Home
Unlabelled
mambo ya gado
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hawa ndio wakina Jon Mashaka, Wajaluo Bwana. Wanaanza kampeni mapema mno.. Hawawezi kutawala dunia nzima
ReplyDeleteKuna yeyote anayejua Thomas Cook Safaris in Lawrenceville, GA?????
ReplyDeleteIf you do then you are going to have some clue On howsmart Tanzanians are...........Figure out and watch out !
Michuzi, Bwana,kwa nini mnampigia Joni mashaka kampeni ya urais ya 2015 mapema hivyo? kwanzaame Hijack Site yako;
ReplyDeleteyaani amekuwa maarufu hata kukuliko wewe mwenye site.
Wabongo Bwana, kama akili ni zake, basi mumuachieni wajameni.Obama naye alianza hivi hivi.
Mashaka yeye badala ya kutulia kwenye G20, yeye anaanza Yes we can.!!!!!!!!!!!!!!
siku watu watampiga vibao aache ku brainwash watu na kumuona yeye ni Yesu. Wizi mtupu.
ReplyDeleteObama, John Mashaka, na Dr. Shayo mtulie, dunia siyo yenu tu. Wote mna akili lakini kwa nini mnatunyanyasa bwana? Mtandao umekuwa Joni Mashaka tu !!!!!
ReplyDeleteTehhhhhh Kwa, kwaaaaaaaa woaaaaaaa
Huitaji akili nyingi kujuwa kwamba john mashaka huwa anajisifiaga mwenyewe kwa kubadilisha majina. Lakini kama ni mjaluo hakuna cha kushangaa kwani wana asili ya kuji-boast na kujisifu. Obama ashukuru mungu tangia utoto kalelewa kizungu, hakukutanishwa na tabia za kijaluo. Mapenzi aliopewa obama na wazungu(mama, bibi, babu,binamu, uncles) tangia mtoto ndio sababu kubwa ya wazungu kumuamini kwamba hatawafanyia kitu kibaya.
ReplyDeleteDu hapa iko kazi
ReplyDeletemimi nilipomsikia Dr. Shayo akihojiwa na Voice of Amerika kuhusu mkutano huu wa G20, niligundua tayari vijana wamefika mbali.
Wajameni mlimsikia Dr SHAYOOOOOOOOOOOOO akinguruma huko VOA?
kama mlisikiliza mahojiano yake mliyaonaje?
Je
huo mkutano wa G5 unaoandaliwa huko East Africa wataalikwa? au business as usual?
Kualikwa kwa hawa vijana wetu kunaweza kuleta mtizamo mpya na mbinu mpya.
Lakini unajua tena hawa ni watoto wa wakulima sijui!!!!!!!!!!!
Mungu ibariki Tanzania
amesifiwa mbio anaanza kupitiliza kwao
ReplyDelete