Home
Unlabelled
mama mollel ziarani kyela
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi nina swali naulizia...najua Michu utalitupa kapuni.....Kumbe tuna viongozi wengi wa kike na wenye wadhifa kwenye Govt hivi? Swali langu ni hili .....Juzi tulivyoona wanafunzi wa kike shule moja hivi wamegoma kwa ajili ya kutaka walimu waondolewe wanaotembea na wanafunzi....mbona hatukuona hata mwanamke mmoja kiongozi aliyezungumza juu ya hili? Hata mke wa raisi hakuongolea hata kusema kuwa jamani kama kweli kuna walimu kama hao uchunguzi ufanyike na wanaotembea na watoto waondolewe. Hamana hata mwanamke aliyeongea kama vile wao hawaoni uchungu watoto wadogo wa kike wakiharibiwa na walimu....au wao hawana watoto wa kike? Au ni kwa vile watoto wao hawatasoma hizi shule? Au ni kuogopa kuwakosoa wanaume? Au hii ni halali nchini kwetu? Imenisikitisha sana jambo kama lile limepita kama vile hamna big deal yeyote....So sad.....
ReplyDeleteGood point mtoa maoni wa kwanza.
ReplyDeletemtoa maoni ya kwanza pole sana. inaonekana wewe ni mgeni na wanaharakati wa tanzania. kwa taarifa yako wana harakati wa tanzania wamekalia kupewa vyeo tu na madaraka serikalini na kwenye bunge sio kutetea haki za wanawke kama wanavyodai. kuna mengiu yanaopita lkn huwasikii kusema lolote. lkn kuhusu wanawake kupewa fursa za uongozi utasikia wakidata kwa kauli kali.
ReplyDeleteananilea nkya, eda sanga, na wenzenu wa tamwa na tgnp mpo wapi kueatetea wasichana wa morogoro wanaonyanyaswa kijinsia na walimu wapenda ngono?
na mimi nakwambia michuzina meseji yangu ole wako ui delete?
ReplyDeleteUNAJUA BWANA HAWA MAMA ZETU WANAFURAHISHA SANA UNAPOWAKUTA WANA HAHA KUTAFUTA VITI MAALUMU UTASHANGA NA KUCHOKA
HEBU JIULIZE YULE MAMA TERRY YUPO WAPI?
KAONGEAONGEA KWENYE TV TAGETI YAKE AUPATE UBUNGE
ALIPOONA MBIO ZAKE ZIMEGONGA MWAMBA HATUNAE TENA.YAANI HASIKIKI
MIMI NILIFIKIRI BAADA YA HAYO YA WATOTO WETU WA MOROGORO KUGOMA
KWELI KINA MAMA WANGEKUJA KIDETE
HIVI U.W.T KAZI YAKE NININI?AU NDO MTU AKIISHA KUKALIA KITI BASI TENA
KWELI MDAU MWA KWANZA NAKUFAGILIA
MICHUZI UWE KAMA ZE KOMEDI ORIGINO MAMBO KWA UWAZI
SIO MSG ZA UKWELI UNAZIDELETE
JAMANI JEANS ZINA MAHALI PAKE, SUTI ZINA MAHALI PAKE NK. HAPO PALIKUWA SIYO PA KUVAA JEANS!!1
ReplyDeleteNimependa saana hiyo greenish with mountain view, it's so natural and beautful. Hata watoto wa shule wamependeza saana. Vijana ojeee! Taifa letu la kesho hilo.
ReplyDeleteHakuna tatizo na kuvaa jeans akizungumza na wanafunzi wa high school. Hiyo ni kama field trip, haendi kwenye UN Security Council. Wewe hujaona wakati fulani Prez. Obama anavaa shirt la kawaida na kukunja sleeves. Sio kila wakati ni wa kuvaa tai. Tatizo wa Tanzania tulitiwa ujinga sana na waIngereza, kwa kuamini kuwa lazima kila wakati u dress, kuna wakati unakuwa casual, kama wamarekani vile, jeans, tennis shoes, t shirt kazini on fridays. Maisha mafupi, enjoy kabla hujafa.
ReplyDeleteJeans hapo ni sahihi kabisa. Suti kwenye vumbi ya nini?
ReplyDeleteSi unaona mtu kama Matilda Buriani (nb waziri wa mazingira) anavyochemsha ... unakuta amedress up huku yuko dampo au anafagia barabara.
Mdau wa Kwanza na wote waliokuunga Mkono kama wanawake viongozi na wanaharakati wasingekuwa katika mapambano haya ya kumkomboa mtoto wa kike hata hao walioandamana wasingepata hiyo nguvu. sasa kwa kuona kwamba mapambano yapo na mwanamke anakombolea basi maandamano ya hao watoto ni mfano tosha.
ReplyDeleteKuhusu mavazi mimi naona Mama Mollel amevaa sahihi kabisa kwanza Mbeya baridi, pili yupo field visit kama kuna tope magari kukwamba magauni na suti zitampa shida hivyo msijali sana mavazi kwa taarifa yenu Matema Beach ni kama town
Nampongeza na kumuunga mkono mdau wa kwanza; pili jinsi sio nguo mbaya ila ina watu na mahala pake, hapa mama mollel kachemka kwa hadhi yake hakupashwa kuvaa jeans.
ReplyDeleteHapo jeans ni sawa,hamna tatizo kabisa, kwani hakuna dress code inayosema waziri akiwa safarini mikoani akiongea na wanafunzi wa high school avae suit. Tatizo ninyi wa swahili mna kasumba mliyoachiwa na wakoloni, mnafikiri kila mahali uvae suit ili uonekani kuwa ni mtu muhimu. Amkeni muwe na uhuru wa kimawazo/ kujiamulia/kujichagulia sio kufuata yaliyesemwa na wakoloni miaka zaidi ya miaka 47 iliyopita.
ReplyDelete