john kitime katika mojawapo ya shoo huko marekani aliko katika ziara ndefu ya maonesho
john kitime, anania ngoriga na mwenzao wa marekani katika shoo. habari zinasema kwamba kila kundi hili linalojumuisha wanamuziki toka mabara kadhaa likipiga wapenzi hufurika kushuhudia vipaji adimu vilivyoungamishwa kutoa kitu kimoja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Watuonyeshe na AUDIENCE aka WAHUDHUTIAJI, usikute walikuwa wako wenyewe na mafundi mitambo / wahudhuruaji wawili watatu, halafu wanajigamba kuwa walitesa US.

    Ni hayo tu.

    ReplyDelete
  2. Savimbi UsaApril 14, 2009

    Hakuna lolote , huwezi kutesa kwa muziki wa Asili marekani hawana time ,, na vitu hivyo ingekuwa Scandnavia ningekubali .

    ReplyDelete
  3. Ingekuwa murua kama wange-post video ama audio clips za shoo zao kwenye youtube.

    Mdau, USA.

    ReplyDelete
  4. Ha Watanzania

    ReplyDelete
  5. makubwa aya,,,

    sijawai fikiri,aya bwana!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...