislamu ila kwa sababu maalum sio kwa kutafuta maisha.eg kusomea udocter,rubani,nk na vilevile ikiwa hayo masomo hayako katika nchi za kiisilamu.coz ukienda kwa maisha na kama huna msingi wa dini nirahisi kuisahau dini yako na hasa utakapokuja kuzaa na asiyekuwa na diniyako na hutopata wa kukushitua kama unazamaa.Mtume muhammad{ salallahu`lahi wasalam} alihama{hijira} makka to madina kutokana palemaka kwa wakati ule kulikuwa hakuna uislamu wa kutosha kwa mfano je!! sasa wewe unakwenda alaska hamna hata muislamu du?.uislamu haujaruhusu kufanya kazipopote tu NO kuna mipaka yake MUNGU ALLAH atatuuliza vipi mlichuma mapato yenu na vipi mlitumia ne`ema zake,sio kuuza unga, bangi au m mke kuuza uchi ndio jasho lake hayoyote siyo katikajasho lake,nidhambi na tutaulizwa kwa wenye kuamini siku ya mwisho. Naomba radhi kama kutakuwa na mtu nimemkera hii ni imani yangu tu na mafundisho ya dini yandgu.salaam.
    abu ??? united kingdom

    ReplyDelete
  31. We anon wa April 07, 2009 2:04 AM, nikitoa mafuhumu ya aya fulani ".. waovu wataulizwa, kwa nini hamkufuata amari?, watasema" tulikuwa tunakandamizwa (na jamii au serikali)", wataulizwa tena, "kwani dunia haikuwa kubwa kwa nini msiende pengine (penye uhuru)?"

    Kama alaska kuna uhuru wa kuabudu zaidi ya kenya au uganda kwa nini mtu asiende? siitaji nchi fulani ambayo inanadi kuwa haina udini lakini u-tele.

    Sasa wewe hizo fatawa zako ni kwa msingi upi?

    Nyie ndo mnaogawa watu kwa misingi ya dini?

    Hivi ile aya inayosema wake katika "ahlu-lkitaab" ni halali kuwaoa hujaiona?

    We unafikiri wanawake woote magharibi ni ma-srtiper?

    Na ulivyoandika "MUNGU ALLAAH" umeshajulikana we dini gani na hapo unachapia tuu. Nenda chuo ukasomeshwe kwa faida yako, sio lazima uamini.

    ReplyDelete
  32. Kuna mtu anataka kuendeleza myth na stereotypes kama zilizokuwepo wakati wa ukoloni ili kufanya watu ma-robot.

    Thanks to baba wa taifa kuleta azimio la arusha la sivyo ingeonekana ukiamini dini fulani unakuwa na akili kumbe wapi.

    Hasara iliyotokea wakati wa ukoloni kwa baadhi ya watanganyika haitatokea tena. Tunafanya bidii kuondoa myths.

    Uislamu hamkatazi mtu kuvuka mipaka ya kijiographia bali mipaka ya kiimani. Hata ukienda greenland almuradi unasali na kufunga, we takenda peponi tuu.

    Ingekuwa hayo anayosema anon wa April 07, 2009 2:04 AM ni kweli basi usingeona waarabu wala wahindi afrika tangia karne ya saba na wala pasingekuwa na waarabu magharibi.

    Kuna watu wana jilasi kuwa watu wengine wasiishi ndoto ya magharibi. wanafikiri ndoto ya magharibi ni malipo ya kufuata dini fulani. Kumbe ni matokeo ya bidii kazini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...