
Anayepokea ni mratibu wa Minnesota
Communications, Mercy Kimaro. Wanaoshuhudia ni Irene Kiwia na Nancy Sumary ambao ni maafisa waandamizi wa wa Front Line Senior kampuni inayoratibu mbio hizo ambazo maandalizi yake yatafanyika Jumamosi hii katika uwanja wa leaders club, dar.
(2nd L) and Nancy Sumari.
Mbio hizo zinafanyika April 18, 2009 kuanzia geti la kuingilia Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro, wilayani Karatu
Mjomba michu, acha kubania habari kuna breaking NEWS Anfield! .....lol
ReplyDeletetotoz za hapo kati si mchezo!
ReplyDeletewe nini??? breaking news za nni? nenda zako huko.
US-Blogger)
ReplyDeleteNabii Mtakatifu Yohanna Mashaka, pengine atakuja kudai kwamba ni yeye ndo kaandika au katayarisha haya Marathoni pamoja nakizungu chake cha shakespere.
Mimi bado namsubiri huyo nabii wenu Yohanna Mashaka mnayemuabudu aje kwenye Debate huku Alabama. Mimi tayari nimesha book Hotel na Limousine Inanisubiri pamoja na walinzi
Yeye Mashaka ana nini? Wall-Street Imefirisika na ufisadi wote umekwisha, hela alizokuwa anapata na kumfanya ka Pedejee zimekwisha siku hizi hana hata gari anatembea miguu
Yohanna Mashaka, tunakusubiri alabama, ukitaka walete ma miss wanaokuabudu na kukufanya ka Mungu mtu. Nilikwambia mimi nina phD toka Oxford Baridi ikakuingia.
Nadhani huu ndio mwisho wako wa kuandika articls kwa sababu wanaharakati wote siku hizi wanakushinda. Hakuna mtu amewahi kuandika articles kama ile niliyoandika dhidi ya Mashaka.
Yeye kazi yake ni ku brain wash watu hasa wanawake wanamuabudu kana kwamba yeye ni Mesiah, nimesahau, kwamba Mt. Yohanna Mashaka ameanza kujitangaza kwamba naye ni Mesiah, na wafuasi wake, Dr. Shayo na January Makamba nao wanamuabudu Mashaka.
Mashaka tunakusubiri Alabama tarehe 10, uitaka njoo na Nancy sumari, nitakupa Private Jet yangu utumie, najua watu wenu wamenyang'anywa Private Jets
Basi mimi na Peter Nalitolela, Mokes Gama, Yoyo, Field Marshall, Nyani Ngabu, Kelly01, Uwiano Maalum pamoja na wakuu wengine tunakusubiri Alabama.
Ukitaka nitakulipia nauli pamoja na ma Miss wako, Irene Kiwia pamoja na Nancy Sumari. Lakini ujue wakija huku nitawachukua kwani watanizimia kuniona tu kwani hapa hapa hela ni kama karanga.
Wakuu ni mimi
Dr. US-blogger
I see you Inno doing your thing. big up !
ReplyDeletemlimbwende anafikiri kama limbwende. huyu US-Blogger ni mbuzi kweli, yaani anatudharau kiasi hiki, Michuzi mbona unamruhusu huyu mtu kuposti?
ReplyDeleteYeye kazi yake ni kutangaza chuki binafsi dhidi ya mashaka, mashaka akimshinda tulize mapozi. Mashaka ni mfano wa kigwa yeye je? Mfano wa majunngu na chuki. sasa hapa mashaka anahusika vipi kama siyo umbuzi?
Kaka Inno,
ReplyDeleteToka Mafundisho kipa imara Changombe to seminary, to USA, sasa naona utu uzima una nyemelea...lol
Ndugu yako Karugaba yuko wapi? mbona ulichomoka kimya? sisi tupo tunabeba Plastics siku hizi; Boksi hamna USA lol.
Salimia Tigo, kuna wangu wengi tu hapo....naomba usiguse hahahaha
Mdau Dc
Asante Inno, naona unawakilisha vizuri sana. Nakubari ushauri wako wa kurudi nyumbani. Hata mwaka haujaisha tayari mambo yanaanza kujipanga. Big ups to you brother, keep it up!!! Waonyeshe nidhamu ya kazi uliyofundishwa na G.W. Bush.
ReplyDelete