mange kimambi akiwa na mchumba wake wa kimarekani lance baada ya kuvishwa pete ya uchumba usiku huu hoteli ya kilimanjaro kempinski katika hafla fupi ya lanchi ya usiku
lance akipiga goti kuomba chanda cha mange
mange na marafiki zake baada ya kuvishwa pete
mange akiwa na basilla mwanukuzi (shoto) na klynn kwenye hafla hiyo
mange na mchumba wake lance na marafiki
asanteni kwa picha
ReplyDeleteati hayo mawili ni ya kweli au yauwongo (ma-tea tea), na nani kasema wanaume hawapigi magoti? ebwanaeeee!
ni mimi mkulima P.E.D
(US Blogger)
ReplyDeleteKazi inayokuweka Dubai umeshaitangaza vya kutosha. Kama una hoja bring it on kama huna hoja nyamaza.
Nyie ndio wafuasi vipofu wa John Mashaka ambaye mnamsujudu. ananiogopa. kila la kheri kilimanjaro hotel, tusisikie yale tena hapo level 8
Unaweza kuweka tangazo lako kwenye craigslist, section ya 'services', it will be more effective.
(US Blogger)
Mnapendeza mwee ujanja kuvua maji marefu,Namwona sister tulikua nae Florida. Cheez
ReplyDeleteNdugu Watanzania US- Blogger anafuatana na hata wanawake. Ya Yohanna Mashaka yamemshinda
ReplyDeleteKwa mara ya kwanza, nalazimika kutoa maoni yangu baada ya kuwasoma ndugu zetu wawili US-Blogger na Peter Nalitolela.
Ndugu yetu Blogger, una majivuno kupita kiasi, nadhani tukifutilia maisha yako vizuri, tutakuta kwamba una maisha ya dhiki sana na mihangaiko. hiyo Pint house yako, mbona usiwape masikini nao wapate sehemu ya kujisetiri?
Nashindwa kabisa kuelewa mahudhui yao katika hizi postings. Nadhani lengo lako kubwa ni kumchafua mashaka. Huu sio Utanzania ni ushetani
Naona hata dada Mange Kimambi mnamvamia sababu kubwa ni nini?
Kadhalika nimesoma kila comment sijaona hata sehemu moja ambapo Mashaka amejibizana nao ila Blogger na Nalitolela wamefika hatua ya kumuita kila aina ya Jina
Ngudu Blogger, wewe msomi tena hadi Oxford. Mbona unadhalilisha shule yenye hadhi kama hiyo kwa maneno yako ya wivu na chuki? Mashaka kakukosea nini.
Wewe Nalitolela, umesoma Uchumi mzumbe, shule inayoheshimika sana katika jamii yetu, pamoja na akili yako timamu kwa nini uandike mambo ya kutisha namna hii tena iliyojaa kashfa?
Wajami hutu wetu wa kitanzania huko wapi. Naona mnamvamia hata mwanadada Mange Kimambi bila ya sababu yoyote maalum. Mange kakukosea nini?
Hapa ni sehemu ya kujadili mada siyo kujadili watu. Hii tabia ni mbaya sana, au ni umaarufu ndio tatizo lenu? Poleni sana ndugu zangu
Ukiona mtu ana hate ujue anawivu na kuumizwa moyo.
ReplyDeleteAsante sana Mange kwa kumuumiza moyo huyu US blogger , maana maombi yake ya wewe ku fail kimaisha yameshindwa na anabaki ku hate tuu , ata hate sana tuu mbaka ataingia motoni, maana ana roho mbaya
Hongera sana Mange , wanga washindwe na walegee
(US Blogger)
ReplyDeleteThe fake US Blogger uliyepost comment, tafadhali wacha kutumia jina langu kwa comments zako.
(US Blogger)
Zungu kaliwa
ReplyDeletewizi mtupu
Hii kitu ni changa la macho. Imekaa ki movie movie! Wabongo andikeni novel!
ReplyDeletewakuu,hebu nikumbusheni!!hivi ukisha mvisha pete namna hiyo ndo tayari free ticket ya kumumega!!!??
ReplyDeleteMANGE KIMAMBI FUNIKA BOVU!! GO GO GO MANGE. UMENIFURAHISHA SANA WEWE NAWE NI MMOJA WA WANAWAKE WA SHOKA. KILA LAKHERI
ReplyDeleteweweeee mtoto KASHIKAAAAA,
ReplyDeleteusiachie apo dada penzi ndo hilo na life ndo ilo
ila duh!!umejibadili utafikili wale black americans???wee m-tz kweli au??
annon apo juu,unaluhusiwa kabisaaaa kumumega tena kisawia labda yeye atie ngumu,hahahaaaa
wanawake JUUUUUUU
Who the hell is Mange!!?
ReplyDeleteAnonymous, 8:45AM, siku hizi ni the other way round, anamegwa kwanza ten kwa sana kabla hajavishwa pete.
ReplyDeleteSome people wanaenda mpaka mimba ndio shughuri zingine zinafuata. Nirihudhuria harusi moja bibi Harusi kama sikosei alikuwa na mimba ya miezi sita au saba hivi. Alichoka kabisaaaaaaaa. Ndio jamaa wanafunga ndoa, upo hapo?
hongera Mange kwa kupata mchumba ila swali kaka zako na wazazi walikuwepo? kama ndio huo uvaaji wako kidogo umepitiliza hata hao wazungu huchunga kuonyesha nyonyo zao hovyo. tunakuombea ndoa njema
ReplyDeleteJamani Basila na Kylnn bado wapowapo nirushe ndoana? Kama wako occupied basi samahani sana kwa usumbufu dada zangu wapendwa!
ReplyDeleteMdau,
Ughaibuni.
us blogger acha fixi, ni wewe unayeandika comment hamna mtu anayetumia jina lako tumeshakushtukia mchafuzi wa amani tu wewe kwani hizi comment zako zinafanana na mapigo mliyokuwa mnajibizana na mashaka the same flow inaonekana kabisaa.. leta mpya hii imeshtukiwa wewe ni hater fulani
ReplyDeleteHow is Mange? can any one tell me less or more about Mange?
ReplyDeleteIT LOOKS REAL AND OKAY BUT VERY SUSPICIOUS,THE BODY LANGUAGES DOESN'T REFLECT THE GREAT EVENT THAT WAS HAPPENING. anyway thats my opinion.Congratulations and goodluck to u all in the new world of love birds.
ReplyDeleteUSA 1
hako kagauni alikovaa siyo kazuri. naona kuna wasichana wazuri wamependeza bila kuonyesha maziwa yao.
ReplyDeleteNinarudia, I have no issues with Mange.
ReplyDeleteNime challenge fixi za Mashaka na nimekuwa tayari kum debate, yeye kanikacha na wapembe wake wanatambua haniwezi na ndio maana wanamkataza ku debate.
They know pretty damn well Mashaka hawezi kupambana na economics PhD from Oxford.Wanajua he is not a public speaker. Wanajua he is not a walking encyclopedia. Wanajua he has no economic solutions.
Hongera Mange! all the best for the future! haters hapa si mahali pake jamani!
ReplyDeleteGo mtoto wa kiislam Go!
ReplyDelete2 words; green card!
ReplyDeleteGood luck penzi halichagui lakini I wish ungepata mzungu wa Europe kuliko marekani. Huyo wa marekani ni kwa mwendo wa budget tu hapo penny ikitoka imeenda wapi. Wako very frugal na uchumi wao ulivyovurunda anatafuta makaratasi ya kufanya kazi nchini.
ReplyDeleteJust google how to get South African visa ufuatilie blog moja hivi. Wazungu wa Bush wanafundisha jinsi ya kwenda South sasa hivi.
Best of luck
Ndg. US-Blogger,
ReplyDeleteI am not really understaning proble, as an intellect I am tending to see you like a soar loser, and an extremely bitter individual.
First of all, you know clearly well that you have never seen, will never an oxford degree. You dont own a penthouse in dubai. You are self proclmaining to be an intelligent person yet cannot write even one pay essay to counter Mashaka.
Mashaka is a very young kid compared to you. You ahve a family of your own, ye does not. He has never boasted over anything while you are boasting everyday jinsi ulivyo mzuri wa mdahalo. kuna watu wengi sana wa kujadiliana nao kwa nini usiombe kujadiliana nao ni mashak tu ndiye unayemtafuta.
huyu kijana lengo lake kubwa ni kutuhamasisha sisi watanzania na kutupa changamoto wewe unafanyia nini nchi yako?
Tafadhali sana ndugu yangu blogger muache huyu kijana hana shida na wewe. unaanza kuwa ker kwetu sisi washabiki wa globu ya jamii. nashindwa ni kwa nini michuzi anakuruhusu kusambaza hizi chuki za binafsi ambazo umekuwa ukizifanya.
bwana hebu jaribu kuwa mstaarabu na mtu mzima. Uislamu unapinga sana chuki na wivu. sijui kwamba unaswali hata kidogo kwa maana nafsi yako mwenyewe itakusuta.
ndugu zangu mbona mnajisumbua na us blogger? huyu mtu ana chochote ni wivu tu.
ReplyDeleteanajua wazi kabisa kwamba anamtafuta mashak ili apate umaarufu, naye. ila anafahamu kwamba mashaka amemshinda kwa mbali sana. angekuwa ni mtu mwenye busara, angejaribu kutafuta ni namna gani angejifunza kutoka kwa mashaka badala ya kujaribu kushindana naye katika mambo ya kijinga. hebu tuondokeeni hapa. sisi hapa tunafurahisha macho na madude ya mangezzzzzzzzzzzzzzz
Tukio kama hili huwa ni la kushitusha katika mwendo wa furaha au wenyewe wanaita sapuraizi lakini kama alivyosema mtu hapo juu kuwa bodelangweji inaonyesha walipanga kufanya hivyo fo shoo kupitia Michuzi ili kuwakomesha wazushi.Hongera sana kwa kuvalishwa pete na ndoa njema.
ReplyDeleteNi kweli mimi nimeolewa na mmarekani mzungu tatizo wakioa they mean it na ukizaa nae watoto ni utazani wa kwake peke yake.Na mkiachana yupo ready kukuuwa achukue watoto be very careful honey.
ReplyDeletejicho,tea-teazzzzz
ReplyDeletepozi picha ya kwanza,
kila la heri ktkt ndoa yenu na muzae watoto wengi tu
ila izo dadaz rastafari na uyoalovaa mkanda mwekundu,kama nawafahamu vile???
ndugu hawakuwepo wee annon hujui sapuraizi za wazungu???mnaanzia kivyenu then mwaenda kwa wazazi,na wazazi unafikiri watapinga??mbele ya tasha???weeeeeee ulaji
eeee HABARI NDIO HIYO....Msumari huooo...
ReplyDeleteLakini si uzito saaana hiyo ni pete tuuu...Tunataka kushuhudia wedding ndio litakuwa jambo la mbolea....
ReplyDeleteEhh na mimi natafuta mchumba jamani...Mwenye kutafuta mchumba (mme)... Mwenye kuhitaji mke atume mawazo yake ktk blog hii ya jamii itatuunganisha...
ReplyDeleteboobs nje nje!
ReplyDelete