Sehemu ya eneo la Mgodi wa dhahabu wa Mgusu wilayani Geita ambaloWaziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda alilitembelea kuona kazi ya uokoaji watu waliofukiwa na udongo katika mgodi huo na kuwapa pole wananchi wa eneo hilo baadfa ya watu kufukiwa na udongo ulioporomoka kwenye mgodi huo March 29, 2009.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...