Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tusihofu kamati ya wazee kama walivyoahidi imekwishafanya kazi, kombora moja tu toka mlingotini mwarabu kwishneii!! nendeni kwa wingi mkaone maajabu.
ReplyDeletedu! hii kali.".mbavu zangu...!! :-)" hapo ipo kazi,kila la kheri,"ukubwa wa pua, si wingi wa makamasi"
ReplyDeletefanyeni kweli,-kp uko juu!.
Mtanange vipi???Michuzi wacha hiana tuletee matokeo live
ReplyDeleteMie siwapendi wa Misri ila hapa Uzalendo umenishinda Yanga kazi kwenu sasa nyie si mlitugeukia wakati wa Final na Stela Yanga 1 - Ahly 1 Draw Yanga Nje.
ReplyDeleteMara nyingi wabongo huwa tunashindwa kucheza vizuri na kujiamini kwa sababu ya Inferiority complex zetu. Si mnajuwa zile za "wewe unajilinganisha na Mzungu,mwarabu" talk. Ndiyo maana kabla hata gemu halijaanza wachezaji wetu (si Simba,si Yanga,si Taifa stars nk) wanakuwa wanagwaya,blood presha inapanda kuliko inavyotakiwa mwishowe tunafungwa.Sio kwamba jamaa au nchi nyingine zinakuwa na mpira wa ajabu ni saikolojia yetu mbovu inayoturudisha nyuma.Najuwa Wengi mnaelewa fika ninachosema.
ReplyDeletekipanya unatufuatafuata sana sisi wana yanga. tumecheza na timu ngumu.mie sipendi kabisa na nitakufubgia kupost vipanya..hahahahaha
ReplyDelete