Home
Unlabelled
kip lefti ya twin tawazzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Rais anazindua keep left? Give me a break. Hana shughuli nyingine ya kufanya? Kuna masuala mazito ya kitaifa yanayomkabili....kuna haja ya wasaidizi kumweleza vipaumbele.
ReplyDeleteNa uyo Anony wa kwanza kakulupuka bila kujua mahana ya picture.
ReplyDeleteMheshimiwa mchangiaji you missed a point, take a quick look at the photo once again and you will get a grip of what is actually being portray by mkuu wa wilaya. It is uproarious
ReplyDeleteHivi wewe anony 6.20pm umeielewa huti keep left? Angalia vizuri barabarani kuna mini-round about yenye bendera. Nafikiri Michuzi anamaanisha hiyo.
ReplyDeleteNa wewe wa pili 8:01 PM
ReplyDelete... KUKULUPUKA,HAINA... Bora huyo wa kwanza....
Na kali kuliko zote ni kuwa woote HAMKUJUA NI ULE MKWARAZZ WA APRIL 1st... japo muda ulishaisha...
KWELI KISWAHILI KIGUMU, WEWE ANON 6:02PM NI MAANA SIYO MAHANA.KAZI KUKOSOA WATU WANAO ANDIKA KIINGEREZA WAKATI LUGHA YENU INAWASHINDA.
ReplyDelete... Puts on devil's Advocate's hat...
ReplyDeleteHuyo Anony wa 6:02 amefanya kitu kinaitwa knee-jerk reaction. Hii reaction iko conditioned na mtazamo alioujenga kuhusu mambo kadha. Vile vile huo mtazamo unadhirihisha level kubwa ya exasperation aliyokuwa nayo huyu anony.
Anony amechoka na mustakhabali na, kisirisiri, hatashangaa kusikia vitu vya ajabu kama wakuu kuenda kufungua keep left vinafanyika hapa Bongo.
Kwa hiyo tumpe mvunjo kido anony wa 6:02.
... Takes off hat...
Kiukweli anony wa 6:02 anatakiwa achukue likizo ajipumzishe kidogo na ku-refresh mind. Siyo vibaya akaenda Lushoto, Zanzibar au, kama ana pesa, sehemu ya bei mbaya kama Katavi National Park.
Tanzania haija haribika kiasi cha Rais kuenda kufungua keep left. Labda fly-over ya kwanza ataenda, lakini ya pili hataenda mtu.
Ni wa-Tanzania wengi lakini wanaishi kwa stress na wamechoka sana. Take it easy brothers and sisters. Enjoy the view. You only live once after all - no reason to waste life being constantly stressed.
Hiyo "keep-left" imekuwapo kwa week zaidi ya mbili, jee wahusika wa kutengeneza hutumia mbinu gani kuangalia barabara zao kwamba ni sawasawa? Jee hu-monitor tu baada ya mvua kwisha? au vipi?
ReplyDeleteComplement to ANON April 02, 2009 7:56 AM
ReplyDeleteNimefurahi sana kwa mchango wako na umeniongezea nguvu za ku control stress zangu.
Watu wengi hapa TZ wana preduce nyingi sana na hiyo inawafanya kushindwa ku contol situation mbali mbali na kuwa na mtazamo hasi kwa kila kitu.
Kaka Michu!!
ReplyDeleteKazi unayo kuwaelimisha watu humu ndani!!
hii taswira inaonekana kama gari ya rais obama na bendera yake.
ReplyDelete