kwa katuni zaidi  nenda 
www.nathankatuni.wordpress.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. na mimi sijui nichangamkie ubunge niondokana na kero?
    mdau,
    temeke hospito

    ReplyDelete
  2. taifa bado changa hivyo hawajuwi hata maana ya bunge, mbunge ni fisadi no moja
    natena hawana huruma na wana nchi wanaowachanguwa kweli afrika kazi ipo,
    simuwatoe tu hakuna faida ya kuwa na kungunguni ktk kitanda unacholalia

    ReplyDelete
  3. Hii ndo yale kisanga cha mmakonde na Padri.
    Padri alimpa Mmakonde tenda ya kumchongea Sanamu la Yesu.
    Mmakonde akalichonga alipomaliza Padri akaja kulichukuwa kisha akamwalika Mmakonde kwenda kanisani.
    Mmakonde akahamaki.
    Yechu nimchonge mwenyewe halafu nije kumchalia.Chifanyi ujinga huu. Hahahahahahaha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...