
http://news.bbc.co.uk/sport2/
hi/football/eng_prem/8022476.stm
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
SO WHAT!, Kama Aliwabeba TOTTENHAM WANGEZUIA MAGOLI MENGINE WAKASHINDA 2-1, wasilete za kuleta washabiki hapa.
ReplyDeleteKombe lina mwenyewe na Mnamjua, jitieni wazimu na ushabiki tu kufurahisha mioyo yenu.
Well,I don't know why you posted this Michu BUT you and I know that things like this happen in football and Mr.Webb admitted that.The only thing you need to do is to pick yourself up and move on because it happened to us when we play Everton in the semis of FA Cup;Sir Alex admitted it but he and ManU moved on.Football can be cruel at times.I know you have been crying because of this penalty BUT mbona huku-comment tulivyonyimwa penalty against Everton?We should all be fair and appreciative mara nyingine.One fact is....ROME,HERE WE COME!You saw the way we played tonight against Arsenal-AAA class performance.Almunia played very well tonight and I'm giving him a MAN OF THE MATCH vote.Najua unaichukia ManU kwa sababu wewe ni Scousser BUT kichwani una-admit ManU wanatisha-on our day!
ReplyDeleteMdau,Oxford.
Ukisikia kushinda kimanchestamanchesta ndio hivyo.
ReplyDeleteKUBEBWA NA REFA, bila ya hivyo hawana lolote.
Mdau Hiddink Helsinki.
Mbona hukuweka TANO (5)?
ReplyDeleteHaha haha Kaka Michuzi mpinzani kweli, ushindi ushindi tu. Mpira matokeo!
ReplyDeleteYou are very funny...!
ReplyDeleteManU wamewafunga Arsenal kwa taabu??did you really watch the match or listen from Radio mbao?
The player of the game was Arsenal goal keeper for many serves he had made.
It is a joke to say that,the penalty was given was the source of winning solely.ManU was the better team than THam.
Regarding CL,it is between ManU and Chalsae at the final.
ManU Fun,Los Angeles
kaka hiyo ni timu ya malikia elizabet lazima ishinde ili mama afurahi vinginevyo fa itafungwa ktk historia ya Uk Refa mwenywe maamuzi mabaya ni webb.lakini ndo hivyo mama afurahi.
ReplyDeletewewe uleyepost hii unaonekana kabisa hujui soccer na game ya MAN U vs Arsenal hukuiona na kama uliona basi wewe fala tu hujui soccer. Tumewafunga kwa tabu?? are u crazy?damn ass.Game yote walikuwa wanaonekana MAN U tu
ReplyDeletemtachonga sanaa
ReplyDeleteNa kweli kwani Man United walifunga goli hilo moja tu la penelti???Goili zingine 4 zilifungwa na nani???Au zote zilikuwa penelti???Liverpool wameshinda mechi zaidi ya tano kwa wachezaji wa timu pinzani kupewa kadi nyekundu za utata inanikumbusha kampeini za Simba na kombe la shirikisho lakini wewe kwa sababu ya chuki na husuda hulioni hilo upo obsessed na Mabingwa.Naona sasa umekuwa Arsenal utatangatanga sana.Kombe hata la mbuzi hamchukui msimu huu.Mtabakia kulalama .Mmebakia kwenye Premier na hilo mtalisikia tu.Miaka yote huwa mnadai mwaka wetu huu na mwisho wa msimu mnaahidi mwaka mwingine.
ReplyDeletePLEASE !!!
ReplyDeleteCREDIT SHOULD BE GIVEN WHERE IT DESERVES.. WHO SAID NI USHINDI WA TAABU ??? BBC OR YOU MICHUZI ?? YES PENALTY WAS CONTROVERSIAL BUT IF YOU MINUS IT WE STILL HAVE 4 GOALS...yesterday Ryan Giggs had a goal controversially disallowed for offside...wenger's team were submerged before they had managed so much as a shot.. so dont lie to us that we were the weaker ones...labda marudiano but game hii we deserved 3 goals at most
hivi kwanini washabiki wa kitanzania tunapenda ushabiki wa maneno yasiyokweli, Wa Liverpool anasema hivi wa Arsenal anasema vile, wa Chelsea anasema haya, man Utd wanasema hiki...
ReplyDeleteHatuendelei zaidi ya kujiharibu
"Ukipewa Mimba Ilee Uzae" na "Siri ya Nguo ya Ndani aijuaye Mvaaji"
Mliotoka UEFA Champions kaeni mjipange mwaka 2010
Mtachonga sana, lakini jueni LIVERPOOL ameshaelekea KIBLA, anasubiriwa kuchinjwa tu. ARSENAL kwenye premier league ANANYONYOLEWA ili achomwe.
ReplyDeleteNakubaliana na wewe kabisa kuwa Man U hawakustahili ile penalt, basi tulitoe lile gori halafu tuone ubao utasomekaje?, 4-2.
ReplyDeleteHalafu na ninyi ile free kick mliyopewa nayo tuitoe pia. Hiyo ndiyo football, with Man U, you are always happy!
Ongeeeeeeeni mkichoka mseme ila Man Utd ni kisima cha burudani
ReplyDeleteSio siri Man inachukiwa sana yaani chelsea.arsenal na liverpool wote mpinzani wao ni man. mnasema man ameshinda kwa taabu sasa nyinyi liverpool mliwafunga kirahisi arsenal ngapi?
ReplyDeletemdau
kisiju pwani
Hebu acheni kuchekesha nninyi mashetani wekundu! Burudani gani inaonyeshwa na MAN U? Kukimbia na mpira? Mtaishia kunawa nakwambieni. Karibuni Emirates ndo mtaona mpira! Ninyi na Chelsea ni fungu la kukosa. Kama mkiingia fainali na chelsea basi hakuna haja kuingia uwanjani wala kutazama mchezo huo kwenye TV, MINGUVU TU, HAKUNA SOKA! THE BEST FINALISTS SHOULD BE ARSENAL vs BARCA and this time ndoto haitajirudia!!!
ReplyDeleteYa ni kweli Man U aka Man Refa ni kisima cha burudani.
ReplyDeletesina haja ya kujadili issue ya marefa wa hapa uk na man utd kila mpenzi wa mpira aliepo hapa anajua kinachoendelea, ukitaka zaidi fanya search topic hiyo na utaona theory tele tu.
ReplyDeleteNinachotaka kuchangia ni kuwa arsenal jana tumefungwa lakini sio kwa shida. tumefungwa kwa sababu mr wenger plans zake zimekwenda ovyo tena kwa mara ya tatu, kila mpenzi wa arsenal anajiuliza ilikuwaje diaby apewe nafasi tena baada ya utumobo alofanya siku ya chelse? pia adebayor sijui hata kwa nini alikuwepo uwanjani, ni afadhali kama tungelichezesha wachezaji kumi mechi yote.
tumesalimika na kipigo kikubwa kwa sababu ya ushujaa wa goalkeeper tu. mechi yote tumekuwa tunapasiana mpira tu kutoka pembe moja kwenda nyengine bila ya attemp kufunga.
kuna mpira ulikuwa karibu ya kona ya united basi zilipigwa pasi mpaka mpira ukafika kwa goalkeeper wetu, sasa huo sio wazimu?
Yaani jana mi nilijua tu mashabiki wa Chelsea na Liverpool walitaka Man U afungwe ndo wapate cha kusema ,Man u ikishinda tu utasikia hili na lile wao wakishinda mapicha na maneno kibao ya kufagilia kwani Man U tumewafanya nini? maana mpira ni uwanjani na dk 90 ndo mwamuzi kama kushinda ni jadi yetu haya yote ni maneno ya mkosaji,na bado tunawafuata uwanja wa Emirates kwao kuwatwisha mengine jana tuli wabeep tu.Man OYEeee haooo MTAJUTA KUTUFAHAMU HAHAHHAHAAH,
ReplyDeleteMama Mariam
Twende mbele turudi nyuma.Jana Man U walistahili kushinda hata kwa magoli 4.They played us off the park.Anyway,its just like a half time right now.See you on Tuesday.We will score a goal that we need.
ReplyDeleteNaombea Champs League final iwe Arsenal vs Barcelona maana kama wakiingia Chelsea na Man U itakuwa ni bora kuangalia mechi zetu za Simba na Yanga au Toto Afrika na Azam.
ReplyDeleteTottenham walikuwa hawajajiandaa vema kisaikolojia. Unapocheza dhidi ya Man U lazima utambue kwamba wale ni wazee wa mbeleko ujiandae accordingly. Ndivyo Liva walivyoweza kuwatandika bao nne hapo Old Trafford. Tottenham walipoona refa ametupilia mbali sheria za soka na kuvuta mbeleko wakachanganyikiwa ndio maana wakafungwa magoli mengine. Mbeleko ndio ilileta ushindi, habari ndiyo hiyo.
Rob Styles na huyo Howard Webb hao wote ni wanazi wa Man United.timu yeyote chini ya hizo top four ikicheza na Man United na kati akiwepo mmoja ya hao wanazi ujue hata goal kick wanaweza kusema penati.baada ya game wanakimbilia kuomba msamaha.
ReplyDeletewanamuogopa sana yule Ajuza Fergie.cjui mchawi!!??
Michuzi sasa unazi wako wa Bwawani umezidi!yaani badala ya kuelezea habari ya Man U kuwatungua Arsenal katika UCL kama main story unaelezea Refa kukosea, kitu ambacho ni cha kawaida katika michezo. Dah!hivi kwanini Man U ina maadui wengi hivi?Ubora wake nini?
ReplyDeletehalafu nyinyi wapenzi wa Liverpool bora mnyamaze tu sasa mtuachie wanaume tufanye kazi nyinyi msubiri mwakani..Narudi kwa Arsenal endeleeni tu kujipa moyo mtatufunga Emirates hivi nyinyi mnafikiri MAN U watasimama wawaangalie mnavyocheza mlishasema toka mechi yetu na INTER oohh tutafungwa mkaona matokeo...ikaja na PORTO tumetoka draw kwetu watu wote ooh MAN U mmeisha mnatolewa kwao Tukawapiga kwao 1-0 kwao .Sasa tumewapiga ARSENAL 1-0 bado mnasema tutafungwa.
ReplyDeleteJamani mpira na maneno ni vitu viwili tofauti sisi tunataka tuweke Historia mwaka huu mmeelewa.
Tukutane J'NNE hapahapa asikimnie mtu
Mdau MANCHESTER[4LIFE]