
john kitime katika mojawapo ya shoo huko marekani aliko katika ziara ndefu ya maonesho

john kitime, anania ngoriga na mwenzao wa marekani katika shoo. habari zinasema kwamba kila kundi hili linalojumuisha wanamuziki toka mabara kadhaa likipiga wapenzi hufurika kushuhudia vipaji adimu vilivyoungamishwa kutoa kitu kimoja


Watuonyeshe na AUDIENCE aka WAHUDHUTIAJI, usikute walikuwa wako wenyewe na mafundi mitambo / wahudhuruaji wawili watatu, halafu wanajigamba kuwa walitesa US.
ReplyDeleteNi hayo tu.
Hakuna lolote , huwezi kutesa kwa muziki wa Asili marekani hawana time ,, na vitu hivyo ingekuwa Scandnavia ningekubali .
ReplyDeleteIngekuwa murua kama wange-post video ama audio clips za shoo zao kwenye youtube.
ReplyDeleteMdau, USA.
Ha Watanzania
ReplyDeletemakubwa aya,,,
ReplyDeletesijawai fikiri,aya bwana!!