
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) kwa watu wenye ulemavu , Magreth Mkanga, ( kushoto) akimkabidhi Mzee Lazarus Mkwangi, ( kulia) kiasi cha sh: 50,000 kwa ajili ya shughuli za mazishi ya wenzao wawili waliouwawa na mwenzao wiki ilopita katika kambi yao ya kulea wazee. Kati ni Diwani wa Kata ya Kichangani, Manispaa ya Morogoro, Thomas Kivugo, wakati Mbunge huyo alipotembelea kambini hapo kutoa pole. Picha na mdau wa mji kasoro bahari John Nditi.
Oh jamani my dear teacher,Kilaks '00. Mh Mkanga, umefanya vyema.
ReplyDeletePoleni wafiwa.