Home
Unlabelled
Raheem na Shufaa wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wanja huo aunt,bi harusi mbona umenuna?na hiyo ndio siku yako.vigeregere kidogo,rururururururu.habari ndio hiyo.
ReplyDeleteHivi Raheem ni mtoto was yule Msuya wa Minnesota, na huyo Shufaa ni binti wa Prof. Mazrui wa Binghampton, NY?
ReplyDeleteJAMANI BI HARUSI ANANINI MIKONONI HIVYO NINAVYOVIONA NI TATUU AMA HINA?
ReplyDeleteJAMANI YANINI KUMHARIBU DADA WA WATU KAMA ALIYEMFANYIA MAPAMBO SI MZOEFU
HATA NINGEKUWA MIMI NISINGEFURAHI AU ALIYEMPAMBA ALIKUWA AKIMUONEA GERE???
Huyu Mtoto wa Radhia Msuya?
ReplyDeleteRahim, hongera classmate!
ReplyDeleteharuuuuuuu.. mwanamke hina dada shurti mpaka mabegani, ila makeup ipo too light kidogo na colour ya skin yako( ushauri wa bure) nawatakieni maisha mema katika ndoa yenu mungu awalinde na kuwaongoza daima
ReplyDeleteMMEPENDEZA SANA MAHARUSI,SHUFAA UMEPENDEZA SANA MDOGO WANGU,NAWATAKIA MAISHA MEMA NI MIMI DADA YAKO BINTI UBBA USSA.
ReplyDeleteTai ya mshikaji ina matege....
ReplyDelete@ anon 10:19
ReplyDeleteLOL!, LOL!, very funny!,
Tattoo? looks like that...she needed a long sleeves dress.
Mumependeza sana.
ReplyDeleteLakini smile says a lot, come on people it was your daaay!
Bi harusi you're qute.
Bwana harusi you're very handsome.
Ann,April,3,2:41 am, Umenichekesha sana Tai ina nini?? U pipo are so funny.
ReplyDeletemdau 10:19 hiyo siyo tatuu, inaitwa piko. ni sehemu ya mapambo ya bi harusi kwa huku pwani.
ReplyDeletemdau chiggs
Tuwekee picha ya Baba Arusi tumjue maana zamani nilipenda kipindi chake cha 'kitabu nilichosoma'. cha RTD. Pia muulize kwa nini alicha kutuletea kipindi hicho cha mapitio ya machapisho au hasomi tena vitabu?
ReplyDeleteBi harusi anaogopa vita ya masaa machache baada ya hapo!!!
ReplyDeletePole ndo ukubwa, utazoea na utatamani mmeo asisafiri. All the best mmependeza.