Home
Unlabelled
namna ya kulinda mkoko wako
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Gari hilo linaibiwa na nyoka pia anaibiwa, wewe unacheza na wezi!
ReplyDeleteUlinzi wa Gari tosha huo. sema wa Swahili wataalamu kila njia watatumia atachoka nyoka mwenyewe tu na mwenye Gari.
ReplyDeleteHiyo sio dawa ya wezi,nyoka anauwawa na gari linekwenda pia.uncheza na wezi nini wewe!!nadhani huyo nyoka sio wa kweli ni toy tuu!WEZI MSIJALI NI LIPLASTIKI TUU HILOO
ReplyDeleteHata kama ni joka la ukweli hapo unahitaji mafuta ya taa au bakora tu. Ukitaka ulinzi wa kweli wa asili ingia Sumbawanga...au Mlingotini, Bagamoyo.
ReplyDeleteutakosa demu ukitembea na Nyoka kwenye gari wewe.
ReplyDeleteHivi huko hakuna WATANI zangu WASUKUMA? Maana wao wanajua kucheza na nyoka.Kama walivyosema hao waliotangulia,kwa Wezi waliokubuhu hapo gari linaibwa na Nyoka anaibwa.We Mdau wa kwanza nyoosha Kiswahili chako.Ukisema Gari 'linaibiwa' umeemaanisha kitu kingine kabisa,yaani kifaa cha gari(mfano Kioo) kinaibwa.Pia Nyoka 'aibiwe' ana nini cha kuibiwa? Ingekupasa useme Nyoka anaibwa.Sitakuwa Adui kwa kutoa Mchango wangu ktk kusaidia kuiendeleza Lugha yetu adhimu ya KISWAHILI,maana Waswahili wanasema 'NYEGE NI KUNYEGEZANA! Wasalam.
ReplyDeleteTHE KOP
ST-JEAN
CANADA
Mdau KOP ST jean! ashakumsi matusi yakhe, msamiati ulioutumia hapa nahisi kama ni mkali sana, unaonaje ungemwabia kuwa waswahili walisema "KUPOTEA NJIA NDIO KUJUA NJIA?" sihitaji vita nawe ni katika kuboresha lugha tauria/lugha laini/lugha murua
ReplyDeleteBibi wa Bule kwa Kidensi.
Kwa hapa jijini inaweza ikawa msaada lakini usukumani ndio kwanza umewapa wezi wa huko sababu zaidi ya kulivunja gari lako. Maana usukumani chatu nae ni dili!
ReplyDeleteHivi kweli jamani kwa joto lote la Bongo unategemea huyo nyoka atakaa hapo kwenye kioo hata kwa nusu saa?. Fumbo mfumbie mjinga mwizi ataling'amua
ReplyDeleteMdau
Cardiff
Tena nimekumbuka. Hilo gari ukienda nalo maeneo yenye wataalam (Sumbawanga, usukumani, Bagamoyo, etc.)watakugeuzia kibao. Watasema "huyu mtoto anajifanya anajua sio, ngoja tumjaribu". Hilo plastiki lako linageuzwa nyoka wa kweli halafu huo muziki wake atakaokuanzishia humo ndani, kama hukulitupa hilo gari mtaloni basi utachomoka mwenyewe huku gari likiwa speed 80kph.
ReplyDeleteMdau
Cardiff
Bibi wa Bule,mi ni mtoto ambaye nimetoka ktk familia ya waungwana wa Pwani wanaojua Kiswahili vizuri,hivyo huwa naogopa KUTUKANA lakini siogopi KUTUKANWA! Hakuna Tusi hapo ndo maana NANIHII hakusita kunirusha Hewani,waulize wanaojua wakufahamishe.Kidumu KISWAHILI!
ReplyDeleteTHE KOP
ST-JEAN
CANADA
Rhoxoqsa ndugu yangu asante kwa mtazamo wako,ila huyo chatu sio dawa ya kuzuia gari lako lisiibiwe,mfano nakuja nafungua kioo kisha namwaga mafuta ya taa nakwambia atanipisha mwenyewe na kuondoka nalo kilaini,kwanza na yeye chatu dili vile vile namuiba pamoja na gari yako kisha nakwenda kumuuza kwa wadua wahusika naye
ReplyDeletemdau Baraka
wizi wa kweli wanamuiba uyo nyoka alaf wanakuachia gari yako, so siku ya pili utatafuta chengine cha kuweka, kila ikiwa tabu kuiba wao ndo wanafrahia
ReplyDeleteUkinyunyiza mafuta ya taa humo kwenye gari huyo nyoka atatafuta mwenyewe upenyo wa kutokea...!!
ReplyDeleteWeweeee, kwa taarifa yako, huyo nyoka wako watu wanampika supu wanakunywa hapohapo, na Gari wanachukua. So Don't try that at home (TZ).
ReplyDeleteBora weka simba au mbwa wataogopa huyo nyoka watu wanafungua mlango na atatoka mwenyewe gari hilooo kwa upoleeeeeee
ReplyDeleteMdau kila la kheri katika jitihada zako za kulinda chako. Lakini huyo fashisti, nduli, dikteta usimfungie vioo la sivyo utamwua kwa joto. Na hapo bongo si nasikia Wachina kibao?, basi angalia usijemkuta mshikaji yuko kwenye sahani dining!!
ReplyDeleteMdau, Boston, US.
VOODOO!!!!!!
ReplyDelete