KJ: Maria, karibu sana katika mahojiano haya . Nitumie pia fursa hiikukupa hongera nyingi wewe na wenzako kwa kazi ngumu iliyowawezeshakupata tuzo kwenye mashindano ya filamu ya FESPACO kule Ouagadougou,Burkina Faso. Ni tuzo iliyochangia kuitangaza na kuiletea sifa nchiyetu.
MS: Asante Maggid, ni tuzo ambayo hatuna budi kuifurahia Watanzaniawote. Soma zaidi; http://www.kwanzajamii.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera sana dada Maria kwa kazi nzuri na mfano bora kwa taifa. Endeleza libenenke.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...