KJ: Maria, karibu sana katika mahojiano haya . Nitumie pia fursa hiikukupa hongera nyingi wewe na wenzako kwa kazi ngumu iliyowawezeshakupata tuzo kwenye mashindano ya filamu ya FESPACO kule Ouagadougou,Burkina Faso. Ni tuzo iliyochangia kuitangaza na kuiletea sifa nchiyetu.MS: Asante Maggid, ni tuzo ambayo hatuna budi kuifurahia Watanzaniawote. Soma zaidi; http://www.kwanzajamii.com/


Hongera sana dada Maria kwa kazi nzuri na mfano bora kwa taifa. Endeleza libenenke.
ReplyDelete