adam lusekelo anaendeleza libeneke lake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. natuamaini mashaka na group lake watahamia huko kwenye kiinglishi itakuwa poa maana wengine tunaona kizunguzugu

    ReplyDelete
  2. mbona unabagua Lusekelo. mimi nilitoa dukuduku kuwa utumie kiswahili pia mbona ikitoa kwenye blog ya maoni yako. asante.

    ReplyDelete
  3. ASANTE BABA LUSEKELO. NATUMAINI KUWA KILIO CHANGU UTAKISIKIA NA KUTUSAIDIA NA WENGINE KUPAPASA KATIKA BLOG YAKO, IKIWA UTATUMIA ILE LUGHA YA KISWAHILI AMBAO KWA SISI AMBAO HATUKUSOMA TWAWEZA KUONA NA KUFAIDI BLOG YAKO IKITUPA HABARI MBALIMBALI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...