miss tz 2005 nancy sumary ni mmoja wa ma-miss ambao hawakubweteka na sifa pamoja na umaarufu wa taji. licha ya kujiendeleza kimasomo hivi sasa Nancy ana mengi anayofanya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. Hivyo Viingereza vimekaa ki-Michuzi michuzi... u know.. u know nyiiiingi + eeh, eeh!

    Ongeeni Kiswahili jamani.. Maana hii Blog yetu ya Jamii siku hizi inaangaliwa sana huku Ng'ambo, so that wenye lugha yao hiyo wakisikia hizo eeh! eeh! u know zenu watazidi kutudharau.
    Tukienzi Kiswahili chetu wandugu.

    ASILIA.

    ReplyDelete
  2. "wow"
    kwa mara ya kwanza nilipoisikia hii "wow" nilikuwa form V mzumbe, na kuna mwanafunzi mwenzetu mmoja alikuwa anaupenda sana umarekani ndo akatuletea hii. Tulikuwa tukiisikia tunacheka sana, lakini sasa hivi wananchi wanajifanya wameizoea. Jamani jama......!!!!!!

    Kila nikirudi bongo nikitoka "out" na marafiki, ndugu, na jamaa wa kike, ukiuliza utakunywa nini, jibu ni "red bull" jamani jama......!!!!

    ReplyDelete
  3. we mchangiaji wa kwanza hater tu huna mpango wowote , Nancy uko tighty tunakukubali wabongo

    ReplyDelete
  4. Wewe ASILIA unamkashifu Nancy na kiingereza hapo hapo untatumia "so that" je hicho ni kiswahili?

    Aliyee mhoji katumia kiingereza je ulitaka amjibu kwa kiswahili? Isitoshe Tanzania inatumia english as an official language. Hapo katumia engilish kama siraha ya kutangaza biashara yake kama umemelewa vizuri wateja wake wako international siyo watanzania tu. Isitoshe kutumia hiyo "hiyo you know" mbona ni jambo la kawaida kwa wamarekani?

    Inabidi tujifunzi kuwasifu watanzania (hasa wanawake) wanaojitahindi kujiendeleza kimaisha siyo kutafuta kasoro tu, tukiendelea hivi hatutafika mbali.

    ReplyDelete
  5. Brilliant Nancy.

    I like your entrepreneurial spirit and one thing I am sure of is that you are going places.

    Haters wapo tu, kama vile maskini ambao piga ua wataendelea kuwepo kwenye jamii.

    Haters are part of the ecosystem. Let's take good care of them.

    Without haters success where else would you get the satisfaction of proving someone wrong?

    ReplyDelete
  6. Huwa siwaelewi watu ambao wapo kwa ajili ya kudidimiza wenzao. Sijaona kibaya chochote kwa Nancy kuongea Kingereza, Ukweli ameongea vizuri na kujieleza kama alivyoweza, Wewe uliyeponda huna lolote ni wivu tu unakusumbua mana najua huwezi kuongea kingereza kizuri kama hicho. Watanzani hakuna jema kwetu,mtu akiongea kingereza kibaya anachekwa akiongea kizuri anaiga wenye lugha yao!! Mbona hata wao huwa hawaongei kiswahili kizuri wakiongea lugha yetu!!!

    ReplyDelete
  7. I just love these comments! Especially the fifth one (Frederick Mboma's). That's a man's spirit brotha. You seem to be a scholar. Well done for your comment.

    Nancy Sumary! Keep up your good work! I'm very proud of you. That's one brilliant idea you got there, so don't ever let up because of a few negatively opinionated people like the so called "haters". They will always be there, but as for me and you (sisi sote tupendao maendeleo), we gotta KEEP ON MARCHING!

    Kwa wabongo wote in general: let's avoid negative spirits na kukatishana tamaa na kupondana jamani! Huu utamaduni ndo unaturudisha nyuma siku zote ndugu zangu. Yaani tunapenda sana kusemana na mtu akija na idea yake badala ya kumtia moyo sie kazi yetu kumdharau na kumponda tu hii kamwe haitupeleki popote bali inatu-undermine big time!

    Mdau UK (representing Rock City-MZA).

    ReplyDelete
  8. Nancy wenye wivu kama US-Blogger wengi sana. wewe tunakuweka uppande wa mashaka kwa hiyo you are good. Brilliant is the word.

    usishangae ni US bogger mtu mjinga kweli

    ReplyDelete
  9. Baba UbayaApril 26, 2009

    wabongo kwa fitna!!!hii blog ya jamii sidhani kama inatembelewa na watanzania pekee.iko kona zote duniani na umuhimu ni kwamba inaitangaza Tanzania kwa ujumla.kutumia lugha kiswahili wala si kigezo kwa sana.
    kama wadau wengine walivyosema,aliyemuhoji/kumuuliza maswali kaanza na english na pia yeye Nancy anatangaza hiyo biashara kwa walengwa wengine wa kigeni.
    Kingine ni kwamba,kitu muhimu hao ulowaita wenye "lugha" wanachokiangalia zaidi ni ujumbe kama unaeleweka na sio kupinda kwa lugha.
    ni sawa na wewe unayekielewa kiswahili ukimsikia mdosi anakukwambia "Veve bana ni mizi sana,mimi ogopa veve".sawa lugha imepinda lkn ujumbe upo mwanana.utake usitake utakuwa umemuelewa kwa sana tu hahaha

    Nancy keep doing your thing.

    "Make haters your motivators"

    ReplyDelete
  10. Asilimia 95 ya wasomaji wa Blogu hii tunaongea na kuandika hizo lugha zote mbili, kwa hiyo hakuna tatizo kabisaa bwana michuzi!

    ReplyDelete
  11. michu nae wamo kwa kikerewe.."to manage,to manage, manage!"
    :)

    ReplyDelete
  12. "Ushauri kwa aliekosoa kiingereza kilichotumika hata pasipokuwa na sababu na wengine wenye tabia kama hiyo". Kwa kuwa Kiswahili na kiingereza zote ni lugha tunazozitumia katika kazi zetu Tanzania ni vema tukaachana na tabia ya kukosoa na kucheka kila ambapo mtu anajaribu kuongea au kuandika kiingereza hata pasipokuwa na sababu ya kucheka.Tupeane moyo hio ndio jinsi ya kujifunza,ili kuweza kuelewa zaidi na hatimaye kufanikiwa. Kiingereza ni lugha ambayo tunajifunza ni ngeni kwetu(wengi wetu hatujapata nafasi nzuri ya kujifunza lugha hio mapema na kikamilifu). Ukiwa nchi zingine huwezi kuona hata mara moja mtu anacheka unapoongea lugha yake vyovyote utakavyojaribu maana anajua ndivyo utakavyo jifunza na kuiweza vyema.

    ReplyDelete
  13. Wow, I'm impressed. Ila michuzi mbona huulizi maswali ambayo tutataka kujua? Kama are you single?

    ReplyDelete
  14. Mkwera akiongea kiinglish mkutano wa uchumi na akaharibu mnamcheka..ohh inglish iz not richabo, Nacny akiongea kiinglish kuelezea mafanikio yake..nayo matatizo..sasa nyie wadau mnataka nini haswa? Kwani huko Miss World wanaongea kinyiramba?

    Nancy na wenzako wote mpo juu sana, sijui hata tutawafikia vipi? Lakini tutafika tuu..tuko pamoja!!

    ReplyDelete
  15. Dada yake Naakaya anaongea vizuri zaidi, ila ile internet study ndio kidogo kakoroga ndonya azaiwaiz yuko juu tu kama michu wa to manage manage nimecheka aliyetoa comment hiyo mwe! wa TZ jameni?

    ReplyDelete
  16. The best miss tanzania we ever had (results speak for themselves) and sincerely the most talented and hardworking of the whole batch we have had. Keep your head up nancy get stronger and more aggresive the world is yours if you want it just keep chasing it and better things will always come your way. Don't mind them haters, Prof Jay said it "Ili nifanikiwe zaidi nahitaji maadui"... Keep keepin on girl.....

    ReplyDelete
  17. tanzania inazidi kubadilika kwa kuendelea mbele. hongera nancy kwa mambo unayoyafanya. sasa watanzania wanazungumza kingereza hii ni vizuri sana. wale ambao hawajui kingereza wasiwaonee wenzao wivu, wakitaka waende shule wakajifunze kingereza.

    ReplyDelete
  18. kwa kweli hongera nancy mwayego..dont mind them haters...loh hamna hata haya.ndio hatuendelei hivi hivi hakuna anayefurahia maendeleo ya mwenzake.
    hiyo lugha sio yetu hatujazaliwa nayo jamani wengine tunajifanya tu kukosoa wengine hakuna aliyezaliwa bongo neno la kwanza likawa gudmorning or afternoon!wote tumejifunza na kamwe hatutakaa tuje kuongea kama wao ni lugha yao wao...kiswahili pia wanachapia sana tu mbona.
    keep on moving gal!!

    ReplyDelete
  19. Her English is perfect!

    At this juncture I can only conclude that it is Asilia & Co, who are challenged with the language.

    ReplyDelete
  20. Well done Nancy and keep it up girl!
    Wewe mtoa maoni wa kwanza get this...English ni muhumu sana kwa sisi waTanganyika sorry wa-Tanzania... every where u go kama hujui kijieleza kiingereza basi utakuwa kama hujapandisha shule. Wether you agree it or not that's the fact...period!

    ReplyDelete
  21. I am doing internety studing!

    ReplyDelete
  22. Binadamu hamna jema.

    ReplyDelete
  23. MI NAONA ANA ACSENT YA KIKENYA AU KIGANDA.HATA HUYO WA HAPO JUU K-LYNN NAE KAMA MKENYA.
    ONGEENI NA ACSENT ZENU WENYEWE.KUBANA PUWA SAAAAANA

    ReplyDelete
  24. You can drop her anywhere and they 'll understand what she's talking about.

    She is articulate, composed with confidence, she cute, though.

    Whoa, at least we gotta some chicks back home who represent.

    Lemme dip.

    Mdau
    USA

    ReplyDelete
  25. watanzania ni lini mumekua fluent in english. i cannot believe munaweza kucheka wengine just because you can speak broken english. jaribu kuangalia how kenyans write and speak the language na atucheki wengine. shame on you who laugh at others.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...