mdau mwalimu yusuph na mai waifu wake aziza  baada ya kumeremeta

Maharusi wakiwa  na Wazazi wao wa pande zote Mbili

Maharusi wakiwa na Wapambe wao,Mr Vitalisy M.Kisandu na Bi. Stella wakiwa wamezungukwa na na Wafanyakazi wenzake Bw Mwalimu - VODACOM FAMILY Oye! 
Picha kwa hisani ya mdau Vitalisy Kisandu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Smile guys especially last photo...kwanini most of people dont smile on pictures even fake smile pays...thats one of the reasons of bad customer service u got smile to show some love...costs nothing but worth million dollars...smiiiile dang!!

    Customer service/front office smile even tho u aint happy just show some love...

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Mwalimu Yusufu. Sasa hivi nimeamini maneno yako kwamba Kauli ya Mwana FA ya "BADO NI NIPO NIPO" haiendani na maisha ya sasa. Kila la Kheri maana naona Vitalis katufungulia njia sasa kila mtu anapita sasa. Mungu akawabariki sana kwenye ndoa yenu na familia yenu kwa ujumla.

    Mdau Issa D

    ReplyDelete
  3. HONGERA SANA TEACHER NA VITALIS KWA KUKIMBIA KAMBI YA UKAPERA. MIMI HAPA MASTER S WA TO, ON CANADA ( EX- HGL 2 2000-2002 MAKONGO)

    ReplyDelete
  4. i'm confused picha ya chini ni harusi hiyo hiyo au nyingine? chini kama take two?

    hongera new wed

    ReplyDelete
  5. only one comment
    vitalisy kisandu
    should be vitalis longer or shorter than that though its your own take make the name a bit...leave it as is..

    ReplyDelete
  6. Hongera mwanangu Aziza Mwenyezi Mungu ailinde ndoa yako.Kila la heri na baraka toka familia yako tanzania na Norway.Mmemeremeta.

    ReplyDelete
  7. hongereni sana teacher, from UK

    ReplyDelete
  8. Hongereni sanaaaaaaaaaaa! Siamini mwalimu and Vitalisy mmeamua jambo la mbolea kinomi. Mwenyezi Mungu awabariki sana ktk Ndoa yenu.Jenny Warburg.UK.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...