Home
Unlabelled
NYUMBA SAFI INAPANGISHWA - INA SWIMING POOL
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mheshimiwa inauzwa au inapangishwa???? unatuchanganya.
ReplyDeleteNyumba nyingi za Msasani Mwisho zina Swimming Pool na Fish Ponds (kambale wakubwa) kwa sababu Wanene wenye maguvu wamejenga kwenye njia inayopeleka maji baharini. Wao wameiunua magorofa na kuzinga kwa kuta ndefu hizo 'complex' hapo Msasani mwisho.
ReplyDeleteIle mifereji nayo wameiziba na maji yote yanayotoka Butiama - kwa Mwalim, TMJ, Ubalozi, Maandazi Road yanatuwama hapo. Yote yanafanywa kwa ridhaa ya wakuu serikalini waliotoa viwanja kifisadi kwenye mifereji hiyo kusababisha mafuriko sehemu kadhaa.
Picha hiyo imebeba ujumbe mzito kwa Waziri anaehusika na utawala bora, kama ana nia ya kupambana na ufisadi wa watu wa jiji maana hata Makaburi nayo yamevamiwa kuchimbwa na kuzungushiwa kuta.
Cha kushangaza hata Muishiwa meya wa Kinondoni hapo kwenye swimming pool ndio anga zake.
Kama unapenda muziki wa vyura, pangisha nyumba ya jirani nayo iko tupu.
ahhhhh
Hizo swimming pool na fish ponds huwa zina kambale. Na mbaya zaidi utawakuta watoto wanavua hao kambale na kujipikilisha wanawala.
ReplyDeleteKaazi kweli kweli.
MMMH, sijui bei gani?
ReplyDeleteHii nyumba, jamani kwa taarifa yenu, inauzwa Millioni 400.
ReplyDeleteSiku hizi kila mtu anaamka asubuhi anatahmni matatizo yake na kuuza kiwanja kwa bei anayotaka kwa sababu mafisadi yatanunua tu
Mimi napendekeza kwamba nyumba hii na swimming pool yake ingenunuliwa halafu apewe mstahiki Meya wa JIJI la Dar...pengine muziki wa vyura ungemwamsha huko usingizini ili aangalie hali ya mazingara ya JIJI lake...!!??
ReplyDeleteMosquito Breeding Ground! No wonder malaria is such a problem! Khaa!
ReplyDeleteMakosa yote ni WAFADHILI wetu.Wao hawajui kwamba Tanzania ni ka nchi kadogo na masikini sana hata mikojo yetu inatushinda kuishughulikia.Ni tu-miaka kadhaa tokea tujinyakulie UHURU wetu.Hivi hawa wanategemea kazi kama hiyo tunaweza sisi bila ya WAFADHILI??
ReplyDeleteoh my....kama watu wanaishi hapo wameshindwa kutengeneza mifereji iondoe hiyo maji basi tukifa na malaria tusilaumu Govt
ReplyDeleteINAPANGISHWA AMA INAUZWA, MBONA UNATUKONFYUZI!
ReplyDeleteI LOVE THIS JOINT,I WOULD LOVE TO MOVE IN AS SOON AS POSSIBLE
ReplyDeletehiyo nyumba ni ya kuuzwa pesa zote hizo. to me it looks like a filthy shack. ebu angalia hayo maji sijui ndio swimming pool yalivyo na rangi mbaya. hayo maji yanaonekana yako poluted. hapo ndio mwanzo wa magonjwa ya vichocho, kuarisha, malaria na kadhalika. $390,000.00 hapa north america utajipatia nyumba nzuri tu. itakuaje nchi maskini kama hii yetu nyumba ziwe ghali hivyo. hao wenye kubali kulipa fedha kama hizo shauri yao.
ReplyDelete